Wewe ni Mungu, Watu imbeni, Habari za Yesu, Asante Yesu Mega Kwaya ya Krsto Mfalme(live perfprmance)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 24

  • @AdamKudra-lp1ue
    @AdamKudra-lp1ue 2 месяца назад +1

    Nyie jamaa m napatikana wapi jaman na mm nije Dominica moja niuone ukuu wa Mungu❤❤❤bure kabisa mnajua sana.

    • @constanciamagige454
      @constanciamagige454 2 месяца назад

      Yan upo kama mimi nabarikiwa sana npo Bukoba.. siku nbahatike jumapili moja nije ntahisi npo uwinguni🔥🔥

  • @constanciamagige454
    @constanciamagige454 2 месяца назад +1

    Best choir with great vibes in Tanzania🔥🔥🎉🎉❤️❤️

    • @constanciamagige454
      @constanciamagige454 2 месяца назад

      Yan aisew upo kama mimi yan nataka nibahatike hat jumapili moja tuu nije... Maana sio kwa huo uchangamfu. Hakika npo Bukoba nabarikiwa sanaa🙏🙏🙏

  • @patricksagiri3074
    @patricksagiri3074 2 месяца назад

    Nyie watu mnajua bana 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ScolaSimolunda
    @ScolaSimolunda 2 месяца назад

    Hakunaga kama nyinyi

  • @kemylibe5289
    @kemylibe5289 2 месяца назад

    Dah ila nyie mnajua kutushutua jmn ndo mpige non stop song ila mm nawapenda bureeee❤❤❤

  • @aseragerevasemuzaura15
    @aseragerevasemuzaura15 2 месяца назад

    Blessed 🎉

  • @jovenusngunji6943
    @jovenusngunji6943 2 месяца назад

    Megaaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤Hii show niliimic aiseee

  • @dismas7568
    @dismas7568 2 месяца назад +1

    Organist Ubarikiwe

  • @fransisdindiri476
    @fransisdindiri476 2 месяца назад

    Safi sana fab na kikosi kizima

  • @tempochoir
    @tempochoir 2 месяца назад

    Aisee mziki mzuri sana nimebarikiwa ssana ❤🙏👏

  • @ambrosejimmy9434
    @ambrosejimmy9434 2 месяца назад

    Hongereni sana kwa utume

  • @MagrethNtiruhungwa
    @MagrethNtiruhungwa 2 месяца назад

    ❤❤❤❤❤ shkamoo kristo mfalme mkiamuaga jambo lenu lazima liwe juuuu❤❤

  • @AnwaritheYasint
    @AnwaritheYasint 2 месяца назад

    Vibe uku linapatikana anytime

  • @MaryMaziku
    @MaryMaziku 2 месяца назад

    ❤️❤️❤️❤️

  • @vivaciousveny874
    @vivaciousveny874 2 месяца назад

    Hii mega ni hatari 🎉

  • @ScolaSimolunda
    @ScolaSimolunda 2 месяца назад

    Wapi ntui

  • @remigiuskahamba7440
    @remigiuskahamba7440 2 месяца назад

    Mimi siwawezi❤

  • @linahmacha370
    @linahmacha370 2 месяца назад

    🔥🔥🔥🔥

  • @lucytarimo7024
    @lucytarimo7024 2 месяца назад

  • @fredricksikukuu2743
    @fredricksikukuu2743 2 месяца назад

    ❤❤❤❤