KANISA KATOLIKI KUPITIA ASKOFU RUWAICHI WATOA MAONI JUU YA MISWADA, WAELEZA TUME YA UCHAGUZI SI HURU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 ноя 2024

Комментарии • 11

  • @nyamweririchard5945
    @nyamweririchard5945 10 месяцев назад

    Hongera Mmetimiza wajibu wenu,japo kuna watakao kosoa ila ikitokea shida wanarudi kwenu viongozi wa dini kuombea Taifa

  • @normanndetiko.5868
    @normanndetiko.5868 10 месяцев назад

    Asante sana Baba Askofu kwa kutimiza wajibu wako na haki zako kama raia wa nchi hii.
    Naomba maaskfu wengine wenye akili kubwa washiriki katika hili la maoni.
    Kumbuka Waamini wenu ndio ni raia nao wanahitaji maaskofu wao walio raia nao washiriki katika hili .. na kuwaelekeza waamini wao kwenda kutuliza nchi kwa sheria mzuri za kiuchaguzi... naomba sana ASANTE SANA BABA ASKOFU JUDA THADEI RUWA I'CHI

  • @amicabledaressalaam5953
    @amicabledaressalaam5953 10 месяцев назад +2

    Safi sana

  • @joshuamariki1734
    @joshuamariki1734 10 месяцев назад +1

    Nilichogundua Hili Baraza liveability mutu kutoka nnchi kuchunguza haya mambo. Maana hakika wamesema mambo Muhimu kwa Nchi yetu ... si mambo yananoyoweza kupatikani TZ. .. hii kamati ina uziada. Safi saana...

  • @visensiakadege6608
    @visensiakadege6608 10 месяцев назад +2

    MUNGU IBARIKI TANZANIA

  • @valerianpiuskitira9762
    @valerianpiuskitira9762 10 месяцев назад

    Nice 👏👏👏

  • @nicodemusngwala2079
    @nicodemusngwala2079 10 месяцев назад +1

    Ukweli lazima usimame kuhusu tume huru ya uchaguzi ili kuleta na kuwepo kwa uchaguzi wa huru na haki kulingana na Katiba ya nchi ..hivyo Uwepo wa Katiba mpya ni muhimu kurekebisha maungufu mengi yaliyopo yanayipendelea na kuhakikisha raisi na Chama kilichopo madarakani kuendelea kubaki madarakani ... Hongera Askofu ... Mungu akubariki Amen ...

  • @francismlelema8754
    @francismlelema8754 10 месяцев назад +1

    Meseji konki sana

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 10 месяцев назад

    CPCT ijichunguze upya. Bwana Yesu anatuonya, ... Haki yetu isipozidi ya (Jamaa zetu hawa?), hakika kamwe hatutourithi Ufalme wa Mbinguni.

  • @amosmsalege4134
    @amosmsalege4134 10 месяцев назад

    ❤❤❤❤

  • @karenstephen8738
    @karenstephen8738 10 месяцев назад

    Kumekucha mababa wamejimwaga