Nampenda sana zumaridi wa tz sio kila kitu mchukulie serious mtakufa mapema vingine ni vyakuwapunguzia mawazo mm nikiwa na stress naenda kumuangalia zumaridi😆😆😆😆
Sawa kaka sema muoji vizuli uhungu kautoa wapi wakati ata uyo yesu mwenyewe toka aje duniani ajawahi kuumba ata jani ama kitu chochote ambacho nitofauti na vilivyopo apa duniani
Blue Boy wa Kishua Unastajili PhD ya Heshima.... (Dr. Millard Ayo) kama Havard, Andrews wala N.A.P.E... wote hawakuoni basi sisi Watu wako wa Nguvu mtaani Tumekupitisha. # Dr. Millard Ayo
E bana eee naingojea kwa hamu iyo interview kama na ww una shauku kama mimi achia like hapa
Wewe ni mmoja tu Africa masharik! Millard Ayo
Famasiara Nini!!😎🤏.. 4 point something milioni subscribers famasiara au siyo
🙌🙌🙌🙌....🔥🔥🔥🙌🙌🙌
pamoja sana Ndugu !! mpaka mwisho
Kumbe Millard huwa unasoma comment na kujibu...! Na Mimi naomba nitaje jina👏👏👏
Dah jamaa upo vzr unaweza kutengeneza action movie ase hongera ulivyoshuka kwenye gat kikomandoo
Nakuombea Mungu akutangulie katika kazi yako Mungu akupe hekima ya kumuhoji huyu Dada.
Duuh uko vizuri bro nakufatilia Sana, nasubiri kwa hamu hiyo interview.
Jamani mungu atuepushe leo binadamu unajiita Mungu aya na mungu tumwitaje sasa
Nimeipenda hii ....Mwamba huyu hapa 👆👆🔥🔥🔥🔥 best presenter
Aah uyu jamaa fala sana axee,,creativity anayo ya kutosha dadeq sana
Aisee hii promo mpaka nimesisimka..🙌 the meaning of work 🙌
Umeupiga mwingi Kaka,hongera sana,tunakupenda karibu tena na tena mwanza.
Huyu mwamba namkubar sana Hanaga habar za uongo kama media za mchongo! Big up for that!
Safi sana mladi' ayo kwa ubunifu mungu akuongoze kwenye kazi zako na kumuhoji zumaridi😘😘
Such creativity kama movie flan iv ya action umetisha 🔥 good luck
Ayo kama ayoooooo mguu kwa mguu ama kwa gari ya lifti💪🥂❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Aiseeee one and only. Millard Ayo. Hongera sana yaan never disappoint. Mungu akutunze hiyo creativity sio ya nchi hii
Nikipata habari kutoka kwa mirad Ayo huwa na uhakika wa asilimia Mia habari hiyo ni kweli tupu Namwelewa Sana hongera kwake
Tupatie hiyo interview.
Nampenda sana zumaridi wa tz sio kila kitu mchukulie serious mtakufa mapema vingine ni vyakuwapunguzia mawazo mm nikiwa na stress naenda kumuangalia zumaridi😆😆😆😆
Nimecheka sanaaa,yaaani umenichekeshaaaa
Nimekuwa wakwanza like me Nakubali Millard Ayo 🔥🔥🔥
Always Creative.... You're unstoppable
MWAMBA HUYU HAPA LUV YOU MILLAD
Hahahahaha this is funny..ila uyu bi dada ana mambo🤣🤣🤣🤣awekewe tu red carpet afanye appearance 🤣🤣😍😍
The best act,quality pictures,sound,locations, big up sana kaka, kwa habari za kweli na uhakika visit Ayo TV.
This zumaridi is here for kiki biashara matangazo na millard uhakika kavuta kibunda chake
Hongera kwa kumheshimisha mama. Najua interview itakuwa nzuri
Itazame tayari kwenye RUclips ya millardayo
Kweli Millard Ayo uko poa sana kwa kazi ya media
Aisee ni zaidi ya move..ayo umetisha aiseee.Mwambaaa tuletee Zumaridi
Tanzania yote nakukubari Millard Ay
Muulize kwann waumin wake wakienda kanisan hawakai kwenye vit mpaka wakaombe ukutani uku vichwa vyao vikichezacheza
Mwamba umetisha sana Nice work 🔥🔥🔥
Dadeki 😎🤏🔥🔥🔥,... Nime kuja ku-comment na hapa pia 🙌🔥🔥,..Famasiara Nini!!😎🤏.. 4 point something milioni subscribers famasiara au siyo
🙌🙌🙌🙌....🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Uko vizur boss milad ayo
Dah nilijuw RAMBO Na w Vetinam wamerud On AIR Umetisha kk
What a great Intro! looking forward to ⌚.
SUBSCRIBE
Muulize kwa nn anamuweka mama kanumba roho juu amuoneage huruma yule mama kapoteza mtoto jamn
Mwamba him self🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
Nakukubali sana millard napenda kipaji chako cha tofaut mung akusimamie
For Sure🤞🎤
Huyu mwamba anastahili tuzo ya heshima Kwa Kweli🙌
udaktari wa heshima @dr_@millardayo
#millardayo
That true
Haswaa
M naona bongo hakuna kama Millard ayo
I love you bro unafanya kazi kwa bidii wakenya tunakupenda
Miladi Ayo umetisha Sana
So nice King Zumaridi azidi kukuinua zaidi
aaah miladi ww ni balaa sana nimeipenda ii
Ila Millard!!Upo creative sana, mpka nimepata hamu ya kujua nini kitajiri.
Duh, habari zimempata mwanahabari. Kongole kwenu timu nzima
Namutafutaga sanahuyumwamba nanikimupata naamini muziki wangu nanyimbo zangu zitasambaa
Millard tunaomba umuulize maswali bila huruma bila kumwogopa na kwanin ajiite MUNGU
Love you bro God Job ❤❤❤ may God keep blessing you 🙏 🙌
Waooo ya nilitamani sana wamuhoji huyu mama
Sawa kaka sema muoji vizuli uhungu kautoa wapi wakati ata uyo yesu mwenyewe toka aje duniani ajawahi kuumba ata jani ama kitu chochote ambacho nitofauti na vilivyopo apa duniani
sawa Shaban, nimekupata
Millardayo bingwa ahsante Sana Eng
shukrani sana Hussein
Tunakupenda sana Millard huku kenya
Mwanaume huyu sio poa anajua salut kaka
Wow you're so amazing! I Can't wait to watch full video brother and keep it up
ebn ayo kwanza me nimoja kat ya wanao sapoti Sana kaz zako huna habali ya propa Ganda nakubali
Milad ww ni wa peke kaka mungu akuweke na akulinde
Amen, Asante sana Khalifa
Mwamba huyo hapo 😄😄😄 Tisha saana AYO
Wow 🔥🔥 Congratulations my brother 🙌🏿😂 umetisha sana mwamba 😂
Jamaa ananifanya nipende sana kazi ya utangazaji and soon najiunga na chuo
Muyenjwa
Naipend kali za huyo
Uko vizuri kama vile uliomba lifti mwamba umemfikia
Ukisikia matajiri hawalali ndo hawa sasa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
👊👊👊
Umetisha sana Millard ayo✌️
Bonge moja la intro… 👏👏👏👏
My role model 🔥🔥🔥🔥🔥
Iko poa sanaa brother nakuelewaga sanaa
Jamaa katisha ,kama movie vile
Namkubari sana taarifa zake zinakuwaga za kweli 💪💪
🔥🔥🔥🔥🔥 amazing 🤩
Ila we jamaa mtu hatar sana aseee Respect brother Millard
Kwasababu unajua anawatoaga watu misukule umeamua uende kijeshi ujipange kwa lolote litakalo tokea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa yuko kikazi zaidi millard hanaga kazi mbovu
shukrani sana Payne
Pamoja sana ayo
Umetisha brazaa nakuelewa sanaaa💪💪
Umekuja lake zone kwa kishindo kaka nakubali sana
jamani igeni kuandika habari kwa Ayp namkubali sana tena zaidi ya sana
bro upo vizuri, kistaa zaidi commando flani hivi, wewe ni mbunifu sana.big up.
Kwa kweli hii ni hatari na nusu naingojea kwa hamu
Sana bro, tuko pa1
Kazi Nzuri Sana
I loveeeeeeee you millard
Jamaa anaupiga mwingi sana
Millard nakukubali Sanaaa uko very creative !!! Please naomba ujibu😢
Nimejibu mm
Ayo ameamua kwenda kufanya mahojiano na Mungu huko mwanza.
Aisee we jamaa ni 🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥auna mpinzani
ujengewe sanamu kaka ayo
Nice work ❤️❤️
Unajua sana 🔥🔥🔥🙏
Creativity
Iko juu
Yaan nmerudia kama mara3 hiv kuitazama hii kitu ya mirad kweli hakuna kama mirady
Naamini SIWEZI kuwa MILARD AYO . Lakini nimejifunza sana toka kwako kaka mkubwa. Ngoja TUONE siku zijazo zitachotupa.
Daaaah kama treller tu nasisimkwa hivi je Move? Haya bwana kila la heri
Blue Boy wa Kishua Unastajili PhD ya Heshima.... (Dr. Millard Ayo) kama Havard, Andrews wala N.A.P.E... wote hawakuoni basi sisi Watu wako wa Nguvu mtaani Tumekupitisha.
# Dr. Millard Ayo
Mjengo wa bi dada au macho yngu
Daa mizinguo sana
👊👊
Mzee wa apdate za kwel kwahilo unampinzan