@@Cesard-i4r Mama Martha bwana Yesu Asifiwe , naamini upo salama kwa sasa, nimefuraiya Sana ujasiri unao Na piya wewe nimukarimu Sana chazaidi napenda mwimbo zote zakwako napiya Kama hauto jali ,uwe mwalimuwangu kwauimbaji please Mum!!
Penda dada Martha nakuombea kwa mung akupe maisha marefu zaid ili uendelee kutumika, napenda sana nyimbo zako, iwish cku moja niimbe na wew, moyo wangu ungekua unafunguka nimekruhusu uone nikias gan umejaa moyoni ,barikiwa mno
Salamu zangu! Mimi huwa na barikiwa na dada yangu Martha huwa ana ni bariki saana akifungua kinywa kuimba, hasa mtazamo wake IKO so naturel ! Ubarikiwe na mungu wetu !
Nyimbo zako .....zatia tumaini...zainua mioyo..barikiwa Sana......I love hw u humble your self...my prayer is that God continue using u to minister the Gospel
Amen dada mungu aku inuwe akupe nguvu kupitia mimbo Yako inani Saidi tena inanipa nguvu mungu aku inuwe akupe nguvu kupitia mimbo Yako inani Saidi tena inanipa nguvu mungu aku inuwe dada Martin
Me I like to join you .always am getting blessed to your all song. I like to join with you to sing with. Am from Kenya. My God bless you dear sister Martha
Am truly moved by her songs. My humble request that we pray for her marriage. My desire is that she reconciles with her husband for the sake of God's testimony and their children. May God interven.
Upo vizuri katika nyimbo zako huyu ni mungu kuliko wanakwaya wote tz nauliza unataka nini kwangu bado sijaowa jee wewe umeolewa na umesoma paka kidsto gani ww ni mbole hutumi nguvu kucheza sauti twita kama upo tayari nitume washenga
Dada Martha mwaipaja nakupenda Sana unanibariki Sana na nyimbo zako tunapitia mengi Sana Ila nyimbo zako zinatufaliji Amen
Bwana yesu asifiwe dada mathar naomba nijiunge kuimba na ww nyimbo zako nazipendaga
Mimi nimkongomani kweli umenigusa matha ilaumenigusa kusema mambo yamebadilika hatufanani
@@Cesard-i4r Mama Martha bwana Yesu Asifiwe , naamini upo salama kwa sasa, nimefuraiya Sana ujasiri unao Na piya wewe nimukarimu Sana chazaidi napenda mwimbo zote zakwako napiya Kama hauto jali ,uwe mwalimuwangu kwauimbaji please Mum!!
Asante dada kwa utumishi bora pamoja na dada mdogo wako , nyimbo zinatia moyo sana: Mungu Azidi kuwapanua mnapomtumikia: 👍👍🙏🙏🙏
Penda dada Martha nakuombea kwa mung akupe maisha marefu zaid ili uendelee kutumika, napenda sana nyimbo zako, iwish cku moja niimbe na wew, moyo wangu ungekua unafunguka nimekruhusu uone nikias gan umejaa moyoni ,barikiwa mno
Salamu zangu! Mimi huwa na barikiwa na dada yangu Martha huwa ana ni bariki saana akifungua kinywa kuimba, hasa mtazamo wake IKO so naturel ! Ubarikiwe na mungu wetu !
Being a Kenyan,standing still with your songs zinanifariji moyo no matter what.🙏🙏🙏
OK bien
Nyimbo zako .....zatia tumaini...zainua mioyo..barikiwa Sana......I love hw u humble your self...my prayer is that God continue using u to minister the Gospel
Baby face happy face humble woman God bless you much 💖
mungu azidi kukuinua ktk maisha yako nakupenda sana nyimbo zako zimenipa nguvu kubwa sana kwa kumtegemea mungu
Congratulations 👏 My SISTER MARTHA MWAIPAJA
BEAUTIFUL and gorgeous... Be blessed Martha... Naiona kesho kupitia kwako.
Napenda jinsi unyenyekeavyo na Mungu akubariki dada
martha being kenyan i love u so so much nyimbo zako zinanibari sana sana na nazipenda kama ile ya paranda that song its a blessing to me
Napenda nyimbo zako lakini pia una hekima
Yaan nampenda saana dada yang Martha ananibariki saana na nyimbo zake
Martha mwaipaja is a real role model..an inspiration to many..Her songs uplift my soul be blessed mama🙏
Mungu akubariki Dada Martha, sijawahi kosa neno la kunitia moyo kutoka kwako. Bwana amekupendelea na kukupa hekima ya ajabu.
Nakupenda sasa sana dada Martha Yesu azidi kukuinua Amen
Shalom, Mungu akubariki mtumixhi wa mungu, nabarikiwa na nyimbo zako, Amen
Barikiwa wajina. MUNGU azidi kukuinua.
Nakupenda mnooo matha barikiwa sana na nyimbo zako Mungu aendelee kukupigani iliundelee kutuhubilia kwa njiayaumbaji
Martha you're a vessel of God showing His servants there's light at the end of the tunnel lighten people's for us ubarikiwe zaidi my sister 👍👍👍👍
So blessed, you are blessing to many
Mungu akubariki sana dada Napenda sana nyimbo zako
Nakubenda sana mutumishi wa Mungu wimbo sako,nasibenda sana sana Mungu asiti kukubeba🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
❤🎉dada Marth unibariki ubarikiwe zaidi dad Ang ❤
I love u so much Martha plz welcom in Burundi 😢😢
Nakupenda sana madamu mathar niuendelee ivyo ivyo madam I love so much
Martha nakupenda sana dadangu, songa mbele
Mungu yupo,ni kweli kabisa.
Ameen❤Nampenda sana Martha..Kenya watubariki🙏
Martha Mimi nakupenda Sana. Na nyimbo zako huzipenda Sana. Mimi napenda unavokuwa na nywele zako halisi hivi.
Like u're songs.have been listening to Martha's songs since 12noon.god bless Martha.amen.
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Amina
Amen dada mungu aku inuwe akupe nguvu kupitia mimbo Yako inani Saidi tena inanipa nguvu mungu aku inuwe akupe nguvu kupitia mimbo Yako inani Saidi tena inanipa nguvu mungu aku inuwe dada Martin
Marthar mungu anazidi kukuinua love yu❤
Balikiwa sanaa mlembo wa YESU
Nakupenda Sana Dada Mungu azid kukuinua
Mungu akubariki dada Martha u always do good keep it up
Mungu akutie nguvu mtumishi wa Bwana wewe ni wa baraka.
Bwana Yesu asifiwe dada Martha naomba tuimbe wote ndo naanza nina nyimbo kama sita.
Ubarikiwe dada.
Dada mungu akupe maishamalefu
Mungu akulinde tu. Injili iendelee.
She is a very intelligent woman!I really love her amd through her God really inspired me💯🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍
Nakupenda tu wewe dada jmani Mungu akutie nguvu zaidi.
Mungu akubariki xna nabarikiwa sana kwa wimbo huo sipiganagi mwenyewe naupenda sna
Nakupenda sana pia nyimbozako zinanifulahisha sana zinanifunza vitu mingi uendereye sana
Huyo dada au maman na mumiss saana courage my sister from burundi to you
Ubarikiwe dada marth jmn nikitulia ndani aenjoi kwa nyimbo zako zikinibariki
Brikiwa snaa mama npnda wazzi kama hwa wanao fndisha neno nmsha download songs zko znye umetoa kwa hii album moya asnnde yesu
Nakupenda sana mah role model napenda na nna barkiwa na kaz yako
May God in heaven akubless had ushangae
Napenda utaratibu wako nyimbo hunipa tumaini maishani God bless
Mtumishi wa Mungu unasagana Mungu akukumbuke dada Martha
God bless you Martha
Mungu akupe kibali zaidi na zaidi,Nakupenda bure
Nampenda sana, my best Artist may God bless you mommy 😍😍❤
Amina. Unanibariki sana
Nawatazama kutoka uganda mungu akubariki mpashahabari
Mungu ndie msemaji wa mwisho .
Thank u Martha u av lifted me up spiritual, thanks for giving me hope
Nawapenda sana Watumishi hawa Martha na Beatrice Mwaipaja.
Mungu azidi kukupigania sikuzote nakupenda sana mungu akupe maisha marefu sana❤❤
I always say u r favoured, Stay blessed.
Nampenda pamoja na nyimbo zake.
Martha ni mwanamke jasiri na mwenye kipaji chema hata machoni pa mungu barikiwa kipenzi
Nakupenda sana dada martha
Napenda sana dada Marta ,Mungu aendeleye kuku bariki
Dada Mungu akubariki
Me I like to join you .always am getting blessed to your all song. I like to join with you to sing with. Am from Kenya. My God bless you dear sister Martha
Naku penda sana dada Martha Mungu aku jalie tena mapia.
Martha Mungu akuinue zaid
Kuna somo hapa usikiri udhaifu wowote Amen
Nakupenda Sana usirudinyuma nduguyangu mungu akusaidiye ufikiye mwishoni
Nakupenda sana martha ubarikiwe kabisa si jue nitakupata wapi
Mungu akubariki dada marthar
Mungu akubariki matha
Amen namimi naomba Anipiganiye Yeye mwenyewe.
Dada nakupenda sana unanitia moyo sana sana mungu wa mbinguni akusimamie
Iyi nyimbo ina nibariki sana.💖
Nakukubali sana Martha jamani.
Ubariki mtumishi
Nyimbo zako zinanibariki Sana kila niliskia nabarikiwa
Napenda sana maisha dada mathar maipaja hauna utofauti namaisha yangu nilioyopita kesho yangu inakuja inanga' a km dhahabu
Am truly moved by her songs. My humble request that we pray for her marriage. My desire is that she reconciles with her husband for the sake of God's testimony and their children. May God interven.
When Osinachi kept going back to her husband, you know what happened, right?????
Nakupenda Sana mpenzi endelea na kazi nzuri
Nagupenda sana dada🇧🇮🇧🇮
Mungu akubariki na pia akupiganie nakupenda nakuombea Sana nawe niombee
She is a mother, wife, the best of all
She’s not a wife. She parted ways with her husband who was abusing her.
Upo vizuri katika nyimbo zako huyu ni mungu kuliko wanakwaya wote tz nauliza unataka nini kwangu bado sijaowa jee wewe umeolewa na umesoma paka kidsto gani ww ni mbole hutumi nguvu kucheza sauti twita kama upo tayari nitume washenga
Dada mungu akubariki sana
Martha karibu kenya utuwelimishe dd
Amina mtumishi wa mungu
A love u you mama,napenda huduma yako
Mungu ni mwaminifu hakika nimehudumiwa ,wakati na majira
Barikiwa mtumishi
Nakupenda mtumishi ma
Always humbled
Hadi mm naomba mungu anipe neema ya kuimba
Martha unahekima sana,,,barikiwa
Napenda Sana nyimbo zako dada martha
Unahekima na unanyimbo za kutitia moyo
"Neema ya Mungu yadumu kwenye utulivu" Martha Mwaipaja