Dealing With Rejection | Pastor Tony Osborn | 31st Oct 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025
  • Connect with Pastor Tony Osborn Ministries:
    Facebook: / pastortonykapola
    Instagram: / pastortonyosborn
    Contacts (Mawasiliano): +255 713 702 187
    Offerings (Sadaka): +255 762 153 539 (ANTHONY KAPOLA)

Комментарии • 53

  • @LucyMacake
    @LucyMacake 3 месяца назад +6

    Nimefungua frem niliyoshindwa kufungua kwa miaka saba Mungu Asante sana ..my pastor thanks ur a gift
    Mwisho usiache kuongea kingereza mm ninajifunza kupitia ww💃🏼💃🏼kuna muujiza huku siku hiz naongea kinge tu😂

  • @wemawestern1971
    @wemawestern1971 3 месяца назад +15

    Asantee sana Mungu Wangu na asantee sana man of God ulisema nitapokea miracles ya job na nimeipokea Kwa mikono miwili asantee sana man of God Kwa sign and token kutufundishe maana nikipiga sign and token mpaka hakika Mungu katenda sana amini atukuzwe na ahimidiwe Mungu aliye juu sana Amen sana

    • @mariamngussa-es7mo
      @mariamngussa-es7mo 3 месяца назад +1

      Ameeen amen sign and token ya kuchora chini rescued me 🙌🙌Thank You Lord

    • @wemawestern1971
      @wemawestern1971 3 месяца назад +1

      Amina​@@mariamngussa-es7mo

    • @wemawestern1971
      @wemawestern1971 3 месяца назад +1

      Amina ​@@mariamngussa-es7mo

  • @medrinebayo3833
    @medrinebayo3833 22 часа назад

    I hear God only God speaking 🙌🙌 Asante Yesu

  • @ThomasElias-zp4ux
    @ThomasElias-zp4ux 3 месяца назад +3

    Kama mikono yangu nilivyo inyanyua juu zaidi when Am born Again Ndivyo nitakavyo nanyuka katika Kila Eneo la maisha yangu IN JESUS NAME.....THANK YOU JESUS

  • @MartinNelson-g7r
    @MartinNelson-g7r 3 месяца назад +4

    Hakika maandalio ya moyo ni ya mwanadamu Bali jawabu la ulimi linatoka Kwa Bwana , Niko ndan yako yesu ahsante Kwa kuninywesha maji yako na kiu yangu imekata

  • @nancykasoha3046
    @nancykasoha3046 Месяц назад

    ujumbe wa maana sana nimeupata mwaka huu.ahsante sana pastor Tony

  • @SusanWandera-lz7nf
    @SusanWandera-lz7nf 3 месяца назад +2

    Powerful worship,be blessed praise and worship❤

  • @maxsenciusalexander2213
    @maxsenciusalexander2213 2 месяца назад

    Hapo mwisho 🔥🔥🔥🔥
    What a revelation 😮‍💨😮‍💨

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 3 месяца назад +9

    Jamani leo imekuwaje sijaona ibada live wala notification sijaona nimesikitika saaana

    • @evasilaa9064
      @evasilaa9064 3 месяца назад +1

      Ilikuwa live labda ulichelewa

  • @zenorinachamy7827
    @zenorinachamy7827 3 месяца назад +2

    nijenge baba nijengee🙏

  • @natashanelvia729
    @natashanelvia729 3 месяца назад +2

    I missed wonderful sermon but luckily I had to repeat keenly it's super amazing God keep pT tuzidi kupona ❤❤

  • @MagrethWilson-r3m
    @MagrethWilson-r3m 3 месяца назад +1

    Ameeen Mungu nisaidie 💡💡💡🇦🇪🇦🇪🔥💪🇦🇪🇦🇪🇦🇪

  • @shayolee8039
    @shayolee8039 3 месяца назад +1

    Mungu akubariki baba unatusahindia sana tena sana ❤

  • @emmyjacky5144
    @emmyjacky5144 3 месяца назад +1

    Happy new month of Favour🎉

  • @mariamngussa-es7mo
    @mariamngussa-es7mo 3 месяца назад +4

    50:14 baba uje na Mtwara 😢😢

  • @ATUPELEMWANDENUKA
    @ATUPELEMWANDENUKA 3 месяца назад +1

    Mungu wangu Asante kwa rehema neema na kibali niongoze kuelewa mafundisho yakoMungu wangu nizidi sana na nifanikiwe sana na utukufu uwe mkubwa sana baba angu 🙏🏽

  • @josephinendinda9065
    @josephinendinda9065 3 месяца назад +1

    Hallelujah,, Mungu akiwa upande wangu,,(Nan Aliye juu ysngu?NAPOKEA KIBALI KWA BWANA

  • @Lilianzoe2024
    @Lilianzoe2024 3 месяца назад +1

    IAM BLESSED

  • @KareenSojo-ue1db
    @KareenSojo-ue1db 3 месяца назад +3

    here listening this time

  • @LilianOctavian
    @LilianOctavian 3 месяца назад +1

    Thank you God 🙏

  • @Lilianzoe2024
    @Lilianzoe2024 3 месяца назад +2

    Thank you God for October iam blessed 🙏🏽
    Nipo tena mahali hapa nifinyange tena Mungu

  • @IreneMsangiDavid
    @IreneMsangiDavid 3 месяца назад +1

    Asante Yesu Kwa kuniponya a kuniokoa mimi nipo salama

  • @upendommbaga7070
    @upendommbaga7070 2 месяца назад

    This msg come to my life at the right time... thank you GOD , thank you papa

  • @gloryswai1111
    @gloryswai1111 2 месяца назад

    1.Favour is stubborn.
    2. "Romans 8:31"🎉
    3. Mungu ameniridhia kwahiyo Mungu yuko upande wangu.
    4. Kwakuwa Mungu yuko upande wangu hakuna atakae kaa juu yangu.

  • @eliethaudax9360
    @eliethaudax9360 Месяц назад

    Asante sana baba

  • @mbassasophy2020
    @mbassasophy2020 3 месяца назад +1

    Wakufanana na wewe hakuna💃💃

  • @StellahLaurent
    @StellahLaurent 2 месяца назад

    Asant baba 🙏🙏

  • @catherinejustine5302
    @catherinejustine5302 3 месяца назад +1

    Amen🙏🙏

  • @devothafredrick
    @devothafredrick 3 месяца назад +1

    Mungu akiwa upande wangu ni nani aliye.juu yetu? napokea mwezi wa kibali katika jina la yesu (kibali kila mahali)

  • @veronicamahenge7256
    @veronicamahenge7256 3 месяца назад +2

  • @BrightNyari
    @BrightNyari 3 месяца назад +1

    Dodoma God is good

  • @JoanithaRweyemamu
    @JoanithaRweyemamu 3 месяца назад +3

    Amen

  • @hildamangiri4088
    @hildamangiri4088 3 месяца назад +1

    Mungu akiwa upande wangu, ni nani aliye juu yangu??
    Mungu yupo upande wangu.. I am Highly FAVORED. November yangu imejaa kibali, wingi wa baraka furaha utajiri na mema

  • @SashaChriss-f6f
    @SashaChriss-f6f 3 месяца назад +1

    Amen 🙏🏼

  • @KareenSojo-ue1db
    @KareenSojo-ue1db 3 месяца назад +2

    isaya 53:3

  • @irenesarai1928
    @irenesarai1928 3 месяца назад +1

    Recaping time

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 3 месяца назад +3

    At least nimepata nafasi sahiz 🥰

  • @augustaeusabius2566
    @augustaeusabius2566 3 месяца назад +1

    😂pastor nimesha miss handle

  • @jacklinendingwi-tv7tp
    @jacklinendingwi-tv7tp 3 месяца назад

    Recap

  • @ThomasElias-zp4ux
    @ThomasElias-zp4ux 3 месяца назад +1

    AM BLESSED

  • @VeridianaShayo
    @VeridianaShayo 2 месяца назад

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @irenesarai1928
    @irenesarai1928 3 месяца назад +1

    Ameeen🙏

  • @mbassasophy2020
    @mbassasophy2020 3 месяца назад

    Amen

  • @neyjackson4507
    @neyjackson4507 3 месяца назад +1

    Recap

  • @jescamhoka
    @jescamhoka Месяц назад

    Amen 🙏