Martha kazi ya elimu sio kuajiri bali ni kukujenga ww kisaikolojia yaani uwe na knowledge na skills ya kufanya masuala binafsi na ya kijamii kwa ujumla,hyo ndy maana ya elm dadang
kwann waimbaji wengi wa dini nyimbo zao za mwanzoni zinakuwa na upako na nguvu ya Mungu lkn wakisha fanikiwa wanashuka kihuduma, honestly speaking album ya kwanza ya martha ina upako, ukisikilza unabarikiwa lkn baada ya hapo imebaki kuruka ruka, hamna tena nguvu wala hofu ya Mungu. nakuombea kwa Mungu ukumbuke ulipo anguka ukatubu na Mungu airejeshe upya huduma yako hii.
Nimekuja hapa kukumbusha Mungu mkuu unayeishi ya kuwa bado nasubiri muujiza wangu katika Kristo Yesu AMEN 2024.
Hizi ndo aina ya nyimbo ambazo natamani kuendelea kuzisikia kutoka kwako dada Martha Baraka.... Who else is watching with me in 2019?
Lakini Albam ya pili Dada etu kaharibu kachanganya na mambo ya kidunia
Mungu akupe moyo zaidi
Ee mungu bado nasubiri muujiza wangu 2024
Watching this in 2023, upako wa huu wimbo🙌🏽🙌🏽🔥
Nimesikiliza wimbo uu zaid ya mara 10 nasubiri wewe dada unaweza zaidi na zaidi Mungu akubariki umetu fariji vya kutosha dahaa !!!!!
BALIKIWA ❤❤
Ubalikiwe Madame Martha 😭😭😭😭😭😭😭😭😭namimi nasubili 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Bado nasubiri muujiza wangu 2023
Good song nice voice ❤❤❤
Hata wadogo kwangu wanafanikiwa Mimi bado ,, subira!! Good song listening April 2020
Bado nasubiriii
Huu wimbo hua unsnibarik sana
Kabisa mujakazi wamungu nasibiri kwamungu
From Kenya,I play this song every time,my 2 year old son,loves this song sana.....when I tune this song,he comes running towards me.,
From Zambia I love this song it really moves my spirit indeed WAIT ON GOD
Thank you Jesus ❤🙏
Huu wimbo sichoki kuuangalia .... Martha umeponya mioyo mingi sana kupitia hii huduma..
Hallelujah... The song is very Powerful and Encouraging... Be blessed Madam Martha...🙏🙏🙏
Sikujua wimbo huu umeupload RUclips.
nahisubiri Baraka zangu kama mlinzi asuburu yapo asubuhi ndivyo na mimi nasubiri kusudi la mungu katika mahisha yangu
amina Sana
So much annointing,...wimbo una upako mwingi saana,...subira au uvumilivu ni muhimu sana kama ilivyo imani, imani bila subira a uvumilivu utakwama
Hata mm huo wimbo siwez kuuchoka❤❤
ahsante Kwa nyimbo nzuri yenye ujumbe mzito ,
bado nasu nasubiri miujiza wangu Baba
Yeah nikweli subira yavuta heri ukikosa subira utajuta
Kiukweli wimbo wa kkubarikiwa dada Bado nasubiri muujiza wangu
Nimabarikiwa Sana nikisikiza wimbo huu, Eee Mungu naendelea kusubili
Martha kazi ya elimu sio kuajiri bali ni kukujenga ww kisaikolojia yaani uwe na knowledge na skills ya kufanya masuala binafsi na ya kijamii kwa ujumla,hyo ndy maana ya elm dadang
Wimbo mzuri sana
Wow wow natamani kila mtu asikiliza huo wimbo the first I watched and I'm blessings God answer on his time mimi Nasubiria tu😘😘😘😘💏👪
Bado nasubir kilicho na heri kwangu ee mungu najua nasubir iliyo yangu
Amin dada nyimbo zako zinañibariki
Kaziii nzuri sana mtumishi
Amen amen ubarikiwe sana wimbo mtamu sana😘😘😘
Nimebarikiwa sana na huu wimbo glory to God
kwann waimbaji wengi wa dini nyimbo zao za mwanzoni zinakuwa na upako na nguvu ya Mungu lkn wakisha fanikiwa wanashuka kihuduma, honestly speaking album ya kwanza ya martha ina upako, ukisikilza unabarikiwa lkn baada ya hapo imebaki kuruka ruka, hamna tena nguvu wala hofu ya Mungu.
nakuombea kwa Mungu ukumbuke ulipo anguka ukatubu na Mungu airejeshe upya huduma yako hii.
Kila ninapo sikia huu wimbo nafalijifika sana mungu akuinue dada yang
Subira 🎶🎶
Be blessed madam Martha
Napenda wimbo huu sanaa pale ninapo usikiliza chozi lina toka 😢😭😭😭🙏🙏🙏✝️✝️✝️✝️ 2021❤️
Amen dada
Nani dada yangu mimbazako uwazina nifariji kweli wewe na Martha mwaipaja
Amina Dada Umetoka mbali ulikuwa na subira
Nyimbo zako dada zinanibariki sana. Barikiwa
Subira nlipnda hi wimbo Sana.
Still nasubili mungu anipatie mke....
Nabarikiwa sana na huu wimbo Dada..ubarikiwe pia
Masuala ya riziki hayatokani na uwezo wa maamuzi ya mtu ila alie kuumba wew ndie mwamuzi wa yote
My favorite song thnk u martha
asante kwa ku tupa tena wimbo huu👏👏
Wimbo Umenipa matumaini Sana, bado Nasubiri muujiza wako
Amen kweli mambo ya rohoni yanataka subira barikiwa sana
Ubarikiwe..umefarij na kuganga mioyo ya watu wengi kwa wimbo huu.Mungu akutumie zaidi.
Ubarikiwe Sana kwa kaz nzur mungu akupiganie
Subira ya futa heri
Napenda sana hii nyimbo yako dada.
Subira ya vuta heri bonge ra wimbo
Amen Amen ni subira pekee inahtijkia kwa kila jambo
Lovely, so blessing song. Am blessed Martha
Wimbo huu wanibariki sana. Mungu akuinue zaidi Martha
Bado nasuburi muhujiza wangu kwa mungu
Mungu mkubwa
Jitahidi uendelee kumuomba Mungu akupe mafunuo kama haya.
Amina
I am blessed with this song. may God bless you as well 👏👏
bd nasubiri muujiza wang kutoka kwako M|Mungu
Andrew Gwandu amen nasubili mujiza wangu
Una sauti ya ajab, very powerful
2025 bado nasubili
Wimbo nzuri mno!
Amen
Asante dada naendelea nisubiri mungu akubariki
my favorite song ever
Very powerful songs from Madam Martha.Nonstop plays!
Stay blessed 👏 👏👏👏
Nasubil kwakwel Mungu atanijib sitochok
Naomba ufanye limix tam zaid ya hiii naona kuna kitu hapo au niluhusu niiitoe mm nitakulipa
Unanitia nguvu sana huu mwimbo
Nasubili Yesu hasante
Alikua model
Ubarkiwe dada wimbo upo vzr.
Uliniahidi utanibariki baba ,,bado nasubiri baraka zangu kwako
Kweli kabisa bado nasubiri
hongera sana mungu akubariki
Wimbo mzuri ubarikiwe
Bado nasubiri muujiza wangu
Waoooh!!!amazing song,imenibariki mno
Mtumishi wa mungu hebu rudi kwenye hii laza mana kila ninapo sikiya huu wimbo ninaliyaga sana mungu akupe ufunuho mwigine kama huu emen
Naingalia 2020 wakati huu kolona
Dada. Nakukubali sana heshima kwako#
Hallelujah
Iam blessed with this song
Much loving u madame
Mungu akubariki dada
Watching 2024
Nice song🙏 respect.
Balikiwe sana dada Mungu akuinunuwe
🙏
*WIMBO MZURI SANA AMBAO HAUZUNGUMZWI*
God is able
😢❤❤❤
Sichoki kuusikiliza huu wimbo
Nikwann shetani aliingilia ndoa yenu
Am very much blessed sister
Mimi bado nasubiri tuu
nice my dada be blessd
ARE YOU MLIGO FROM KONDOA?
bado nasubiri
Bado ninasubiri!
Subira yavuta heri