Benovilla Sir Benwaa Usicheze na bahari OSS Power Iranda

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 ноя 2024

Комментарии • 6

  • @TheGABRIELY
    @TheGABRIELY 5 лет назад +2

    Jamaa amenikumbusha mbali sana. halafu Quality ya muziki ipo vizuri ukilinganisha na zile Radio zetu za mbao. Dah Toto Tunduuuu Muhina Panduka

  • @mathewmunthali3684
    @mathewmunthali3684 6 лет назад +1

    Ahsante swahiba,Benno Villa Anthony....

  • @johnmapunda99
    @johnmapunda99 5 лет назад +1

    Mhina Panduka alikuwa ni habari nyingine.Huu wimbo nadhani Benovilla aliufanyia ukarabati na bendi ya Vijana jazz. Mvuvi kinda.

    • @benedictokatole906
      @benedictokatole906 4 года назад +1

      ile ni sehemu ya pili

    • @SIRBENWAA
      @SIRBENWAA  Год назад +1

      "Mvuvi kinda, Usicheze na bahari kina" #1 nilicheza na Orchestral Safari Sound, whereby #2 nimecheza na Vijana Jazz Band. NI WIMBO MMOJA WENYE MAUDHUI YA PANDE MBILI yaani part 1 na part 2. You're welcome.

    • @HamisiOmaryHussein-jp5pt
      @HamisiOmaryHussein-jp5pt 2 месяца назад

      Asante bro naomba list ya waimbaji wimbo huu na wapigaji vyombo ulipopiga ukiwa vijana na pia ulipopiga ukiwa oss waimbaji nani na nani na wapigaji Alla za muziki kinanda wimbo huu kapiga nani vijana na nani kapiga kinanda oss. Halafu power iranda kuna sauti yako au Muhina panduka na je vijana muhina kaimba au uliimba wewe. Asante bro naomba jibu