Danny naomba nikurekebishe hapo...Musa akutoa suggestion ya kumtundika nyoka wa shaba kwenye mti..ila Mungu ndo alitoa AMRI...Ebu soma vizurii biblia unaweza ukajikuta unapoteza watu kaka... Ps:_biblia ni FASIHI ... Hesabu 21:8-10...Bwana akamwambia Musa, Jifanyie nyoka ya shaba, ukaiweke juu ya mti, na itakuwa kila mtu aliyeumwa, aitazamapo ataishi.
Nakukubali sana Nabii shillah ulimuombea mama yangu akapona UKIMWI
Mh
For real?
Nakupenda burre shillah, kitu pekee kinachonifurahishaga kutoka kwako ni jinsi ilivyokua na akili nyingi
Be blessed
this lady is so good with questions...like her already
🙏🙏🙏
But to be honest nabi shillah yupo smart
Dada unamapepo unamkashifu prophet
Smart guy
Danny naomba nikurekebishe hapo...Musa akutoa suggestion ya kumtundika nyoka wa shaba kwenye mti..ila Mungu ndo alitoa AMRI...Ebu soma vizurii biblia unaweza ukajikuta unapoteza watu kaka...
Ps:_biblia ni FASIHI ...
Hesabu 21:8-10...Bwana akamwambia Musa, Jifanyie nyoka ya shaba, ukaiweke juu ya mti, na itakuwa kila mtu aliyeumwa, aitazamapo ataishi.
Dahh this njaaa hii
The girl outsmart him.... nabii hayupo realistic
Huyu kweli ni nabiii, alisema huu mwaka utakua sio poa
Toweni bure kwa kuwa mlipewa bure. Dalili za siku za mwisho
Tapel mkubw huyu...
Ukuta ni wa malelani
Hhhhh had mwaka ukaishe tutaon meng