Nilikuwa nasemaga wanaolinda mpunga wanawezaje kupiga kelele zote zile pekeao hawana akili badae mama akaanza kulima mpunga siku yangu yakwanza kulinda mpunga nilipata jibu kwann wanapgaga kelele hata Sasa najiuliza naweza kuisambaza injili kutembea mitaan kama vile ningum lkn yesu alitembea nitaelewa yawezekanaje siku nikifika hyo levo yesu ndio njia yangu naomba kuimaliza safar pa1 naweza Amina
MUNGU ANA ITAFUTA IMANI NDANI YA MTU ❤ I'm always 1st here🎉
Amen 🙏🏻 yes
Ameeeen🙏
Ameeen
Amen
Hili somo la bwana ampa mtuwake usingiz linanisumbuaga sana hatimae nalielewa kidogo