JIFUNZE KUPAKA MAKEUP NYUMBANI BILA KWENDA SALON | Makeup tutorial for begginers |VIFAA VYA MAKEUP

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 371

  • @AsmaAlly-o7w
    @AsmaAlly-o7w 8 месяцев назад +4

    ❤ unajua dada

  • @asihairbeauty261
    @asihairbeauty261 2 года назад +7

    I admire your work, I watch without even hearing one word. I will start learning Swahili very soon! Keep it up, Queen.

  • @lucyfesto4195
    @lucyfesto4195 9 месяцев назад +1

    Hongera kazi nzuri .

  • @faithjelimo-en1xb
    @faithjelimo-en1xb Год назад +1

    I like this very impressive,nafuatilia mafunzo yenu sana,ningeenda nipate mafunzo saidi

  • @jazilakaura7474
    @jazilakaura7474 2 года назад +5

    Mungu akubariki sanaaaa,huna uchoyo ndo maana anazidi kukuinua💪

  • @RehemaLubisha
    @RehemaLubisha Год назад

    Hongera nimeipenda Sana ningependa kujua vifaa vyote vinavyotumika

  • @lilianmilanzi3494
    @lilianmilanzi3494 2 года назад

    Wow naitaji kijifunza ivivi na nitawaungusha ivyo vifaa

  • @idrissasabiyumva8895
    @idrissasabiyumva8895 3 месяца назад +1

    Jinangu latifa na na itaji vifa vya mecapu

  • @zubedajumanne8819
    @zubedajumanne8819 2 года назад +4

    Kazi nzuri Madam, naendelea kujifunza kupitia video zako nyingi,kila siku naingiza kitu kipyaa ❤️❤️

    • @tausimwaijonga5946
      @tausimwaijonga5946 2 года назад

      Nimependa Sana ongera kwa mafunzo mazuri

    • @tausimwaijonga5946
      @tausimwaijonga5946 2 года назад

      Huu wanja cjauwelewa madam

    • @upendotz8559
      @upendotz8559 Год назад

      Mambo mbona hatuonagi mahafali ya chuo chako au wanafunzi wanamaliza tu wanaondoka?

  • @hafsaitindinya3729
    @hafsaitindinya3729 2 года назад +1

    Habibty,i love your work,vipi kuchora piko

  • @Fatma-to6rq
    @Fatma-to6rq Год назад

    Mashaallah kzi nzuri sna sisi tulio kenya tutapata vp makeup

  • @crochetinginstyle
    @crochetinginstyle 2 года назад +1

    Farida,wewe ni kiboko yao....hongera dada na asante kwa kutujuza

  • @EstherKabazungu
    @EstherKabazungu 2 месяца назад

    Jambo dada frida nafuraiyaka sana mafundisho yako naipenda sana

  • @dahabochori7553
    @dahabochori7553 Год назад +1

    Dada yangu kazi mzuri Sana Allah akubariki

  • @onfleaky8477
    @onfleaky8477 2 года назад +2

    Tufundishe pia how to make fake eye lashes and how to remove them

  • @salumsuleiman1576
    @salumsuleiman1576 2 года назад

    Waoooo!! Jmn makeup mart sna👌👌

  • @REHEMAMAHAWA
    @REHEMAMAHAWA 3 месяца назад

    Habar yako Dad Farid nilikua naitaji vifaa vya make up simple bei Gani

    • @faridaothman
      @faridaothman  3 месяца назад

      SETI ya MATUMIZI binafsi??? Piga 0657292650

  • @adelightmulongo
    @adelightmulongo 2 года назад

    Kweli kabisaa vidio zenu zimenifanya nang'aa Kila siku nafufurahia kazi mnayoifanya

  • @edinamwanasenga1584
    @edinamwanasenga1584 Год назад

    Nakupenda sanaa dada uko vizuri boss wangu

  • @HusnaMosi-rt5tu
    @HusnaMosi-rt5tu Год назад

    Kazi mzuri mm nataka iyo sety ya vipambo

  • @carolinemwakagali3909
    @carolinemwakagali3909 Год назад

    Hiyo ni simple make up au full dada

  • @MilkaJohn-k1z
    @MilkaJohn-k1z 5 месяцев назад

    I wish to know and one day niwe competent about this❤️

  • @salmasulleysh7101
    @salmasulleysh7101 Год назад

    Yan adi raha 🥰mm nkijua to saluni watanitamani 😆😆🤣✋

  • @takdirmasud7285
    @takdirmasud7285 2 года назад

    Vzr Sanaa dadaa naeza pata hivo vifaa

  • @joyceqpc8639
    @joyceqpc8639 2 года назад

    Jmn mm sijaelewa kwenye kubandika kope yan nmetoka zero kabsaaaaa 🙈🙈

  • @SophiaChambellah-vl7ns
    @SophiaChambellah-vl7ns Год назад

    Asante kwa Darasa. Lakn hapo kabla ya kupaka poda ulipaka nini ndio sjaelewa

  • @SarahLucas-n6n
    @SarahLucas-n6n 6 месяцев назад +1

    Waooo nimependa

  • @NicksonMwebuga
    @NicksonMwebuga 3 месяца назад

    Nzuri sn hapo kwenye put cableway mbna km imechongeka afu kuna unlock pembeni

  • @leahjames4415
    @leahjames4415 7 месяцев назад

    Ahsantee sana Mungu akubariki sana

  • @mercykamugisha3386
    @mercykamugisha3386 2 года назад

    Kazi nzuri sana nime penda,nili kuwa naomba ushauri wako ,kuna weusi kweny mzunguko wa macho yangu,je nitumie nin kuondoa huwo weusi

  • @agapebby9967
    @agapebby9967 2 года назад +1

    Nakutakima kazi nzuri na Maisha mema

  • @DoryEdward-y1o
    @DoryEdward-y1o 4 месяца назад

    Nimeipenda Sana nahitaji kujua namna ya kupangilia had makeup ikamilike

  • @SarahLucas-n6n
    @SarahLucas-n6n 6 месяцев назад +1

    Niko mara nikihitaji vifaa napataje

  • @MercianaMollel
    @MercianaMollel 4 месяца назад

    Mbona sijakuelewa ulivyo bandika izo kope proses ya kubandika kope Tafadhari?

  • @reshara8801
    @reshara8801 2 года назад

    Nikihitaji vifaa vya make up full itanighalim sh ngap

  • @praxedapatrick3494
    @praxedapatrick3494 Год назад

    Uko vzr sana,mekap unayotumia ya aina gan?mi ni mweusi

  • @shedy_marie
    @shedy_marie 7 месяцев назад

    Ayo macho si kulia 😂😂

  • @kulthumhamadi
    @kulthumhamadi 2 года назад

    Mashallah sisi tuliopo zanzibar unapata vip

  • @mariammwasha4742
    @mariammwasha4742 2 года назад +5

    Kazi nzur sn❤❤

  • @happynazalenonazalenomndew5990
    @happynazalenonazalenomndew5990 2 года назад

    Da Farida mm naitaj vifaa vya kufanyia make up full

  • @asmasaleh6003
    @asmasaleh6003 2 года назад +2

    Mm nataka uniunge na group la makeup

  • @faustangaya8987
    @faustangaya8987 2 года назад +2

    asante upo vizuri shida yangu wanja kama huo nashindwa kinyosha

  • @shukranmtumba3575
    @shukranmtumba3575 2 года назад +2

    Kazi ni mzurii mamy mungu awe nawee

    • @BelindaSemwenda-r7l
      @BelindaSemwenda-r7l 2 месяца назад

      Me nikotambola so nikuwanahitaji unisaidie majina ya vifaa unavotumia

  • @lucaschacha1792
    @lucaschacha1792 8 месяцев назад

    Good job ❤❤

  • @faidhakhamis9967
    @faidhakhamis9967 2 года назад +2

    Dada nisaidie vifaa vyote nnavyo vile muhim sasa tatizo nikishadefine wanna wang napata tabu kuondoa iyo conciler badala yake ata nkishapaka foundation ile rang ya conciler inaangaza zaid

  • @jrop1905
    @jrop1905 2 года назад

    Wow....nataka shule niko 🇰🇪

  • @carinemuhimpundu8921
    @carinemuhimpundu8921 Год назад

    Pleuz naitaji vifaa via mekup aswa fondation sana tu

  • @deom-nyamwezi5879
    @deom-nyamwezi5879 Год назад

    Ningependa nijuwe bei ya ivyo vitu kila kipondozi kimoj kimoj ila samahan kwasababu namim napenda san iyo kazi

  • @EstellaBinwa
    @EstellaBinwa 4 месяца назад

    Dada nahitaji kujuwa nisaidiye kwani fondesheni unahipaka uso wote please

  • @LaurenciaEdward-pm3es
    @LaurenciaEdward-pm3es Год назад

    Dada farida me naomba unisaidie kitu nataka kufungua saloon yangu naomba uniolozeshee vifaa vyote ba bei zake samahani kwa usumbufu lkn

  • @josephinemuthimaanivalya4165
    @josephinemuthimaanivalya4165 Год назад

    Shukurani dada Faridha, Niko Congo niko kwenye Channel yako kuji funza make UP lakini sijuwi vifaa vyakutumikisha lakini pamoja Nawel nita weza

  • @asmaramso1764
    @asmaramso1764 2 года назад +1

    Napenda san kujifunza makeup

  • @mwainekasanga7266
    @mwainekasanga7266 Год назад

    Nimependa jinsi unavofundisha napenda pia urembo me nipo Geita ni aina ipi nzuri ya foundation ambayo anaweza kutumia mtu mweupe au mweusi. Na hata maj ya kunde

  • @theresiasamba3943
    @theresiasamba3943 2 года назад

    Uko vizuri sana dada unajua kufundisha

  • @mkundemarandu5599
    @mkundemarandu5599 2 года назад

    Asantee dada angu..nitakuja kununua set ya mecap.

  • @tanashashombe9577
    @tanashashombe9577 Год назад

    Naomba niunge kwenye group la makeup dada plzz

  • @MathaMataro-fi8ur
    @MathaMataro-fi8ur Год назад

    Mimi nina aidiya yakufanya mekappu Ila nadhishindwa sehemu ndogo sana kujua kinacho aza nachamwisho nikipi

  • @doreenkiromo9688
    @doreenkiromo9688 2 года назад

    Ukisha paka concealer hupaki powder kabla ya eyeshadow ili isije Ika crease?
    Na je unafanyaje kuzuia creasing

  • @josphinengugi5465
    @josphinengugi5465 2 года назад

    Farida mungu akubariki sana uko na roho safi sana nakupenda Bure dadangu

  • @Abigaellykupasya
    @Abigaellykupasya Год назад

    Upo vizuri

  • @juliethtuyele3635
    @juliethtuyele3635 2 года назад

    Mungu akubarik sana farida

  • @jestinachengula33
    @jestinachengula33 2 года назад

    Najifunza je vifaa nishingap madamu

  • @kwanzahusna-qb3tw
    @kwanzahusna-qb3tw Год назад

    Napend san kujifunz make up..naomh uniambie iyo ulokewa kabla y kuwek kope inatwaj na izo foundation zinaitwaje

  • @zulphermshana9487
    @zulphermshana9487 Год назад

    J kama huna hyo foundation inayozba chunus unantmia nn ili kuziba

  • @halimasaidy2624
    @halimasaidy2624 2 года назад

    Wanna lulu hautumiki kwenye make up

  • @zulfasudi-sh1bk
    @zulfasudi-sh1bk 5 месяцев назад

    Mm nataka kujifunza dada

  • @JaneyMunuo
    @JaneyMunuo 7 месяцев назад

    .tupo mkoani tunapataje hongera xan

  • @NaomiJackson-f3h
    @NaomiJackson-f3h 9 месяцев назад

    Hi mimi kunabadhii ya vifaa siviele yaani sijui majina

  • @fahadmohammed4607
    @fahadmohammed4607 2 года назад

    M2 mwingine unakutaa hanaa nyeusii mbayaa jmn😌

  • @muniramohammed6927
    @muniramohammed6927 2 года назад

    Hbr ulivotia eye shedow vimeremeto vilivoangukia kwenye mashavu umo umefutia kwa nn

  • @KressKenn
    @KressKenn 11 месяцев назад

    Ukinunua vifaa amna ofa ya kusoma

  • @SalamaKhatib-on7fz
    @SalamaKhatib-on7fz Год назад

    Asante sana Dada faa

  • @rosekimaro9233
    @rosekimaro9233 Год назад

    Kazi Yako nzuri sana nimefutiwa sana

  • @swalhakabii
    @swalhakabii Год назад

    Hy mm napenda makeup nataka nijipambe nyumban mm mwenyewe wanza kupaka nini

  • @matandasports7665
    @matandasports7665 2 года назад

    Kwenye wanja umepaka uwanja gan na napale kat kat ulifuta na nn ulewanja

  • @SalmaChichango-hw6cp
    @SalmaChichango-hw6cp Год назад

    Dada Niko kibaha naitaji kujifunza tegeta naona mbali sana unanisaidiaje hamna tawi au office uka kibaha au hata mbezi

  • @magdalenamayala4811
    @magdalenamayala4811 Год назад

    Mm nataka kujifunza mekap tuu began kusuga najuw

  • @AnithaBilakwate
    @AnithaBilakwate Год назад

    Kumlemba mtu hapo saloon kwako ni bei gani Da Farida??

  • @DansonKhonde
    @DansonKhonde 9 месяцев назад

    Mm pia nataka hiyo plz nko Kenya nitapata aje full set

  • @StarsCell-i8h
    @StarsCell-i8h 11 месяцев назад

    Mashallah ❤

  • @asherymomo9860
    @asherymomo9860 2 года назад

    Da farida Mimi nahitaji kujifunza make up tu sh ngap?

  • @tanashashombe9577
    @tanashashombe9577 Год назад

    Natamni kujifunza na mm niadd kwenye group jmni

  • @HappynessJohn-kf2bk
    @HappynessJohn-kf2bk 6 месяцев назад

    Nikitaka kujifunza kusuka na makeup ni muda gan hiyo laki3?

  • @priscamboya5968
    @priscamboya5968 Год назад

    Woow ! 😋

  • @fatmasaid4969
    @fatmasaid4969 2 года назад

    Wanafunzi Kwa mwezi sh.ngapi

  • @deboramahela9616
    @deboramahela9616 2 года назад

    Ahsante sana dada farida

  • @zainabIddy-tg3gc
    @zainabIddy-tg3gc 11 месяцев назад

    Kama nataka ya kupaka me mwenyw tyu nyumbn set sh ngap?

  • @judithtemu6880
    @judithtemu6880 2 года назад

    Kazii nzurii sanaa dear

  • @marymakupe6616
    @marymakupe6616 2 года назад

    Hi in Mary toka malindi Kenya nmpenda sana mafundisho yako na ntapataje hizo vitu toka tzd adi kenya

  • @ashrafkassim7820
    @ashrafkassim7820 2 года назад

    Kazi nzuri Ni aina gan ya eye liner unatumia

  • @festologasian5212
    @festologasian5212 2 года назад

    Fungua na darasa mwanza make me natokea mwanza fanya hivyo please

  • @florahtheobald4295
    @florahtheobald4295 2 года назад

    Naomba nikuulize Madam kama unahitaji kujua kujifunza makeup tuu na siyo kusuka ni shilingi ngapi Madam

  • @falhatiasumani202
    @falhatiasumani202 2 года назад

    Samahan uwez kunifundisha kbsa live

  • @RoseLubakiji
    @RoseLubakiji Месяц назад

    Kabla ya faundesheni ulipaka nn?

  • @marrymaftaah9718
    @marrymaftaah9718 Год назад

    Nahitaj kujua makeup lakini nipo nje ya dar.whatsap siwez kujifunza????

  • @jacklineedward9873
    @jacklineedward9873 2 года назад

    Kazi nzr mpnz ila mm cjaelewa kuchora wanja

  • @MwanakomboJuma-ir3wc
    @MwanakomboJuma-ir3wc 2 месяца назад

    Minat ka vifaa nita vipataje

  • @AsmahSaid-r7p
    @AsmahSaid-r7p Год назад

    Mm sijaelewa huo uwanja na hauwezi kuzma kimoja kimoja

  • @FelisterNdagala
    @FelisterNdagala Год назад

    Hongera sana

  • @chagenihamisi1461
    @chagenihamisi1461 Год назад

    Mashallah kazi nzuri sana na sasa kama wataka hivyo vifaa unapataji mm niko Kenya na taka