Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Pole sana...Duh wachawi hawana huruma kweli.
huyu bado yuataka deliverance. yesu ndiye njia na tiba yote iko kwake si kwa waganga
Sele yaonyesha ana mengi sema kuongea ndio shida kdg mungu amuongoze inshallah
Ati walituambia kuwa MTU akichukuliwa na wachawi no haiwezekani kumrudisha wala kumpata sasa simnaona ukweli ndio huu!!!!
Pole sana kipenzi changu
Watu huongea tuu maneno mtu akizikwa haludi mbona huyu kaludi
Pole sana kijana nakilicho kukuta
Sijui walimkata urimi anashindwa kuongea
Sihuwa wanasemaga mtu akishaazikwa hawa waliochukuliwa kichawi huwa hawaludi
niko uyole hapa naweza kuja kumuona huyo jamaa live nihakikishe
SHEBI Uliza maswali ajieleze mfano alizikwa kwa taratibu za dini gani, na wakati wa mazishi ilikuaje
Mtangazaji, anaposema dawa chu chu chu chu siumsaidie kumalizia "chungu" TU!?
Pole sana kijana
Namba ya huyo mganga tafadhali
Hizi ndizo story tunataka sio za walokole wengi ni waongo wanatupanga tu kama davista na wachungaji wake wengi ni wauongo eti mtu kaenda mbinguni mara kafa akafufuka yani anajigeuza kuwa Yesu 🤣 yani miyeyusho mtindo mmoja
Hahahaha lazima yakuchome
@@benjathekingofficialshows Dawa ya nini sasa
Wachungaji matapeli wanakela mnoo hata sitakangi kuwasikiliza waache kuwahoji wanakelaaa sanaaa😏
Pole sna
sauti ni ya kwake?
Background kuna kelele sana
Poor and bad recording... But interesting story
@@mwambakilima1331 kabisa
Dogo herufi F na V zinamsumbua
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
MUNGU WANGU
🧏♂️ 🇰🇪