KISA CHA MAMA ALIYETEMBEA NA WANAUME 3 KWA TDK 15 //SHEIKH OTHMAN MAALIM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 67

  • @IssaMkali-k6y
    @IssaMkali-k6y 14 дней назад

    Allah awape mwisho mwema muzidi kutupa elimu za kidini shaikh

  • @MwanaidiMohammed-bm6qg
    @MwanaidiMohammed-bm6qg Год назад +7

    Shukran kwa kuweza kuwazinduwa waja wa Allah Allah.akupe mwisho mwema na sie wajawake huu wa ummanti mukhammad

    • @johnkihe4747
      @johnkihe4747 Год назад

      aam

    • @marcokitubabu-lu3dl
      @marcokitubabu-lu3dl Год назад

      Naomba msaada niwe umma
      mukhamad Niko simiyu kijjini hakuna misikiti nifanyaje??

    • @ummatul-islam9615
      @ummatul-islam9615 Год назад

      @@marcokitubabu-lu3dl
      IKIWA unaweza kutoka japo kwa mwezi mmoja uwende katika mji wenywe waislamu na uulizie sheikh katika huwo mji akusilimishe kisha muelezee Hilo.

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 Год назад +6

    SUBHANA ALLAH 😭
    ALLAH atustiri ss na vizazi vetu kwa ujumla THUMMA AMIN

  • @halimamashallahtabarakalla9784

    MashaAllah tabarakallah mwenyeezimungu akuzidishie kuwaongoza watu wetu nakuwatoa ujingani yaraby

  • @AzaShamba
    @AzaShamba Год назад +3

    😂😂😂❤❤❤❤Shekhe OTHUMAN ww ni mwl wetu mzuri. ALLAH AKULINDE

  • @AhmadAbdallah-pp3ij
    @AhmadAbdallah-pp3ij Год назад +3

    Shekh Othman Maalim Allah akulipe kila la kheri na akuepushe yote ya shari.

  • @fatmazawira9626
    @fatmazawira9626 Год назад +7

    😢😢Allah atustiri ss na vizazi vyetu 😢😢 na atujalie mwisho mwema yaarabii asante Sana sheikh wetu 😢

  • @RehemaJuma-es4jk
    @RehemaJuma-es4jk Год назад +2

    Ya RABBY tunusu ss wote pamoja n vizazi vyetu 😢 na tujalie tunayoyasoma kwa masheikh wetu tuwe n wenye kuyafanyia kazi

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 Год назад +1

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! Baaraka Allahu Fiik Wa Jazakah Allahu Khairan. Allahumma Amiin 🤲

  • @salem9874
    @salem9874 Год назад +3

    Shukrn hakika hizi ndo sadaqa inayoendelea

  • @RukiaPancar
    @RukiaPancar Год назад +1

    Allah,, atusamehe sisi waja wake allah,, atusitiri sana wanadamu Amen

  • @chantalharakandi2576
    @chantalharakandi2576 Год назад +1

    Allah atupe watoto wema yarabi Mwalim Uthman Allah akupe mwisho mwema kwa kweli unatupa mawaidha mazuri sanaaa Jazakallah kheri

  • @abdulshebe5689
    @abdulshebe5689 Год назад +3

    Yarabi nakuomba unijalie watoto watu wajekuwa kama shekhe othman maalim wallah mwenyezimungu akinijalia mtoto atakae kuwa kama shekhe huyu huyo mtoto atakuwa na thamani zaidi ya mtoto mwenye pesa kwangu yarabi nijaalie kizazi changu kiwe chema chenye kukulingania ww uliotuamrisha kweye hii dunia

    • @abdukhan4718
      @abdukhan4718 Год назад +1

      Assalaam Alykum.....
      SAMAHANI NAKUOMBA Umuombe Allah Akujalie Upate Watoto wema wenye kufuata yote yalio Amrishwa na yote yalio latazwa na Sio kama Sheh Othman.
      Kwasababu Huijui Nafsi yake ispokua Allah ndie anae ijua Nafsi za waja wake wote

  • @HadijaSaid-v6d
    @HadijaSaid-v6d Год назад

    Alla atusamehe ss pamoja nawazaz wet

  • @FARAJIFADHILI-v6x
    @FARAJIFADHILI-v6x 9 месяцев назад +1

    Allah tusamee makosa yetu

  • @emmanuelyjmnyampanda2213
    @emmanuelyjmnyampanda2213 Год назад

    Allah akupe mwisho mwema sheikh, mawaidha yamekosha vyema

  • @halimakibwana5165
    @halimakibwana5165 Год назад

    Subhanaa Allah! Allah atuongoze cc na vizazi vyetu Yaar Rabby!

  • @Hakizimana-k4g
    @Hakizimana-k4g 5 месяцев назад

    Allah akbal mungu atunusuru nahiro balla

  • @mudymwasi-rd2vg
    @mudymwasi-rd2vg Год назад

    mashaalh shekh mungu akijalie ktk safar ya kuunadi uislam

  • @HadijaSaid-v6d
    @HadijaSaid-v6d Год назад

    Allah atusamehe ss nawazaz wet

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p Год назад

    Allah akbar atuogoze kw kheir n atuepushie bala za dunian

  • @mayaalharthy4924
    @mayaalharthy4924 Год назад

    Allah atupe husni lkhatim yarab 🤲 😭

  • @abdulnuliat-ny7nf
    @abdulnuliat-ny7nf Год назад +1

    Shukran yaa sheikh wetu 👏

  • @Salimdaffa-nd7uy
    @Salimdaffa-nd7uy Год назад

    Shekh Allah akupe umri mrefu wenye manufaa dunian na akhera uzidi kutuusia sis na vizaz vyetu

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 Год назад

    Shukran wetu
    Yaarabi tupe mwisho mwema ♥︎♥︎♥︎

  • @ramlazubery1682
    @ramlazubery1682 Год назад

    ALLAH KARIM. TUSAMEHE waja wako na vizazi vyetuu.

  • @ZamdaMisembe
    @ZamdaMisembe Год назад +1

    Allah akupe maisha mema shekhe Othman maalim

  • @سعدالشراري-ظ7غ
    @سعدالشراري-ظ7غ Год назад +2

    Allah atunusuru waja wake n vizazi vyetu Allahuma Amiin

  • @IslamAliIslam-ul1yp
    @IslamAliIslam-ul1yp 10 месяцев назад

    SubhanAllah 😭😭

  • @MohammadKhamis-ib7dz
    @MohammadKhamis-ib7dz Год назад +3

    Subhannah Allah 😢

  • @husnamadai7052
    @husnamadai7052 Год назад +2

    Subhana Allah

  • @MaryamBakar
    @MaryamBakar Год назад

    Allah atuhifadhi na mitihani hiyo

  • @mifunga3414
    @mifunga3414 Год назад

    Shukran ya sheikh ❤

  • @Shuweamussa
    @Shuweamussa Год назад

    Allahuakbar

  • @MaymoonerShali
    @MaymoonerShali Год назад

    Shukran

  • @samyabahatialhiani401
    @samyabahatialhiani401 Год назад +1

    😢mungu azidi kutuhurumiya

  • @mohammedmohd6834
    @mohammedmohd6834 Год назад

    Allah tufanye wapesi

  • @fatma-sj8yv
    @fatma-sj8yv Год назад

    Subah Allah

  • @khadijaabdalla8652
    @khadijaabdalla8652 4 месяца назад

    🥰🥰🥰🥰🥰

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 Год назад

    Maalim mawaidha mazuri… mambo mengine yanachekesha 😂😂😂😂

  • @mayaalrawahy5470
    @mayaalrawahy5470 Год назад

    Subhanallah

  • @waziriwaamani-ky2cg
    @waziriwaamani-ky2cg Год назад

    Ndevu za Shekh zimeenda wapi jamani?

  • @Mbonabuca-p1k
    @Mbonabuca-p1k Год назад +2

    Sikiliza kwa utulivu ili upate faida

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Год назад

    Mashekhe walinganieni wasanii

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 Год назад +1

    Allah tusitiri Yarrab Yarrab

  • @allyirunde7198
    @allyirunde7198 9 месяцев назад

    Subhanallah😂

  • @aminakibwana2373
    @aminakibwana2373 Год назад

    Nauliza jaman km ni mzazi wa mume na unaishi nae ikatokea unemjib vibaya ukumu ni ile ile au?

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Год назад

    Wasanii walinganieni wazini ovyo nakuonesha mitandaoni tena niwauslam

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Год назад

    HAPA UKISOMA COMENT KILA MTU YARABBI YARABBI,,UKIFUNGUA VIDEO NYNGNE UNAENDA KUTUKANA WATU,,,TUACHE UNAFKI.

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Год назад

    Walinganieni wasanii wanaangamia

  • @maryammousa842
    @maryammousa842 Год назад

    Shukurani mnqu akuripe kira raheri

  • @huss668
    @huss668 Год назад +4

    Subhan Allah 😭

  • @mwajumsleman9070
    @mwajumsleman9070 Год назад +1

    Subhanallah 😢