BSS 2020 EXTRA |ARUSHA AUDITIONS 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 162

  • @neemamassawe4005
    @neemamassawe4005 4 года назад +9

    Napenda amsha amsha za master jay 🤣🤣🤣shangwe , vicheko and everything 🙌🙌🙌🙌

  • @dativagabriel672
    @dativagabriel672 4 года назад

    Rama sitokusahauui 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mecheka ka sina akili eti au hapa ni mbeya 😀😀😀😀😀😀

  • @africanpolarbear4044
    @africanpolarbear4044 4 года назад +2

    😂😂😂😂 I loved it watu wa Arusha aajawahi niacha salama

  • @bridgitnjeri6213
    @bridgitnjeri6213 4 года назад +5

    Watching from kenya 😍😍😍

  • @foscanekesa8067
    @foscanekesa8067 4 года назад +20

    Wa sita kuingia jamani like zenyu from Iraq

    • @jovestin530
      @jovestin530 4 года назад +1

      ruclips.net/video/xYphfr1zxDE/видео.html

  • @fabianndimanya2055
    @fabianndimanya2055 4 года назад +4

    Bangi sio maharage🤣🤣🤣🤣🤣

  • @wasasyjr8657
    @wasasyjr8657 4 года назад +3

    Ila bangi ya Arusha ya 🔥🔥 sana

  • @teresiahkemuma3684
    @teresiahkemuma3684 4 года назад +1

    This is funny. The guy giving them cds lol🤣🤣🤣🤣

  • @dastanayubu2160
    @dastanayubu2160 4 года назад +24

    Shida vijana wa Arusha hawako seriously Wana fanya utani

    • @dastanayubu2160
      @dastanayubu2160 4 года назад +3

      Yan sijuw ni ushamba? ile sio sehemu ya viche kesho.wanatafuta waimbaji na ndio mwanzo wa maisha ukiwa seriously

    • @jazilambaji2789
      @jazilambaji2789 4 года назад

      Dastan Ayubu'kweli kbs'wanahitaji kuelimishwa wajue huo cy mchezo km wafanyavyo wao

    • @dastanayubu2160
      @dastanayubu2160 4 года назад +1

      @@jazilambaji2789 una jua wengi wao waimbaji music ni masikin pia ata wachezaji mpira pia lakin wame fanikiwa.sasa Hawa wakwetu bado wanajua wakifanya mambo ya kihun ndio ujanja kumbe ndio tuna waona masoro

    • @africanheroestz-acapella2458
      @africanheroestz-acapella2458 4 года назад +1

      Bongo fleva Arusha bado sana ila tunatamba kwa Gospel ndio maana inaitwa the City of praise

    • @sweetyjanne255
      @sweetyjanne255 4 года назад +1

      Embu Angalia Got talents Uone Kuna Kila Aina Ya Watu,Vichaaa Na Wenye userious

  • @latifaamurhamissabd6610
    @latifaamurhamissabd6610 4 года назад +7

    Mi mwenyew nilitaka kujua mwisho wa story 😂😂😂

  • @zou7470
    @zou7470 4 года назад +1

    Ila bela mungu anakuona na weye ety mungu atakusaidia🤣🤣🤣

  • @bintykhana924
    @bintykhana924 4 года назад +8

    Chuga nyie ni comedians 😂😂😂😂😂

  • @miriamjuliuss8138
    @miriamjuliuss8138 4 года назад

    Napendaa jamanii kuimbaa semaa hata sijuii huo msimuu unaanzaa lini

  • @fabianndimanya2055
    @fabianndimanya2055 4 года назад +1

    I miss You Dully Skyes na Jay Dee lakn hizi kuku znazngua sana🤣🤣🤣🤣

  • @khojaAfrique
    @khojaAfrique 4 года назад +4

    Kali sana toka Kenya

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 4 года назад +2

    Kwa bituko munahongoza😂😂😂🙌🙌

  • @alvincold4980
    @alvincold4980 4 года назад +15

    Hivi humu hamna sehemu ya kutuma voice note😂😂

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 года назад +2

    Yani lahaaaa cyo laha ni rahaaa 😂😂😂😂

  • @mtmlevel2001
    @mtmlevel2001 4 года назад

    Bella mshenzi et Mung atakusaidia

  • @sirmwita3351
    @sirmwita3351 4 года назад +1

    Ila chuga mna makusudi sio bure😁😁😁

  • @florarose1626
    @florarose1626 4 года назад +11

    Dada wa miaka 17 nimependa the story 😍😍😍

  • @nadiahussein5892
    @nadiahussein5892 4 года назад +2

    Arusha mnapenda sifa

  • @Lilmbunah
    @Lilmbunah 4 года назад +1

    Mwatuvunja mbavu jaman😁😁😁😁

  • @danielwilfred2609
    @danielwilfred2609 4 года назад +2

    Oi io instrumental ya mwanzon n ya ngoma gan iv ?

  • @johnco8756
    @johnco8756 4 года назад

    Masela wa mwisho anajua aisee

  • @abdielgodfrey8119
    @abdielgodfrey8119 4 года назад

    Wp wanangu wa arushaaa

  • @angelachuwa7432
    @angelachuwa7432 4 года назад +3

    Cha mchichaa umekula mchicha mwingi ndo maana 😂😂 yaani ralaa ubishoo mwingi jaman 😂😂😂

  • @simondogtrainer7498
    @simondogtrainer7498 4 года назад

    Sijui nianze kuwasalmia au... Yan laaaa

  • @latifaamurhamissabd6610
    @latifaamurhamissabd6610 4 года назад +2

    Na swag zote eti " yani laaaaaah " 😂😂😂😂😂

    • @omarathman3827
      @omarathman3827 4 года назад

      Majaji wameniudhi hawakumpa nafasi ya kuimba bali kumkejeli.

  • @latifaamurhamissabd6610
    @latifaamurhamissabd6610 4 года назад +2

    "" namnywaaaaa .... Yani namnywaa"" 😂😂😂

  • @lizzjahsolja1240
    @lizzjahsolja1240 4 года назад +1

    😂😂😂😂😂 ati mwili na vocal haviendani

  • @juifpetitlove9048
    @juifpetitlove9048 4 года назад

    bss love nyingiiii

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 4 года назад

    Ni mwendo wa ba tu 😂😂😂😂

  • @getruderamos900
    @getruderamos900 4 года назад

    Arusha jamani wananifurahisha.

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 4 года назад +4

    Siku hiz unatuonjesha Tu amuweki vitu full😋😋😋😋😋😋

  • @rehemambonea4972
    @rehemambonea4972 4 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣 me nilitaka kujuwa mwisho wa story

  • @hilarymungure8590
    @hilarymungure8590 4 года назад +1

    Yule aliekuja kwa swag la kifaransa anajua bwn

  • @angelachuwa7432
    @angelachuwa7432 4 года назад +2

    Nimecheka kwa nguvu jaman yaan. Ten huyo jaman mwenye mwili hata sauti haiendani n mwili HIV w2 wanafirikiaga nn jaman😂😂😂

  • @germanaallay8281
    @germanaallay8281 4 года назад

    Washiriki wa Arusha wanabore

  • @twinkletwinkle7459
    @twinkletwinkle7459 3 года назад

    Arusha kunani 😂😂😂😂Bhangi hatari

  • @mugishalahay6050
    @mugishalahay6050 4 года назад +1

    😂😂😂iyi bongo iyi inanipa raha

  • @Momo_96
    @Momo_96 4 года назад

    Temana Na Kiduku Aisee Mziki Umeingia..... Mara Kigugumizi Eti Mmeniwekea Nini Aisee 🤣🤣🤣🤣

  • @subiramhando9670
    @subiramhando9670 4 года назад +1

    Kuna wakaka wazurii humu akili zao Ni shidaaaaaa

  • @kakoxspgnewton
    @kakoxspgnewton 4 года назад +7

    naomba wa TZ mnisupport my channel kusubscribe🙏🙏🙏

  • @matridalule6477
    @matridalule6477 4 года назад +1

    Arusha jmn khaa shikamoo

  • @najatijafari9107
    @najatijafari9107 4 года назад +2

    jamani BSS ya mwaka huu paka raha yani

  • @matridalule6477
    @matridalule6477 4 года назад

    Yaan si wakike si wakiume htr tupu

  • @matridalule6477
    @matridalule6477 4 года назад +1

    Nimecheka bodgad na saut hahaaaaa

  • @matridalule6477
    @matridalule6477 4 года назад +1

    Yaan alusha mm naonaga wote wanavuta bangi jmn hahaaaaaaa wote akil mbele

    • @raymond5175
      @raymond5175 3 года назад

      Ni mwigizaji hatari sana

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 4 года назад +3

    Bora huyo alieshindwa kuimba kaamua kuongea kifaransa.

  • @johnbahame1023
    @johnbahame1023 4 года назад

    Oliotya ssebo,Wasuzo otya nnyabo 😉😉😉

  • @leinaamos
    @leinaamos 4 года назад

    Wengine waingizaji

  • @blackdollnelima1935
    @blackdollnelima1935 4 года назад

    Combination pls genge Vs bongo pls

  • @taitadollnicky273
    @taitadollnicky273 4 года назад +1

    Hamna kitu serious hapo...mnapoteza tu mda na kutafuta kiki

  • @latifaamurhamissabd6610
    @latifaamurhamissabd6610 4 года назад +8

    Christian Bella vous parlez bien le français 😍😍

  • @barakapaul6685
    @barakapaul6685 4 года назад

    Wakutrend wameanza baada ya MAJANABA

  • @zennahmtoto1867
    @zennahmtoto1867 4 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣Ommy

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 4 года назад +2

    Hivi Arusha tunakoese wapi, yaani kaja na zawadi za condoma jamani khaa

  • @christophermahawi4920
    @christophermahawi4920 4 года назад +1

    Yaani huko ni bangi kuliko asee 🤔🤔🤔

  • @shailahrama9557
    @shailahrama9557 4 года назад

    Hahahahah watanzania huja wahi kunicha mbavu zangu

  • @metisonnaftary5819
    @metisonnaftary5819 4 года назад +2

    Chuga tatizo utani mwingi

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 4 года назад +4

    Sijui kwann watuwazima wanakuja kutafta kiki za ajab...smh

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb 4 года назад

    *TAFADHALI KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAKUOMBA ANGALIA VIDEO YA WIMBO WANGU MPYA KWA KUGUSA PICHA YANGU HAPO PEMBENI LAKINI PIA NAOMBA SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YANGU ILI NIWEZE KUMONITIZE CHANNEL YANGU*
    Nitashukuru sana

  • @edwardbayyo7090
    @edwardbayyo7090 4 года назад +1

    Kuna master j labda afee😂😂😂

  • @faidasalvador9148
    @faidasalvador9148 4 года назад +1

    Wao

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 года назад +3

    Zawadi za cdm 😂😂😂😂😂😂😂

  • @emilianamushi3429
    @emilianamushi3429 4 года назад +1

    Dah chungaaa bangii tyuu

    • @jovestin530
      @jovestin530 4 года назад

      ruclips.net/video/xYphfr1zxDE/видео.html

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 4 года назад +2

    Dah sasa dada zetu wa Arusha hawa ndo mabby zenu?😀😀

  • @mugishalahay6050
    @mugishalahay6050 4 года назад +2

    Kwani arusha kuna marapa tu

  • @josephmgema9044
    @josephmgema9044 4 года назад +3

    Master J alitoboaje Bss mbn anaongelea puani xn

  • @yvefoods3752
    @yvefoods3752 4 года назад +2

    Daaaa 😅😂😂😂

    • @jovestin530
      @jovestin530 4 года назад

      ruclips.net/video/xYphfr1zxDE/видео.html

  • @praxedadominic5193
    @praxedadominic5193 4 года назад

    Idriss cha mchicha mmh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 года назад

    Hawa wote wanaingia kwa kiingilio cha 15000

  • @marymasanyiwa5738
    @marymasanyiwa5738 4 года назад +1

    Bongo sihami

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 года назад

    Hivi Arusha Hakuna vijana watanashati wenye kupiga pamba au ni maduka ya nguo ndio hakuna

  • @alwiyaal-kaf6514
    @alwiyaal-kaf6514 4 года назад

    A bodyguard 😂😪; some people smoke weed😂😂😂

  • @koldbloodwolf6354
    @koldbloodwolf6354 4 года назад

    😅😅😅

  • @ayshachondo9090
    @ayshachondo9090 4 года назад

    Yan wana vituko

  • @heneryofficial638
    @heneryofficial638 4 года назад

    Uyooo

  • @WowWow-dk3yo
    @WowWow-dk3yo 4 года назад

    😄😄😄😄😄

  • @cashbamzotz3901
    @cashbamzotz3901 4 года назад

    Daa

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 года назад +1

    moi je parler en peu français. Je ne comprends pas 😂

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 года назад

    Master j anaongelea puani kbs me simsikiii

    • @fabianndimanya2055
      @fabianndimanya2055 4 года назад

      @Bashaje online Hivi ww tunaulza vitu unaweka Link tunafungua tnakuta vitu mavi msenge ww😒😒😒

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 4 года назад +1

    Eti anangoma yake kwenyw mfuko

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 года назад +1

    moi je parler en peu français. Tu parle françaises mai tu n'ai chante pas bien. Je ne comprends pas 😂

  • @reginamneney7677
    @reginamneney7677 4 года назад +1

    Piga kll kwa AR yetu

  • @lulussemkiwa1289
    @lulussemkiwa1289 4 года назад

    Zawad pambe

  • @alexkissinga.5883
    @alexkissinga.5883 4 года назад

    KUNA NDOTO
    ZINACHEKESAHA
    TUFURAHI PAMOJA👇🏾
    ruclips.net/video/783AJedInhs/видео.html

  • @lucycast6994
    @lucycast6994 4 года назад

    Ommoy ni comedian

  • @latifaamurhamissabd6610
    @latifaamurhamissabd6610 4 года назад

    😂😂😂😂

  • @mamiamisa7257
    @mamiamisa7257 4 года назад +2

    tu parle bien francais bella🙄😂

  • @kipajifilamu4718
    @kipajifilamu4718 4 года назад +1

    ALIYEWAPA CONDOM MAJAJI AHOJIWA NA IDRIS SULTAN
    ruclips.net/video/abmQUJwUXYw/видео.html

    • @fabianndimanya2055
      @fabianndimanya2055 4 года назад

      Hatuingii kweny Link yako kuku ww maana tunakuta umewek vitu vingne😏😏😏😏

  • @rehemambonea4972
    @rehemambonea4972 4 года назад

    🤣🤣🤣

  • @sofianyasinde3446
    @sofianyasinde3446 4 года назад

    2nd to watch 😃😃

  • @yvefoods3752
    @yvefoods3752 4 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 4 года назад

    🤣🤣🤣🤣ila watu wa Arusha ni shida jamani

  • @rahmasalum2130
    @rahmasalum2130 4 года назад

    Hahahaaaaaaa

  • @meddy2group605
    @meddy2group605 4 года назад +3

    Idris bhana 😂😂 Kuna master j labda afe

  • @frankgibson1419
    @frankgibson1419 4 года назад

    🤣🤣🤣🤣

  • @LordFashionTz
    @LordFashionTz 4 года назад

    Hii Hapa Kali zaidiiiii BSS 2020 ruclips.net/video/tdF8f5IJfNM/видео.html