assalaam alaykum sayyidiy. kuna taarifa kupatwa kwa jua tar 8.4.2024 unawanasih nin waislam Pia tupate faida je jua au mwezi likipatwa hupatwa ulimweng mzima au baadh ya sehem na km ni baadh je sehem ambayo haikupatwa mwei au jua nao wafanye sunna ya kusuf au khusuf km kufuata mwezi wa kimataifa?
Sheikh izudin Alwy mm swali langu nauliza hivi je naweza kufunga sunna ya sita nikimaliza nikafunga swaumu ya Ramadhan ilionipita kwa dharura ya kisheria
@@zeynaaly1948 Naam hao wanakosea, maana siku sita ni siku chache tu na ambazo zipo ndani ya mwezi wa Shawaal peke yake. Lakini kulipa funga ya Ramadhani unaweza kulipa muda wowote hadi ramadhani nyingine ije.
Mashall-Allah Allah akuzidishie elim yenye manufaa uzidi kutuelimisha akujalie umri mrefu wa afya amin
Vp munira
Maa Shaa ALLAH 💚
Mwanamke alieachwa baada ya kujifungua eda yake inakuwaje
MASHAALLAH
Masha allah tabaraka llah
sheikh hawajui vibatali hao😂😂
assalaam alaykum sayyidiy. kuna taarifa kupatwa kwa jua tar 8.4.2024 unawanasih nin waislam
Pia tupate faida je jua au mwezi likipatwa hupatwa ulimweng mzima au baadh ya sehem na km ni baadh je sehem ambayo haikupatwa mwei au jua nao wafanye sunna ya kusuf au khusuf km kufuata mwezi wa kimataifa?
sheikh hawajui vibatali hao😂😂😂
Sheikh izudin Alwy mm swali langu nauliza hivi je naweza kufunga sunna ya sita nikimaliza nikafunga swaumu ya Ramadhan ilionipita kwa dharura ya kisheria
Naam unaweza
Ahsant kwa kunijuza ila kuna baadhi husema huwez kufunga sunna ya sita mpaka ukamilishe funga ya ramadhan ambazo umepata dharura