Kweli sijui useme nini hapa, alietuumba tu ndio anajua maana ya safari yetu hapa duniani...nyimbo zitukumbisha wakati ule na wengine wapendwa wametangulia tuombee tuje onana tena huko. Twahil Sax RIP
@@ihanomadili Jamaa aliupost kwa Facebook, ukanitoa machozi, nikamuomba aingie bar yoyote popote alipo duniani atafune bia2 ili machozi inikauke, na aniambie kwa Ths ni kiasi gani? Kwa bahati yangu nzuri kumbe alikuwa yupo hapa hapa home, Tz, TigoPesa ikafanya kazi
Je nauliza ! ! Watu kama hawa tutawapata tena wapii nauliza ? Kila nisikiapo sauti na mpangolio mzuri wa mziki hii swali huja direct moyoni. Lakini naona kama tulipoteza, haaa uzuni !
Na huhu wimbo ni mimi ni cheza solo na ku imba pia!!
Gaby,unasema kwenye wimbo huu ulipiga solo na ukaimba??
Ndiyo!
Big up Nkomba Kababa, wimbo mzuri sana, sauti na ala zimepangwa zikapangika.
@@mlindwa7001 Aksanti sana na ni na shukuru sana!
Fantastic 👌
Kweli sijui useme nini hapa, alietuumba tu ndio anajua maana ya safari yetu hapa duniani...nyimbo zitukumbisha wakati ule na wengine wapendwa wametangulia tuombee tuje onana tena huko. Twahil Sax RIP
Kwa kweli ndugu pia na mimi sijuwe ni seme nini!
Miaka mingi sana imepita,enzi hizo RTD tu inasikika,Maisha yanaenda kasi sana!
In a Face book, Mike Lazaro amenikumbusha wimbo huu, zimenitoka bia 2 na machozi yamenitoka 🤗
Hizo bia imekuaje zikakutoka?
@@ihanomadili Jamaa aliupost kwa Facebook, ukanitoa machozi, nikamuomba aingie bar yoyote popote alipo duniani atafune bia2 ili machozi inikauke, na aniambie kwa Ths ni kiasi gani? Kwa bahati yangu nzuri kumbe alikuwa yupo hapa hapa home, Tz, TigoPesa ikafanya kazi
Safi sana. Masantula ngoma ya mpwita hiyo. Huu wimbo Kababaa Nkomba ameimba sauti ya kwanza. Kama una Mtoto wa Eliya pia iweke Kaka.
+Jay Seif: Nnao ndugu nitaurusha.Huyu kwenye Sax hapa ni Twahiri?
Ni Twahir huyo sikia hapo anapoanza kuipuliza utamsikia Digituka Molay anamuita Oh Twahir Sax, nikupe nini mutoto..
Huyu mtu si mchezo kaka!
Una sema kweli nugu niliimba juu na nilipia solo.
Gaby, unasema kwenye wimbo huu uliimba na kupiga solo??
Je nauliza ! ! Watu kama hawa tutawapata tena wapii nauliza ? Kila nisikiapo sauti na mpangolio mzuri wa mziki hii swali huja direct moyoni. Lakini naona kama tulipoteza, haaa uzuni !
Kwa kweli hawa mabingwa waliujua muziki. Mwenyezi Mungu awapumzishe kwa amani wote waliotangulia.
@@mlindwa7001 Bado mimi nipo hai!
Nkomba Kababa muziki swafi na siku hizi uko wapi kaka?
Mimi niko sweden
@@nkombakababa5959 SWEDEN MJI GANI MZEE MIE NIPO LANDSKRONA-SKÅNE
Mimi naishi stocholm@@Chemba67
@@nkombakababa5959 Siku nikifika Sweden haswaa Stockholm nitakutafuta nisikie na kuona vile unatumbuiza watu na mziki wa kwetu.