🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 11

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  10 месяцев назад

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @emmanuelwabanhu1596
    @emmanuelwabanhu1596 10 месяцев назад

    Hongera sana Rais Samia kwa kuendeleza kazi uliyoachiwa na kaka yako Rais JPM

    • @shabanipanya1033
      @shabanipanya1033 10 месяцев назад

      Yote hayo ya nini na hongera ya nini kilio cha watanzania ni umeme wa uhakika kwa ngarama wanazo weza hatuna haja ya kutangaziwa kila siku kitu kisicho fanya kazi nyie fanyeni umeme upatikane basi

  • @martindonald804
    @martindonald804 10 месяцев назад

    Tunaomba umeme wa bwawa hilo usambae nchini hadi Misri.
    Tumechoshwa na maneno mengi.
    Mama Samia chapa kazi, historia itakulinda na kukukumbuka.

  • @abdangembe4339
    @abdangembe4339 10 месяцев назад

    Jaman hizi ziara zinatosha.
    Kila siku hyu anaenda huko yule anaenda huko na misafara mkubwa.
    Washeni hzo mashine mgao uishe

  • @FazoPhone
    @FazoPhone 10 месяцев назад

    Mgao mwisho lini

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 10 месяцев назад

    Utapeli tu kilasiku mnakuja na jipya hasahuyu waziri alishindwa kwenye madini akapewa uwaziri wa ccm kupatakura kanda ya ziwa

  • @hamisidale2704
    @hamisidale2704 10 месяцев назад

    Leo mmezindua mashine moja namba 9,Hivi haikuwa rahisi kuifungua hata mitatu leo? Au haiwezekani kitaalamu!!

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 10 месяцев назад

      Ukisikiliza utaelewa haiwezekani mana lazma iende mmoja mmoja kila unao kamilika ndo unazinduliwa kwahyo mradi bado unaendelea

  • @josephfrancis9943
    @josephfrancis9943 10 месяцев назад

    Nyie ni makuma kweli mnaona watanzania ni wajinga msimu huu tunabadilk uppo tymechoka mm ccm ila awamu nahama chadema tantalila nyingi