Mwenye_enzi mungu akupe maisha marefu yenye negma uzidi kutukumbusha mengi zaidi ya aya inshaallah, mungu akujengee nyumba duniani na aghera inshaallah
Asalaam aleikum Sheikh Muhammad May Allah bless you 😊..thanks for the Mawaidha and May Allah forgive our past mistakes and also guide us to the right path🙏
Imam Ghazali alijua anakufa alfajiri hio siku anakufa kabla hajafa aliandaa barua kwa watu wake ilisema hivi "waambieni marafiki zangu, watakaponiona, nimekufa, Wakilia kwa ajili yangu na kunihuzunikia, 'Msiamini mwili huu mliouona kuwa ni mimi, Kwa jina la Mungu, nawahakikishia, si mimi, Mimi ni roho, na hiki ni kiwiliwili tu, kilikuwa makao yangu na nguo yangu kwa muda. Mimi ni hazina, iliyofichwa, Iloundwa na mavumbi, ambayo yalinitumikia kama hekalu, Mimi ni lulu, ambayo imeacha gamba lake kuwa pweke, Mimi ni ndege, na mwili huu ulikuwa kifungo changu, Ambapo sasa nimeondoka, na umeachwa kama ishara, Sifa ziwe kwa Mungu, ambaye sasa ameniweka huru.'" Maneno mazito kwa wenye hekima.
Mashaallah allah akulipe kheri nyingi natamani watoto wangu wote watatu Allah awajalie wapate elimu kama yakwako natamani nijue vyuo ulivyosoma ili nijiandae kuwapeleka watoto kwani elimu ya akhera ndio elimu bora.allah akulipe kheri zaidi inshaallah s
ALLAH akuhifafhi n azidi kukupa Ilmu yenye Kheri INSHA ALLAH
amiiin ya rabb
Mashallah Allah atujaliee mwisho mwema na atusamehe madhambi yetu😭😭😭🙏
Mwenyezi Mungu atujalie mwisho mema.Ameen🤲
Amiin
Mwenye_enzi mungu akupe maisha marefu yenye negma uzidi kutukumbusha mengi zaidi ya aya inshaallah, mungu akujengee nyumba duniani na aghera inshaallah
Subhanallah Wa Alhamdulillah Walaa Hawla Walaa Quwwata illa Billah! Allah atujaalie mwisho mwema.
Yaarabbi tujaalie mwisho mwema
Shukraan kwa ukumbusho wenye manufaa,,inshaallahu nyoyo zibadilike zifanye yenye kumpendeza Allah s.w,Allah akuzidishie imani Zaid..
Amiiiin ya rabb
Amiin
Shukran sheikh kifo ni darsa
جزاك الله خيرا وبارك الله فيك
الله 😭
اللهم إنا نسألك حسن الخاتمة وتوفنا مسلمين وأنور قبورنا ونعوذ بك من عذاب القبر وفتنته يا رب 😔😔
اللهم آمييين يا رب العالمين
TABARAKAALLH sheikh letu mohammad baheroooo
😅😅😅😅 hio baroooo ni baro
SubhannAllah jazaak Allahu khayr
Maashallah Allah akuzidishie ilmu na atukinaishe na dunia aamiyn
Shukran 💙""💙""Nakupenda kwajili Allah 💙"""💙mungu akupe afya njema kwakazi yadawa 💙""👍👍👍
Alhamdulillah teach Muhammad about everything that's why you going to be believer don't smoke don't drink 🙏👑
What????
Inshallah akupe mwisho mwema
Subhanallah
Jazakumullah kheir
Allah atujalie mema hapa duniani na kesho akhera na atujalie makaburi yetu owe miongoni mwa waja wema dhuma amiin
Asalaam aleikum Sheikh Muhammad
May Allah bless you 😊..thanks for the Mawaidha and May Allah forgive our past mistakes and also guide us to the right path🙏
Alhamdulillah rabbil alaamiin for your reminding.
SUBHAANA Llah Yaa Rabbi Alhamdulillahi Rabbil'Alaamina kwa hii Neema MOLA WANGU Allahu Akbar, Shukran kwa mawaidha sheikh wangu
Mwenyezi mungu atujalie mwisho mwema😢😢
Allah atupe mwisho mwema
Asante mwenyezmungu akulinde mpaka sikuya mwisho ostaz
JAZZA KALLAH KHAYRI .CHEH WETU ALLAH AKULIPE KILA LAKHERI
Jazaakallahul khaira shekh
Maashl,ostaz mungu akuzidishie kher uishi maisha malef uendelee kutuamsha tunapo lala nakupotelea katk maovu iamin
Mwenyezi mungu tujalie mwisho mwema mimi pamoja na wazazi wangu wawili inshaallah
Alhamdulliah nashukuru kwa ukumbusho wako sheikh
shukran kwa mawaidha mazuri sana sheikh wetu mungu akujaze kheri
Allah Akbar 😭😭🤲🤲
Mashallah tabarakalah!Allah atujalie mwisho mwema sisi zote waislamu InshaAllah.
allahumah barick ya sheikh
Allahumma amiiin Yarabb, Allah akuhifadhi sheikh
Subhannallah mashaallah shukuran jaziran kwa mawaiza mazuri kira rahery kwako
MashaAllah Allah atujaliee mwisho mwema na atusamehe. 🙏
Mungu akupe umri mrefu shekh wangu nakupenda sana kiukweli umenilizaa sana tena sana
Mashaallah tabaraka Allah , asante sheikh
Hakika mauti ni mawaidha Allah akuhifadhi Sheikh Muhammad
Jazaaqallahu kher
Ewe wa wa!! Wa wa thanks amina sinaa chakusema mbali ni kwokoka ama kusilimu
Amini.inshaallaa shehe Allaah.atuongoze.na.rehma.zake
Darsa nzur allah akuzidishie ilmu
Imam Ghazali alijua anakufa alfajiri hio siku anakufa kabla hajafa aliandaa barua kwa watu wake ilisema hivi "waambieni marafiki zangu, watakaponiona, nimekufa,
Wakilia kwa ajili yangu na kunihuzunikia,
'Msiamini mwili huu mliouona kuwa ni mimi,
Kwa jina la Mungu, nawahakikishia, si mimi,
Mimi ni roho, na hiki ni kiwiliwili tu, kilikuwa makao yangu na nguo yangu kwa muda.
Mimi ni hazina, iliyofichwa,
Iloundwa na mavumbi, ambayo yalinitumikia kama hekalu,
Mimi ni lulu, ambayo imeacha gamba lake kuwa pweke,
Mimi ni ndege, na mwili huu ulikuwa kifungo changu,
Ambapo sasa nimeondoka, na umeachwa kama ishara,
Sifa ziwe kwa Mungu, ambaye sasa ameniweka huru.'"
Maneno mazito kwa wenye hekima.
Wallahi nasikiya woga sana😭😭😭😭
Mimi pia 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🥱😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Subhanalllah
😭😭😭😭😭😭😭😭😭tumuombe MUNGu akuepushie na moto 🔥 Ameen yarab
Allahumma Amiiin yarab
Naam😢😢
Allah akuzidishie kher
Mashallah Allah akujaalie shifaa na uzidi kutoka mawaidha yako lnshallah 👍
Am a revert, how can I reach you
Masha Allah mawaidha mazuri Allah akuhifadhi 🤲
Subhanallah alllah ukupe afya uendelee kutunasihi
Allah barik
Mashaallah allah akulipe kheri nyingi natamani watoto wangu wote watatu Allah awajalie wapate elimu kama yakwako natamani nijue vyuo ulivyosoma ili nijiandae kuwapeleka watoto kwani elimu ya akhera ndio elimu bora.allah akulipe kheri zaidi inshaallah s
أنا أسأل عن أرقام WSP الخاصة بك، وأنا لست في تنزانيا
MashaAllah jazakaAllah kheir.. sheikh
Mashaallah ustadh mung akupe umri mref❤
Mwenyezi mungu akujaalie khotba nyingi
Masha ALLAH mawaidha mazur
Mash-Allah,mawaidh mazuri sukuran shk
I always listen to this khotba over and over again ❤❤❤❤❤
Mashallaha mungu atupe mwesho mwema😢😢😢
Allaah tupe mwisho mwema
Ee mwenyezi mungu nisamehe mm na familia yangu 🤲🤲🤲
Mashaallah allah atujaalie mwisho mwema
Jazzakallahu khyr ya ustadh
SHUKRAN FOR YOUR DARSA
Allah atujalie mwisho mwem😢kwahurum wak
Mashaallah
Mashalah jazakallahu ghair
Mawaidha yako alhamdhulilah
Mungu akupe maisha malefu
Jaazaka Allah inshalla mungu atukinaaishe na dunia
Insha Allah 🙏🙏 Allah akuweke uzidi kuwaamsha wengi Insha Allah 🕊️🕊️
Mgu ata tubriki sote inchallah
mashaAllah mawaidha imenifunza ki2
😭😭😭😭😭😭😭😭
MashaaAllah mawaidha mazur
Amina
Mashaallah Allah akulpe
Allah akuzidshie sheikh uzidi kutupa elmu inshaallah
may ALLAH bless you
Allah akupe umri mrefu
Mashaallah shukran
Ameen thummah Ameen
Allah atupe mwish mwema 🙏🙏🙏
Shukruni 😢😢😢❤
Yarabi tunaomba utupe mwisho mwema
جزاك الله خير
Allah Akbar
Allah akibar
Maa shaa Allah
Kumbusha ukumbusho unawafaa wenye kuamin
SubhnaAllah
Nikwel hakika
Yaa Rabbil alaamin
Barakallah
Mash Allah 😭😭😭😭
ماشاءالله
Mungu akuzidishie maisha marefu
Thanks shaikh
Maea
mashala
❤❤❤❤❤❤❤❤
Shukran
😭😭😭😭😭