Naipenda sana series ya City Hunter ya Lee min ho. Ila zaidi nampenda Ushindi Park kama mwalimu wangu. I will love you my teacher till I die.❤❤❤❤❤❤❤Korea❤❤❤❤❤Tanzania❤❤❤❤❤
Mimi nimeipenda sana JUMONG drama ya historia ya mataifa yenu Korea ya kaskazini/kusini (falme 3 Goguryeo,Baikje na Silla) song Ikook aliitendea haki sana uhusika kama mfalme Jumong Muanzilishi wa ufalme wa Goguryeo.
somo lako tunalipenda sana ila ningependa sisi wanafunzi wako utufungulie group ili tu join kisha tuwe uwe unatupa mtihani tuongee usikie kama nasisi tumeanza kuelewa nihayo tu @ushindi
Na penda season ya go family book ❤️❤️ 🔥 nawapenda watu wa korea nakupend Zaid ushindi Kama huto jali ningependa unifundishe private kikorea natamani san kuijuw hiyo lugha
yani we dada nakupendaga unavo ongea safi sana♥️♥️❤️
Jamani ushindi nakupenda sana unafundisha vizuri paka sasa naanza kujua kikorea😆😆 saranyeee ushindi
Nampenda San Lee min ho mwambie tafadhali ajue 😄😄😄
Hata mm pia na mpenda
Nakupenda sana ushindi unaongea swahili vizur, mimi napenda sana City hunter.
😻😻 Napenda sana kikorea nkila siku najifunza kuongea na kuandika pia Asante dada ushindi kwa kutufundisha kikorea kwa urahisi sana ❤️❤️❤️
Naipenda sana hiyo movie ya lee min ho na park min young na nawapenda wote❤❤❤❤
Mimi pia tuangalie pamoja saa 10 mchana
@@복숭아쌤 sawa ushindi
Naipenda sana series ya City Hunter ya Lee min ho. Ila zaidi nampenda Ushindi Park kama mwalimu wangu. I will love you my teacher till I die.❤❤❤❤❤❤❤Korea❤❤❤❤❤Tanzania❤❤❤❤❤
🥰🙏
Nampenda sna leeminho yan I wish nikutanae nae cku moja
Ciangaliii tamthilia zozote zile zaidi ya kdrama na muziki wa kpop,ipo cku nitakuja Korea dada ushindii
Nimepata neno moja la kikorea (moya sagoya)
Nakupenda ushindi naomb nifundishe kikorea nataman kujua
Nimefurahi sana...
Napenda sana kikorea na ninajifunza next nitakuja korea kwa audition😍
Woow! nakupenda sana dada mzuri Ushindi park 😍
Nahitaji kujua kikorea zaidi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Me pia naipenda
sawa dada ushindi nimekuelewa
Nakupenda ushindi
Asante kwa somo mimi ningependekeza _my father stranger
Sawa nakubali sanaticha tupemavitu
Napenda sana city hunter sanaaaaa
Naipenda young pal
Nampenda sn Lee minho jmn ❤❤❤
Mimi nimeipenda sana JUMONG drama ya historia ya mataifa yenu Korea ya kaskazini/kusini (falme 3 Goguryeo,Baikje na Silla) song Ikook aliitendea haki sana uhusika kama mfalme Jumong Muanzilishi wa ufalme wa Goguryeo.
Nakupenda
Hello wew nimkali Sana, akupenda
Naipenda city hunter na dr stranger
Lee min ho
naipenda Sana city Hunter na boys over flower
Wooooow nzur sana nimefurah sana napenda sana series za korea nimesha angalia kama sword fraternity , dear judge na nyingine nying
Ukitufundisha kupitia movie hata mm nitaelewa vzr
Ushindi thanks you beautiful mungu akubariki ila mm napenda Ser za jumong anya
somo lako tunalipenda sana ila ningependa sisi wanafunzi wako utufungulie group ili tu join kisha tuwe uwe unatupa mtihani tuongee usikie kama nasisi tumeanza kuelewa nihayo tu @ushindi
I love Lee min hoo for sure
I love the way you explain
You're the best teacher i love you😍😘😍
Na penda season ya go family book ❤️❤️ 🔥 nawapenda watu wa korea nakupend Zaid ushindi Kama huto jali ningependa unifundishe private kikorea natamani san kuijuw hiyo lugha
Boys over flowers naipenda san
💙
I Like movie of Song jeong ki Which called descendant of the sun i Like so much 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Nitatengeneza nampenda pia🥰
I like moon lover scaret heart
Crown clown please do it please I know is too late but please do it
nampenda min ho yy ndiye aliye nifanya nijifunze kikorea maana huwa haongei maneno mengi sana yeye na jung keun suk mm ni fun wao
Love sit Hunter much love to Limhu
Nataka kwenda Kore
l learning how to speaking korean you are very teacher 😍😍😍 i can try just five words in korean😍
I need to talk with you 😊 on Instagram
Itakua vizuri ikiwa ni series ya two weeks
Kweli? Unataka? Zaidi ya city hunter?
@@복숭아쌤 hpan dada ushindi kuna series inaitwa two weeks naipenda san hat hiv city hunter ni nzur
School on love na ipenda piya
Navutiwa sana na movie za kikorea sana sana zile za kihistoria na tamaduni za Korea maana uwa napenda kuona mavazi za kikorea
👍😆itakuwa nzuri sana
@@복숭아쌤 kikorea bhana uwa nafurahi mnavyoo shangaa kwa kikorea napenda kukijuwa ilii nisumbue hahahaa
NITUMIE no ya demu wa kikolea nataka nioe mkolea sawa ushindi, fanya mchakato
@@mwasoprince3459 we fala nini umetushindwa waswahili wenzako huyo mswahili utamweza?
Mzee kwann nimshindwe c kumla mashine tu mzee.
😝😝 좋아, 나는 이미 이해하고있다.부스는 동일합니다.
Ushindi unatoa darasa fupi sana
Napendekeza movie ya healer tujifunze nayo kiswahili wakati mwingine
Vivian mambo
Nimefurahi ila nataka niongee na Lee minho nisaidie please 🙏
Ushindi kunatofauti gan Kati ya "Na" na " jeo"
‘Na’ ni jinsi ya kama kawaida na, ‘jeo’ ni jinsi ya kuheshimia kwa ajili ya watu wakubwa!🧡
giant
Napenda whats wrong with secretary kim na mine
samahani madame mim naitwa philipo alkado naomba unifundishe Kwa njia ya WhatsApp mim Nita jitahidi kukulipa
penda sana
Lafudhi yako ndoo inayonivunia kukusikilizaaa