WADADA WANAOFANYA BIASHARA YA NGONO SHIVAS ARUSHA WAJIONYESHA, NABII MKUU KUWASAIDIA MITAJI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025

Комментарии • 150

  • @Gabonfreeman
    @Gabonfreeman Год назад +1

    God is my first one

  • @Gabonfreeman
    @Gabonfreeman Год назад +1

    God is my first one 😢😢❤

  • @shanifesto9037
    @shanifesto9037 Год назад +11

    Hata kama hawataacha wote wako waliochoka na kuamua kutafuta biashara na kukosa mitaji ila kwa jina la mwenyezi mungu naamni watafanikiwa,,,,hakuna mkanilifu katika hii dunia na usimyooshee kidole mtoto wa mtu maana tunazaa ee mwenyezi mungu tuepushe na haya na kuwatoa katika hili🙏🙏🙏🙏

  • @DaudiLaiza
    @DaudiLaiza Год назад

    Tunashukuru Sana mtumishi wetu mungu akuongeze nguvu saidi mkuuu wetu

  • @DaudiLaiza
    @DaudiLaiza Год назад

    Hongera Sana mtumishi wa mungu kwa kuwasaidia hao wa mama watoke kwenye shida

  • @akutiboysolomon9418
    @akutiboysolomon9418 Год назад +2

    Mtumishi Nabi Geo Dav God bless you!

  • @VeronicaMushi-ms1tn
    @VeronicaMushi-ms1tn Год назад +8

    Mungu aturehemu, Asante Mungu kwa hii huduma ya kuwasaidie wenye shida.

  • @jay-nyeye1900
    @jay-nyeye1900 Год назад +12

    Tatizo wanawake wengi wa siku hizi ni jeuri Sana hawataki kuwatii wanaume wao kisa wanataka haki sawa wapumbavu kabisa ndo maana wanatelekezwa

    • @AkswaZo
      @AkswaZo Год назад +2

      Na hawataki kbs kuyasikia hayo uyasemayo ndgu yangu. Wakiskia hvyo ndo kwanza wanazidi kushikwa na viburi

  • @neemamwanga5447
    @neemamwanga5447 Год назад +2

    Mungu naomba nisaidie Mungu naomba nisaidie mimi na kizazi changu

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 Год назад +2

    Namshukuru sanaaa MUNGU amenipa watoto watatu.... Ilaa wotee nawalea na amenipa Mke na niliwaambia ukweli... Kuhusu Mimi na akukubali na Sasa natarajia kuoa
    Hivi karibuni....
    Kiukweli wanaume ni mbaya Sanaa kuacha watoto kutelekeza mtoto kisa umetarafiana na mpenzi wako.... Achana na mahusiano yako hudumia chako hudumia mtoto wako itafanya Mama apungize stress na awe na Tumaini
    Utampumguzia huyo mwanamke mzigo
    Kunawatu wanauwezo na Bado wametelekeza family watoto kwa sababu za mapenzi.... na kipato MUNGU amewajalia
    Guys this is not fear wanaume wezangu kuweni na huruma kwa watoto usimuangalie Mama sawaa ila angalia dam yako
    JP njema MUNGU awabariki sanaaa

  • @alloycejames5285
    @alloycejames5285 Год назад +5

    Naomba Mungu awasaidie waache kabisa... waishi maisha ya kawaida...Yesu alikuja kwa ajili yao

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 Год назад +1

    Haya ndio mambo ambayo Doroth Ngwajima angetakiwa ayafanyie,nasio unafiki wa kujidai Jando Jando bungeni.

  • @SungesuAngelina-id4tj
    @SungesuAngelina-id4tj Год назад +3

    Mmmmh,Ee Mungu tusaidie ktk haya maisha Magumu dah😢😢😢

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 Год назад +5

    Rohoo ya mateso ikisha kuvaa itakutesa kwa namna yoyote haijalishi unatesekea wapi ila mungu akiamua kukutoa haijalishi anakutoaje

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 Год назад +1

    Ngumu sana huiacha hiyo kazi aisee inahitaj ujasiri kweli kweli

    • @rehemajoel7094
      @rehemajoel7094 Год назад

      HILO HALIMUHUSU NABII MKUU YEYE KATIMIZA KUSUDI LA MUNGU

  • @arthurmwabulambo1201
    @arthurmwabulambo1201 Год назад +4

    Mpaka wamekiri wenyewe kanisani bila aibu Mungu ana makusudi ya kuwaponya.

  • @shaban6644
    @shaban6644 Год назад +22

    Hao watapewa Mitaji na bado watarudi kwenye kazi yao.

  • @dhannunimkwama1101
    @dhannunimkwama1101 Год назад

    Mi macho Tu /

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 Год назад

    Hongera Sana

  • @happybajuta9769
    @happybajuta9769 Год назад +2

    😭😭😭mungu awasaidiee kwelii inaumiz jmn

  • @DavidKampate
    @DavidKampate Год назад

    Na hii yule msukuma amseme tuone ,Davie ubarikiwe sana

  • @sailantjoseph7411
    @sailantjoseph7411 Год назад +7

    Hawq ndio watu wa Mungu wanaohitajika, sio wale wakuchukulia masikini pesa na kuishia mbele.

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 Год назад

    Tunashukuru sana❤❤❤❤

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Год назад +3

    Mungu wangu daaaa jamn eee m/mungu jalia family hiz 😢😢

  • @RamadhaniMsemwa
    @RamadhaniMsemwa Год назад

    Hawa hawawez kuacha hiyo Kaz kwani tiali ndy mifumo ya Manisha yao hatakama wakipewa mitaji watashindwa kuiendesha kwani hawajazoe

  • @platnumzkawiche1861
    @platnumzkawiche1861 Год назад

    mizigo si haba🔥🔥🔥

  • @alloycejames5285
    @alloycejames5285 Год назад +5

    Yesu alikuja kwa ajili yao...

  • @aishanuru
    @aishanuru Год назад

    Amina. Mungu akubariki mtumishi

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 Год назад

      Wanawake hupenda kujiuza hata wakipewa hela watajiuza tu

  • @justinianstephano3846
    @justinianstephano3846 7 месяцев назад

  • @sabrysleiman5115
    @sabrysleiman5115 Год назад +1

    Muongo mbwa wee unajiliza unataka pesa tuu ,huwezi kuukimbia ule,
    Mbona katika kulia kwako kote unataja biashara

  • @anoldjefsta177
    @anoldjefsta177 Год назад +3

    Nimesikia sauti ya mteja wangu kabisa apo😂😂😂😂

  • @HusseinKalamba
    @HusseinKalamba Год назад +1

    Yani ninavyo ijua Shiva hakuna hata mmoja hapo Niko kaloleni miaka20 Yani mchongo juu yamchongo Niko pale nafanya biashara ya chips usiku kucha hapo hakuna Malaya

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 Год назад +2

    Aiwezi kuwa rahisi ivyo kuacha uzinzi wa ainahiyo ilo nipepo pamoja na umaskini

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Год назад +4

    Umalaya ni biashara ya kale zaidi,ilikuwepo tangu karne na karne.. wazungu wameifanya iwe rasmi..wanachukua kodi,unalipa kwa kadi... wapo waliojenga,kusomesha,kupata kazi, uongozi kwa kazi hiyo ya umalaya.. hao waliokuja hapo kwa nabii ni wazee..soko limekata

    • @rehemajoel7094
      @rehemajoel7094 Год назад

      HATA WIZI NI KAZI WENGI WAMEJENGA. MAOVU LAZIMA YALAANIWE. WEWE WA WAPI

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Год назад

      @@rehemajoel7094 umalaya na wizi havihusiani. Wizi ni kuchukua mali/wazo la mtu bila ridhaa ya mhusika; wakati 'umalaya' ni mtu anayetumia kiungo cha mwili wake kujipatia kipato/maisha..kama wachezaji mpira, wacheza ngumi,mieleka,nk wanavyotumia miili yao kujipatia kipato.

  • @awadhiabdallahjuma8481
    @awadhiabdallahjuma8481 Год назад

    Tatizo mabishoo halafu kujiona PC Kali kwamba hawezi fanya biashara ndogondogo wamebweteka na kuzalau wenzao wanao jituma mitaani lkn hapo hakuna mvovu hata mmoja wakiafya ambaye anahitaki msaada nikwamba mishen town tu hao wanataka uwape hela wakatanue Kama hujui Kama hela Ni nyingi kawapelekee watoto yatima utabaliiiwa zaidi achana nahao wahuni

  • @awadhiabdallahjuma8481
    @awadhiabdallahjuma8481 Год назад

    hao washakuwa Cronick hata uwasidie watarudi hukohuko hicho nikikundi Cha watu wamekusanyana waje wakurubuni lakn ndioishakuwa baishara Yao hawawezi kuacha wote lamda wachache saana

  • @yohanamorisi9027
    @yohanamorisi9027 Год назад

    Amesema hata kama amejifunika yeye macho to akimuona atamtambua kwa maana ya akimuona to atamtambua kuwa aliwahi kumnunuaau😢😢

  • @godfreyzenda9027
    @godfreyzenda9027 Год назад +7

    Ni bora kuwasaidia hawa kuliko kuwapa magari wasanii na waigizaji ambao wanacho cha kufanya

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 Год назад +2

    Atakae chukua hela hapo na akarudi kujiuza tena amejilaani mwenyewe

  • @abraham99ful
    @abraham99ful Год назад

    Hawawezi acha huyu ana jisbua ww ana thaani kuna wanaume mabwege wangapi washa wai wapa na waka rudi ni kama mkosi

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Год назад +1

    Wataacha wachache hiyo dhambi kuiicha ngumu mpaka Neema ya Mungu

  • @mimasirdic8379
    @mimasirdic8379 Год назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂 nacheka kama mazuriii eti baba anauliza ugumu wa kazi upo wapi, Daah

    • @alexmavindi2104
      @alexmavindi2104 Год назад

      Nacheka Kama Mazuri japo sijajua alikuwa na maana gn kuuliza hilo swali😂😂

  • @awadhiabdallahjuma8481
    @awadhiabdallahjuma8481 Год назад

    Mijitu imenawili kwajili yakujiuza galafu inakuja kukukejeli hapo

  • @2FlevaJin
    @2FlevaJin Год назад

    Bora Huyu nabii sadaka anazopokea mwishowasiku anazirudisha tena kwawenye shida Kama hawa na wengineo'siowengine wanabeba sadaka cha ajabu wanakulapekeyao

  • @kirupyseleman582
    @kirupyseleman582 Год назад

    Matukio muhimu mnapost na kufuta huu usnge* mnapost haya mtu kutoka mitaa ya shvs nijuze hakuna wamama wakujiuza

  • @lailalaila8206
    @lailalaila8206 Год назад +1

    Serekari wanashindwa kutoa hajila kwa vijana matokeo yake wanakamata makahaba wezi hajila wanapeana watto wa viongoz mala makamba mala kikwete mala mbinyi lkn watto wetu hari ngumu badara wasuruishe wanazid kukandamiza tukikamata fain na jera wao wanazani wanasaidya kumbe ndio wanadidimiza kabsaa?

  • @isacksimonmahungilo
    @isacksimonmahungilo Год назад

    Wengine wakakataa wachumba at si hadhi yake matokeo yake ndo hayo

  • @Direct-0000
    @Direct-0000 Год назад

    shida wapi...

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 Год назад

    Mchungaji asnte. Ila naomba ukiwapa ungewafatili maana wengine hawaliziki wala kupenda kujishughulisha ili kuzalisha zaodi.

  • @GodfreyNjau-bd6ui
    @GodfreyNjau-bd6ui 9 месяцев назад

    Malaya wa shauri moyo hao

  • @BabaTheo
    @BabaTheo Год назад

    hata ingekuwa ndo mimi kwenye mgawo wa hela nitasema chochote ilimradi nipate hizo hela

  • @VeronicaMushi-ms1tn
    @VeronicaMushi-ms1tn Год назад +1

    Tutatoka kimaisha nabii mkuu amesema. Nami nasema AMINA MTUMISHI ASANTE.

  • @crispinakimaro3821
    @crispinakimaro3821 Год назад +1

    Kuendelea kuwahoji ni udhalilishaji tuanzie hapo ndoto zao nini.

    • @alexmavindi2104
      @alexmavindi2104 Год назад

      Sio udhalilishaji maaana hata YESU mwenyewe wakati ana taka kumponya yule kipofu Alimuuliza unataka nikufanyie nn, au unadhan YESU hakujua kuwa yule alikuwa ni kipofu ila alimfanyia ki interview kidogo ili kufaham shida ninini na anahitaji nini so kwa huyo mtumishi hapo sidhan Kama Kuna kitu kibaya amekifanya boss wang😁👊👊

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 Год назад

    Hawawezi acha hao waongo

  • @ameirdarueshi2593
    @ameirdarueshi2593 Год назад +1

    Sasa nyinyi badaa ya kuomba mufanyiwe maombi mnataka mpewe mitaji

  • @husseijuma1025
    @husseijuma1025 Год назад

    hilo la nyuma zigo

  • @frankkatima607
    @frankkatima607 Год назад

    Mh!!!! Mungu ni mwema ila zilishaota sugu watarudi tu

  • @Keyjop
    @Keyjop Год назад

    🙌🙌🙌🙌 😭😭😭

  • @FidelisNusuhela
    @FidelisNusuhela Год назад

    kwa anaejitambua hatarud kujiuza

  • @mayungamboi9753
    @mayungamboi9753 Год назад

    🙏🙏🙏🙏🥳

  • @samsonsamson9811
    @samsonsamson9811 Год назад

    kma hawana akiri ya kubuni biashara itakayowaingizia faida badala yake wanaona ngono do biashara halali kwao utawapa mitaji watailamba na watarund kwny biashara zao

  • @eliasedes1225
    @eliasedes1225 Год назад

    Kama kweli ni msaada kwa nn awaniike c angewasaidia tu co lazma awaniike

    • @alexmavindi2104
      @alexmavindi2104 Год назад

      Kwan hapo wame anikwa naww jamani, tena tu wameheshimiwa maana Camera hazija pigwa upande wa usoni ndomana huja fanikiwa kuona sura ya mtu yoyote yule, haya je wange onyeshwa sura zao ungesemaje😢😢
      Hilo bichwa lako litumike kufikiria ndugu yangu na sio vingine sawa boss 😂🤸🤸🤸

    • @alexmavindi2104
      @alexmavindi2104 Год назад

      Uzuri pia hakuna aliye lazimishwa kuja so sio point ya uzalilishaji hapo kiongozi 😁🤸🤸🤸

  • @AkswaZo
    @AkswaZo Год назад

    Walichokikosa mioyoni mwao si pesa bali ni maadili so kama ni ishu ya kuwabadilisha walipaswa kupewa dozi juu ya ubaya wa wanachokifanya kwa mujibu wa maandiko

  • @peterdavid4230
    @peterdavid4230 Год назад +1

    Hawa tayari meshetani na wamebeba marohoo na mapepo ya kila haina apo wanahitaji mitaji wakale tu kumbuka Jasiri aachi asili yake afu wanawake wasikuiz wanapenda haki sawa na wanaume zao apo ndipo wanapotelekezwa

  • @joycefesto1429
    @joycefesto1429 Год назад +1

    Acha tu wasaidiwe

  • @mrfashion1687
    @mrfashion1687 Год назад +1

    Wakishaacha tutaenda THE PICNIC kaloleni, mbona wamejaa kibao

  • @SuGuTz
    @SuGuTz Год назад

    Sema ndio😀

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 Год назад

    MUNGU HATOI MITAJI MUNGU ANATOA MAOMBI ILI TABIA HIYO IKOME

  • @Dadytamal
    @Dadytamal Год назад

    Sio shida ni umalaya2 naona mapic kal2 ila hamtaki kujituma wadada Kujiuza sio kaz alf unaenda seem ya ibada hapo upo uchi din gani xijui duuh hatari 2nasubir jua kuzama asubuh

  • @ernestkatyega5781
    @ernestkatyega5781 Год назад +2

    Mh wanamizigo

  • @DaudiLaiza
    @DaudiLaiza Год назад

    ❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 Год назад

    Apo kuna watu roho zinawauma

  • @OmaryRajabu-bq5hb
    @OmaryRajabu-bq5hb Год назад

    Waje na vitambulisho vyao

  • @allymbaruku7072
    @allymbaruku7072 Год назад

    Kesiyatumbili kapelekewa nyani kazikwelikweli huyojamaa hawezi kuwasaidia chochote

  • @saluten5926
    @saluten5926 Год назад

    dah

  • @SafenathPanea
    @SafenathPanea Год назад

    😥😥😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 Год назад

    duu hatariii

  • @AmiBoy-vs2td
    @AmiBoy-vs2td Год назад +1

    Malaya wanafki yanalia kbisa afu ukiyakuta shivas ynaanza kuchekana sijui weww ulikuwa hivi nilikuona sijui ulikuwa vile,. Utayapa mtaji shingap haya malaya yanaingiza wastani wa elfu 90 per day equivalent to 2.1Millions per month. Mbali na hapo Malaya km Malaya hawez kosa mtaji Akiamua labda Imjie akili yakiimani kwamba kufanya biashara Hali mtaji wake umepatikan kwa njia ya Haramu km hyo haitokuwa na manufaa hyo biashara

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 Год назад +1

    Mnhhh😂😂😂😂😂

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 Год назад +2

    Mbeee

  • @Boniface.
    @Boniface. Год назад

    Hapo kwenye kuchoka sasa

  • @eliahswai1607
    @eliahswai1607 Год назад

    Hawaezi acha ata wapewe mtaji wameshaipependa kazi yao

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 Год назад

      Anaye weza kukuachisha dhambi na kusamehewa ni Mungu2 👌 okoka uone ukuuu wa Mungu atakasaye dhambi kwa wanadamu😮😮😮😮😮

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 Год назад

    Wachungaji wa Dar nimwendo wa kikanyaga mafuta na na kubariki udongo

    • @alexmavindi2104
      @alexmavindi2104 Год назад

      😅😅 nacheka Kama Mazuri MUNGU anisamehe🙏, ila daahh ndugu yangu umejua kunifurahisha😂😂

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 Год назад

    Kwani lazima ufanye kazi hiyo kwani hakuna kazi nyingine shida ni kupenda kulala na wanaume

  • @HusseinGabu-wr3xh
    @HusseinGabu-wr3xh Год назад

    Hao hawataacha kamwe achana nao hao

  • @JohnHanga
    @JohnHanga Год назад

    Naon comments nyingi ni za mungu wangu hivi vitu vipo sasa mnashangaa nin

  • @Dadytamal
    @Dadytamal Год назад

    Sasa watoto wanababa zao napia fanyeni kazi wadada ham hamtaki kujituma Au..Ndy dini biashara mi naona ungese2 kama move 7b sio kazi kujiuza ni umalaya wenu na kuoenda Ufree alf hili dingi Shettan

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 Год назад

    Wewe_ulievaa_juba_na_nikabu_sjida_yako_ni_kulidhalilisha_jumba_usione_haya_kujiuza_uje_uone_haya_kamera_Mungu_akusamehe_ila_kama_nia_yako_ni_kudhalilisha_din_Mungu_akudhalilishe_pia

  • @idatonymassawe
    @idatonymassawe Год назад

    😢😢😅😅

  • @alloycejames5285
    @alloycejames5285 Год назад +1

    Shida yao kubwa siyo mitaji bali kifungo cha shetani... kazi zote zina changamoto hata wakipewa mtaji

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 Год назад

      Kweli mana kuna watu Wana mitaji midogo na hawajiuzi

  • @paris_tz
    @paris_tz Год назад

    Ety naskia nao wanasem USILETE MAPENZI KAZINI na wanaon kama kaz zingin

  • @amininuru9270
    @amininuru9270 Год назад

    Kwani iki kituo hua akina habari za mikoa mingine kila cku ni Arusha tu

  • @jay-nyeye1900
    @jay-nyeye1900 Год назад

    Hawa wanajitakia tu kujiuza wamekimbia miji yao

  • @JaphetKessy
    @JaphetKessy Год назад

    Nyie mmeshazoea hata mkipewa mtaj mtafanya2!

  • @binyuraezbon-uq4tz
    @binyuraezbon-uq4tz Год назад +1

    Kuna tako naliona hapo kwa nyuma

  • @erastomapunda1444
    @erastomapunda1444 Год назад

    kwani lazima muwatangaze

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 Год назад +1

    Hamna lolote nyie wasanii tu

  • @shaameblack7454
    @shaameblack7454 Год назад

    Sasa unawasaidiya au kuwa kejeli t

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 Год назад

    Wanaigiza hao hakuna malaya hapo

  • @jumamaulid9462
    @jumamaulid9462 Год назад

    Serikali kila siku inasema,
    Tumia mikono, miguu na afya yako nenda shamba kalime na uache kuombaomba.
    Hvyo ndiyo solution ya kweli na sio kujidhalilisha kwa kuombaomba.