MCHAMBUZI MKALABOKO APAGAWA USHINDI WA YANGA/KUNA WATU WATAKIMBIA LIGI/MAXI AMERUDI UPYA TENA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 14

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 День назад +3

    Ninachojua nikukupenda tu💛💚💪🙏

  • @GadiusKalfan
    @GadiusKalfan День назад +4

    Nakubali

  • @samwelmakundi7223
    @samwelmakundi7223 13 часов назад

    Huyu jamaa mbona haeleweki mara yanga mbovu mara leo mtaikoma dahh😂😂😂😂

  • @ZuhuraKilunga
    @ZuhuraKilunga 13 часов назад

    Yanga bingwa

  • @KapeLoBoY
    @KapeLoBoY 13 часов назад

    hahhhahhahaa et chizi wa ushuwani

  • @JumaAli-u5s
    @JumaAli-u5s День назад +1

    Yanga daima ni bora ni pale tu inapo tokea bahati mbaya timu inaweza ikafugwa kwani hata timu kubwa uraya zinafugwa juma toka mbarara Uganda 🇺🇬 mtanzania harisi 🇹🇿

  • @rajabukitego1662
    @rajabukitego1662 День назад +1

    Kwa,mech,ipi

  • @matrida.lunyilija5196
    @matrida.lunyilija5196 23 часа назад

    Goti la makolo limevimba 😅😅😅😅😅😅😅😅 wavunja viti fc mmemsikia,mkalaboko

  • @SaidiUmari
    @SaidiUmari День назад

    Mkalaboko mzee wa makavu yuko seriously nyeusi nyeusi nyeupe nyeupe

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 День назад

    Hapo kwenye uraia wa wachezaji hapana ! Home boy mkalaboko umeniangusha

  • @PatridaMraponi
    @PatridaMraponi День назад

    Anayeuliza kwa mechi ipi mbona wao tuliwafunga mara nyingi hadi msimu huu tushawalaza

  • @markmangaya4947
    @markmangaya4947 19 часов назад

    Bro Yanga kamfunga nani?MCAlger au nyinyi ndio mnaowabwetesha Yanga,leo wanapiga kelele eti wameshinda 5 wao,Gemu zakufudhu mashindano makubwavchali..

  • @Monikadanieli
    @Monikadanieli 21 час назад

    hata wachambuz wengine hawana naana kwahyo tanzania hamna vpaj mpaka mnunue vibaka