Kama mpira unaupenda jiunze kuujua usiwe mshabiki mjinga ambaye hana ufahamu anayeendeshwa kwa upepo, timu ya yanga ambayo inamisimu mitatu kwakiwango bora mpaka sasa jiulize kwanini inaburuza mkia kwenye kundi Lake?
Huyu ndio alimfanya Inonga apwaye kabisa. Wamefanana uchezaji wao wa kujiamini kupita kiasi. Na ndio maana walisababisha Simba kufungwa 5 na Yanga lawama wakampa Manula bure
Jemedari unanifuraihisha sana kuhusu kupigwa barua au kukenewa na viongozi wa vilabu😂
Nomaa
Jemedari kazi yako inaeleweka
Huu ujinga wa kumiliki mpira bila sababu ulitukuta na Raja kwahy hatutarudia tena huo upuuzi!
Akiendelea kurudisha mipira nyuma afukuzwe mjinga anajiamini sana towa mpira
Jofrea ni hataliii
Ubaya ubwela
Timu nzuri but kocha hana kiwango ni kibonde tunashinda kibaati tu
KWA KIFUPI NAWEZA KUSEMA , UMEPATA BAHATI YA KUPENDA MPIRA ILA HUUJUI MPIRA .. UMEKAA KISHABIKI ZAIDI KULIKO KUELEWA ...
Uzuri wa timu uko wapi je wachezaj ulionao wanakupa
We ndo hujui mpira hata kidogo
Hamnag kushibda kibahat tuko vzur sio mbaya tutakuw imara cha msingi kwanz ushindi
Kama mpira unaupenda jiunze kuujua usiwe mshabiki mjinga ambaye hana ufahamu anayeendeshwa kwa upepo, timu ya yanga ambayo inamisimu mitatu kwakiwango bora mpaka sasa jiulize kwanini inaburuza mkia kwenye kundi Lake?
Huyu ndio alimfanya Inonga apwaye kabisa. Wamefanana uchezaji wao wa kujiamini kupita kiasi. Na ndio maana walisababisha Simba kufungwa 5 na Yanga lawama wakampa Manula bure
Yanga vs tabora, yanga vs Azam na yanga vs alihilali haya tujiulize yanga mbona alipasuka nampira kamiliki yeye?