Maandamano yako palepale Leo nimekutana na magari ya washawasha kibao Ila nahisi Tanzania inakuja kubadilika sasa anguko la ccm limefika mungu yupo na chadema mungu yupo na watanzania mungu ibariki Tanzania mungu ibariki africa
Siku ya amani wakati watu wanafanya maandamano ya amani kufikisha ujumbe kuwa yanayotoke yale yawatu kutekwa kuuwawa alafu serikari inasema hiyo cku itakuwa siku ya amani mkoa wa dar haya bhana
Mimi napenda tu kutoa ushauri kwamba tuache siasa kwenye masuala ya amani katika taifa letu, kwanza kabisa mkuu wa mkoa kama mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa hayuko kwenye sheria zetu kwamba anahusikana utoaji vibali vya maandamano bali aliyetajwa na sheria ni OCD, sasa hata kama una mawazo mazuri lkn ukiwa kimya ni bora zaidi na utaheshimika, haya mambo waachieni polisi na chadema au ccm na chadema, tunahitaji AMANI Tanganyika siyo fujo.
Shida ni jeshi letu hawako kwa kusudi la kulinda inji na raia wake hapana bali wako kwa masilahi kupambania na kuwalinda watawala kwa mapavu. Na hapo nd,o tatizo lipo.
Hii inawaonyesha watawara hawana wanacho kijua kwa maana cdm walipanga mambo yao kwa kujua trh 23 ni siku ya amani duniani hivyo jambo lao lilipangiliwa kwa umakini 100%🎉 Serikali ya mkoa ndio inajua leo kuwa trh hiyo ni siku ya amani duniani kweli 😅😅 🤷♀️🤷♀️
Sasa Kuna shida gani ya kufanya maandamano ya amani kupinga ukatili unaofanywa dhidi ya raia? Kama serikali itaendelea kuminya watu wasionyeshe hisia zao hadharani, ninashauri wapinzani waanzishe kampeni za chini kwa chini kushambulia na kuharibu miundombinu ya serikali ili kuilazimisha kuacha kuminya demokrasia
Mwee linafrahia watu kupotea na kuuawa kwanza ninawasiwasi siyo mtanzania wewe pengine unacoment ujinga ili uhamiaji wasikukukamate au kukufukuza nchini kwetu hapa wenye chama wenyewe wanapinga kinacho endelea mfano mzee butiku mzee walioba na wazee wengine wote wa zamani wanakataa kinacho endelea hapa nchini alafu ndo wenye chama cha mapinduzi na serikali kwa ujumla ndo waasisi wa chama natanzania sasa kitoto cha mwaka 2000 unaongea nini mihemko tuu hiyo naujana pia inawezekana unakusumbua amani ikitoweka hamna chama tawala wala chama chaupinzani hamna cha askari polisi wala mwanajeshi wote nikufa tuu fatilia nchi wanazo pigana kama wanakufa wapinzani peke yao alafu mimi navyo bishana namimi pengine unaniona mwana Chadema wala siyo mwana Chadema bali napinga utekaji na mauwaji taifa lolote likiwa linamwaga damu nilaana kwa mwenyezi MUNGU namuomba MUNGU utekewe na ndugu zako au watoto wako kama unao maana unavyo coment nahisi huna watoto wewe
Ommy James hujawahi kuwa naakili hata siku moja mihemuko ya kisiasa hiyo inakusumbuwa sana ikiwezekana siku moja upotelewe na ndugu zako au ikiwezekana wewe mwenyewe upoteee
Kuandamana Ni haki YA kisheria , Ni katiba Sasa CCM ifike mahali waache kuvunja sheria , tumefika mahali pabaya Sana maana wanaohubiri Amani ili Hali Kuna familia Zina lia hazina Amani hawawaoni wapendwa wao ,Ni aibu Na nusu Kwa nchi kama Tz , au wanataka mpaka Mungu awashushie kipigo kutoka mbinguni ndio Na wao waone uchungu?? Shame to my county.
Protesting around daresalama on chadema political party they have right to protesting because tanzania political party is there for tanzania low act under Tanzania constitution why rulling part think the are the part wich have right only to tanzania national whale gavment of ccm sign agreement asepty democracy in Tanzania this behavior of ccm leadership have to condem by lntanationol community and Africa democracy country because ccm leadership kiling opposition political figure and lntimedit opposition is not good adier in Africa because why Zambia Malawi do election without any problem and this two national have been transferred power without any problem why ccm fear to asepty democracy in Tanzania
May peace be upon you. You have written wise message, I personally cingulate you. Every country has it's own source of establishing a particular mission or agenda. Most of African countries accepted democracy for a particular purpose, do you know that? Every country has it's secret upon this matter. Don't ever dare compare one country to another under the umbrella of democracy but fetch the source of the country stepping on to it first then you will deeply understand this. CONCLUSION: If you don't understand the SOURCE then outcomes will drive you CRAZY. Ahsante.
Namshukuru mwenyezi MUNGU kunipa akili Ommy James akili huna tena matope kabisa kiongozi akiwa mwislamu hata akikosea huwa mnamtetea kisa mwislamu chefu
Itapendeza sana, hukudumisha Amani, hulk kataa utekaji
Mungu tusaidie jumatatu maandamano yakafanyike tu
Hii nchi kunasiku tutaheshimiana TU 😢😢
Ipo siku, nakuhakikishia, k-47, inawezekana kabisa na kuishikwa na kila mtu, wajiangalie sana
Kwaninitunakuawagumukuelewamaandanokituganibwanaasipoulindamjiyeyeakeshayeakeshabure😊❤
Maandamano yako palepale Leo nimekutana na magari ya washawasha kibao Ila nahisi Tanzania inakuja kubadilika sasa anguko la ccm limefika mungu yupo na chadema mungu yupo na watanzania mungu ibariki Tanzania mungu ibariki africa
Washawasha haijawahi kushinda, Washukuru wa tz, wamekua Waoga
Washawasha haijawahi kushinda, Washukuru wa tz, wamekua Waoga
Tuombe Mungu watu wenye kutambua haki ya mtu ya kuishi watoke@@melch3097
Siku ya amani wakati watu wanafanya maandamano ya amani kufikisha ujumbe kuwa yanayotoke yale yawatu kutekwa kuuwawa alafu serikari inasema hiyo cku itakuwa siku ya amani mkoa wa dar haya bhana
Chadema vs jeshi la polisi
Msipoweza mara hii nitajua kweli wasaka tonge
Mungu ipe Nuru kwa chadema
Chadema people's power
Rahisi kuwanunua watz mama keshawasoma na anaendeleza kile kile mziki, diamond, mpira na wanamuziki wamenunuliwa.
Siku ya amani kwelikweli
Jamani Maandamano Msifanye badala yake pelekeni jambo Hili Mahakamani tena. Chondechonde Vijana. Wetu. Au tafuteni njia Mbadala.
Inakuuma nini we tulia kwako. Unaona raha watu Kuua kama ya mnyama
Mahakama ipi??? Unafurahia watu wanavyouwa
Mimi napenda tu kutoa ushauri kwamba tuache siasa kwenye masuala ya amani katika taifa letu, kwanza kabisa mkuu wa mkoa kama mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa hayuko kwenye sheria zetu kwamba anahusikana utoaji vibali vya maandamano bali aliyetajwa na sheria ni OCD, sasa hata kama una mawazo mazuri lkn ukiwa kimya ni bora zaidi na utaheshimika, haya mambo waachieni polisi na chadema au ccm na chadema, tunahitaji AMANI Tanganyika siyo fujo.
M NTAKAA NYUMA YA MBOE AU TUNDU LISU NISIPO WAONA SIKANYAGI
Kazeni sana
Shida ni jeshi letu hawako kwa kusudi la kulinda inji na raia wake hapana bali wako kwa masilahi kupambania na kuwalinda watawala kwa mapavu. Na hapo nd,o tatizo lipo.
Sasa maandamano tusogeze tarehe mbele Ili kupisha shuguli za kiserikali😂😂😂
Yani iwe hivo mwezi mzima, wasifanye kazi wafanya mazoezi ya ulinzi
Kwani maana haya si yaamani
Hii inawaonyesha watawara hawana wanacho kijua kwa maana cdm walipanga mambo yao kwa kujua trh 23 ni siku ya amani duniani hivyo jambo lao lilipangiliwa kwa umakini 100%🎉
Serikali ya mkoa ndio inajua leo kuwa trh hiyo ni siku ya amani duniani kweli 😅😅 🤷♀️🤷♀️
😂😂😂😂noma sana
Tupo pamoja
Sasa Kuna shida gani ya kufanya maandamano ya amani kupinga ukatili unaofanywa dhidi ya raia?
Kama serikali itaendelea kuminya watu wasionyeshe hisia zao hadharani, ninashauri wapinzani waanzishe kampeni za chini kwa chini kushambulia na kuharibu miundombinu ya serikali ili kuilazimisha kuacha kuminya demokrasia
Askari wanazingua
Serikali Ina drama😂
shughuli zimegongana
POLISI FANYENI KAZI YENU LAW&ORDER HATUTAKI KELELE FANYENI KAMA KENYA WAMESAHAU FUJO 😢😢😢😢😢
Mwee linafrahia watu kupotea na kuuawa kwanza ninawasiwasi siyo mtanzania wewe pengine unacoment ujinga ili uhamiaji wasikukukamate au kukufukuza nchini kwetu hapa wenye chama wenyewe wanapinga kinacho endelea mfano mzee butiku mzee walioba na wazee wengine wote wa zamani wanakataa kinacho endelea hapa nchini alafu ndo wenye chama cha mapinduzi na serikali kwa ujumla ndo waasisi wa chama natanzania sasa kitoto cha mwaka 2000 unaongea nini mihemko tuu hiyo naujana pia inawezekana unakusumbua amani ikitoweka hamna chama tawala wala chama chaupinzani hamna cha askari polisi wala mwanajeshi wote nikufa tuu fatilia nchi wanazo pigana kama wanakufa wapinzani peke yao alafu mimi navyo bishana namimi pengine unaniona mwana Chadema wala siyo mwana Chadema bali napinga utekaji na mauwaji taifa lolote likiwa linamwaga damu nilaana kwa mwenyezi MUNGU namuomba MUNGU utekewe na ndugu zako au watoto wako kama unao maana unavyo coment nahisi huna watoto wewe
Mtoke lakini sio kutujazia maneno tu ila mjue kitakachoendelea ,waulizeni walioenda mbeya ,walisafrishwa kama mizoga
Hayo ni MAONI yako na woga wako changamkia uchawa
Tunahitaji ndugu zetu watanzania wasiojulikana walipo so mengineyo!
NA MAALBINO WAPEWE AMANI NA MAPALOKO WAKO 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Ommy James hujawahi kuwa naakili hata siku moja mihemuko ya kisiasa hiyo inakusumbuwa sana ikiwezekana siku moja upotelewe na ndugu zako au ikiwezekana wewe mwenyewe upoteee
Njoo tuandzmane
@@BarakaGabriel-f1b MBONA HUKEMEI MAPALOKO WANAMALIZA MAALBINO NNYIE WAGALATIA NI WA AJABU MPAKA MAPALOKO WAMIGEUKIE NYIE 🙏🏾🙏🏾
@@SuolFat NITAKUWEPO KAMA WAGALATIA WATAKEMEA MAPALOKO WANAMALIZA MAALBINO 🤪
Dunia inasupport CHADEMA
Hii Tanzana itaharibiwa na chama cha ccm kwa sababu hamtaki mwafaka bali mnawafunga watu midomo kwa mamlaka yenu mliyo nayo
Sio siri
Kuandamana Ni haki YA kisheria , Ni katiba Sasa CCM ifike mahali waache kuvunja sheria , tumefika mahali pabaya Sana maana wanaohubiri Amani ili Hali Kuna familia Zina lia hazina Amani hawawaoni wapendwa wao ,Ni aibu Na nusu Kwa nchi kama Tz , au wanataka mpaka Mungu awashushie kipigo kutoka mbinguni ndio Na wao waone uchungu?? Shame to my county.
Maandamano ya amani ya chadema na maandamano ya amani ya chalamila ni mwendo wa amani tu!
American
Protesting around daresalama on chadema political party they have right to protesting because tanzania political party is there for tanzania low act under Tanzania constitution why rulling part think the are the part wich have right only to tanzania national whale gavment of ccm sign agreement asepty democracy in Tanzania this behavior of ccm leadership have to condem by lntanationol community and Africa democracy country because ccm leadership kiling opposition political figure and lntimedit opposition is not good adier in Africa because why Zambia Malawi do election without any problem and this two national have been transferred power without any problem why ccm fear to asepty democracy in Tanzania
May peace be upon you. You have written wise message, I personally cingulate you. Every country has it's own source of establishing a particular mission or agenda. Most of African countries accepted democracy for a particular purpose, do you know that?
Every country has it's secret upon this matter. Don't ever dare compare one country to another under the umbrella of democracy but fetch the source of the country stepping on to it first then you will deeply understand this.
CONCLUSION: If you don't understand the SOURCE then outcomes will drive you CRAZY. Ahsante.
MTOTO AKILILIA WEMBE MPE 😢😢😢😢POLISI FANYENI KAMA KENYA SASA KUMETULIA HUKO
Namshukuru mwenyezi MUNGU kunipa akili Ommy James akili huna tena matope kabisa kiongozi akiwa mwislamu hata akikosea huwa mnamtetea kisa mwislamu chefu
@@BarakaGabriel-f1b WAGALATIA KIBOKO YENU MAGU 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Kwanza nyie wanafiki sana dini yenu hairuhusu mwanamke kuwa kiongozi unafiki na Udini ndo unawasumbu mpaka mkamruhusu kuwa kiongozi😂😂😂😂😂😂
@@BarakaGabriel-f1b AFADHALI MWANAMKE KULIKO KUWA VIONGOZI MAPALOKO 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾WAGALATIA MNAPOTOSHWA
Kwa hiyo mmevunja amri ya MUNGU@@OmmyJames-xn7ji