Benovilla Sir Benwaa Naomi Mlimani park Sikinde

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 70

  • @alexmtasiwa3497
    @alexmtasiwa3497 10 месяцев назад +4

    mie ugonjwa wangu alipoingia max we naaaaaaaooooomiiiii
    we naaaaaoooo9ommmmi

  • @zuberilujina9071
    @zuberilujina9071 5 лет назад +8

    Muziki na mashairi ya huu wimbo ni next level

  • @jumannemwakalinga2586
    @jumannemwakalinga2586 2 года назад +3

    Hongera Sikinde kwa mashairi yenu mazuri yenye ujumbe maridhawa. Hapa namkumbuka Nasir Lubua, Max Bushoke na Benno Villa Anthony.
    Nisaidieni wengine walioshiriki katika wimbo huu.

  • @epson5446
    @epson5446 Год назад +2

    Nakukubali sana Sir Benwaa. Nyinbo zako zina mafundisho makubwa sana. Big up!

  • @JohnMngande-b8t
    @JohnMngande-b8t 6 месяцев назад +1

    Nyimbo zilitulia unasikiliza ata na mkweo safi sana mungu awape pumziko la milele wote waliotangulia mbele ya haki.

  • @Vessojr
    @Vessojr Год назад +1

    Hussein Jumbe alikua mwamba ,big up bro.

  • @hadijarashid7886
    @hadijarashid7886 5 лет назад +7

    Hzi ndio nyimbo za kusikiliza azichoshi zina ujumbe

  • @hoseagabriel4698
    @hoseagabriel4698 2 года назад +3

    Nakumbuka redio Tanzania

  • @omaryswalehe1225
    @omaryswalehe1225 2 года назад +2

    Miaka yote nikijua huu wimbo ni utunzi wa Nasir Lubua kumbe Benno Villa Antony😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @hamzaomarmokiwa8885
    @hamzaomarmokiwa8885 3 года назад +8

    Big up sana Sir Benwaa....utunzi maridhawa! sauti muruwa! Max na Lubua. Moja ya nyimbo zangu nazicheza karibu kila siku

  • @yusufumatumbo6865
    @yusufumatumbo6865 3 года назад +4

    Hongereni Sikinde

  • @FrankDChangamike
    @FrankDChangamike 6 месяцев назад +1

    Benno anajipenda sana very smart

  • @hamzaahmed69
    @hamzaahmed69 3 года назад +2

    safii Sana mlimani park nyimbo hazichuji miaka na miaka

  • @ONESMOILOMO-g5b
    @ONESMOILOMO-g5b Месяц назад

    Asante sana benovilla kwa utunzi mzuri

  • @shebeshabani1074
    @shebeshabani1074 4 года назад +4

    Safi sana

  • @mbungembunge9865
    @mbungembunge9865 6 лет назад +4

    Dahhh!!! Tunu hizi zitadum
    Nakumbuka enzi zile za radio 277,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

  • @ZainabSeif-ol6sn
    @ZainabSeif-ol6sn 6 месяцев назад

    Umenikumbusha dada yako mama yangu kipenzi felistar peter juma

  • @yussuphsultan1400
    @yussuphsultan1400 3 года назад +6

    Miziki kama hii kwa Sasa tunaimiss Inabidi turejee ya zamani!!!mafunzo lukuki lkn kwa sasa....

  • @FrankDChangamike
    @FrankDChangamike 7 месяцев назад +1

    Baba bishooo huyu kha!

  • @amadisandaku3131
    @amadisandaku3131 3 года назад +5

    Hakika
    Nyimbo murua
    Nyimbo haichoshi
    Nyimbo ina kila aina ya
    Mafundisho..
    Old is gold
    Listen 13/08/21

  • @ZainabSeif-ol6sn
    @ZainabSeif-ol6sn 6 месяцев назад

    Mjomba safi sana

  • @abdulatifmoxamed8047
    @abdulatifmoxamed8047 4 года назад +4

    Guitar la solo lilivyotulia utafikiri limepigwa ndani ya maji

  • @mwisheheseleman5537
    @mwisheheseleman5537 5 лет назад +3

    Nyimbo hizi ni tunu duuuuu ni raha tupu

  • @allympekea6220
    @allympekea6220 5 лет назад +5

    Iyo ndiyo sikinde bhana

  • @fareedfareed8247
    @fareedfareed8247 5 лет назад +6

    Naseer lubua
    Beno villa
    Max bushoke
    Wow

    • @zuberilujina9071
      @zuberilujina9071 5 лет назад +2

      Umemsahau Hussein jumbe alobeba wimbo huo

    • @zuberilujina9071
      @zuberilujina9071 5 лет назад +1

      Na marehemu muddy mwinyikondo pia

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 4 года назад

      Hapo bushoke hayupo Bali mwinyikondo ndiye kakava sauti yake..!

    • @Shammy-rn3tn
      @Shammy-rn3tn 3 года назад

      @@hassanmfaume4522 mbona max bushoke sauti yake ipo wazi kabisa.

    • @allynayomo485
      @allynayomo485 3 года назад +1

      @@hassanmfaume4522 waimbaji
      Bushoke ,Hussein Jumbe, muddy Mwinyikondo, lubua,Beno vila,
      Kila mtu alipewa nafasi ya kuimba,
      Solo,
      Henry Mkanyia
      rythm
      Uvuruge
      Bass
      Abdallah Ramadhani
      Drum
      Sadi ally
      Tumba
      Ally jamwaka

  • @jumannemwakalinga2586
    @jumannemwakalinga2586 2 года назад +1

    Kizazi kipya kijifunze muziki siyo ule wa sauti ya kuimba kisha ku copy na ku paste.
    Wengejifunza wangekuwa mbali zaidi ya hawa watangulizi kwani kwa sasa vyombo si tatizo sana kama pale awali.

  • @julithamuhale7271
    @julithamuhale7271 2 года назад +4

    Oooh! Penzi la Naomi liliwachanganya Sikinde! Asante kwa burudani murua DDC! Na kabla sijasahau ,Asante Sana mume wangu Joel kwani,(ananipenda Nami nampenda)! Hadi hii Leo penzi letu ni ngojwe!

  • @23568982
    @23568982 3 года назад +1

    Sauti poa sana

  • @رمضانرمضان-ن2ج
    @رمضانرمضان-ن2ج 2 года назад +1

    Safi sanaaaa

  • @ngomatamu6234
    @ngomatamu6234 4 года назад +3

    Za ukweli

  • @sundayherrieth9460
    @sundayherrieth9460 2 года назад +1

    Nipo hapa nauandika na kuuimba, naamini kuna siku nitauimba vzr tuu

    • @mathewmunthali3684
      @mathewmunthali3684 2 года назад

      Naomba nisaidie hapo anapoimba kwa busara na uvumilivu...hapo panapofuata ndo sisikii vizuri/sielewi anasemaje

  • @tabumambosasa642
    @tabumambosasa642 5 лет назад +3

    Tungo hadhim hizi

  • @emmamasaki4957
    @emmamasaki4957 2 года назад +1

    Makulata

  • @calvinmorgan3713
    @calvinmorgan3713 2 года назад +3

    Hatar saaana aaisee

  • @babaarafati2978
    @babaarafati2978 2 года назад +1

    ..mm