Rose Muhando - Simba (Official Music Video) SMS SKIZA 7636520 TO 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 3,2 тыс.

  • @ClintonGor
    @ClintonGor 9 дней назад +4

    2025 bado simba ananguruma yaani huyu mama yetu be blessed 🙏 forever

  • @masekete
    @masekete 7 дней назад +6

    Who’s listening to this song 2025

  • @ClintonGor
    @ClintonGor 9 дней назад +3

    2025 i am a winner 🏆 in Jesus name 🙏

  • @gervasmoses9175
    @gervasmoses9175 3 года назад +573

    Yes huyu ndio rose mhando ninaye mjua, Kama unakubaliana gonga like

  • @rajabmugo3882
    @rajabmugo3882 3 года назад +1203

    Wakenya naombeni likes kwa huyu Mtumishi wa Mungu, jamani anabariki mioyo Yetu, kabadilisha maisha ya wengi.

  • @mamasadra
    @mamasadra 6 месяцев назад +32

    2024 nko hapa nipeeni likes za rose muhando

  • @StephenKasolo
    @StephenKasolo 3 года назад +445

    Congratulations mama. Wapeni habari wale mbwa tumerudi tena!!! Jezebelli pokea habari simba lazima agurume.

    • @duncanmulu2450
      @duncanmulu2450 3 года назад +4

      Ameeeeen

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 года назад +4

      Shkamo kasoro

    • @rajabmugo3882
      @rajabmugo3882 3 года назад +2

      Anauguruma simba

    • @wilfredmusyoka8400
      @wilfredmusyoka8400 3 года назад +5

      Wasa kasolo.....ngai nukwenda kuutwaa vaasa mbee wa vala ukuvikitye.....ithukiisye wasya wa Ngai undu ukuneena naku kwoondu wa ministry.....wasya wa Ngai ni wa vata thayuni wa mutangiiwa

    • @commanderthecomedian1814
      @commanderthecomedian1814 3 года назад +4

      Another legend 🤜🤜

  • @stellahstl4739
    @stellahstl4739 3 года назад +396

    Yaani watu wanatoa wapi nguvu ya kudislike wimbo powerful hivi??? Wenye wivu hao washindwe kabisa katika jina la yesu....fahari yetu ni Mungu...sisi simba tuko mawindoni...gonga like ya Mama Rose tukisonga mbele 🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🔥🙏🙏

    • @danielnyantori5446
      @danielnyantori5446 3 года назад +10

      Wanao dislike huenda hawajui tofaut kati like na dislike mwenye akili timamu na anae lielewa ilo kamwe hawezi kufanya ivo

    • @f1-4simplifiedchem72
      @f1-4simplifiedchem72 3 года назад +5

      Nashangaa pia sana , yaani kuna dunia hii wa ajabu

    • @sunrisecity1212
      @sunrisecity1212 3 года назад +7

      Si n mabweha na mbwa, hujaskia imetajwa

    • @georgelusana2346
      @georgelusana2346 3 года назад +5

      Ndo Bweha hao

    • @youngpr5482
      @youngpr5482 3 года назад +4

      She is anointed for sure💪

  • @febinmokeira
    @febinmokeira 2 года назад +190

    Tanzanians are blessed to have you Rose .....much love from Kenya we love you indeed kindly viewers if you agree with me gonga likes as we continue being blessed

    • @albertogechi9959
      @albertogechi9959 2 года назад +1

      Jamani,,,wamebarikiwa

    • @Liz-sc1sb
      @Liz-sc1sb 2 года назад +1

      ❤️🇺🇲🇹🇿

    • @selinemuthengi3484
      @selinemuthengi3484 Год назад

      Hata mm ni Simba wakike nimeingia mawidoni.be blessed rose muhando the best song

    • @CONSOLATAMBANDA
      @CONSOLATAMBANDA 7 месяцев назад

      First rose 😅​@@Liz-sc1sbgive him likes all wold please 🙏

    • @BintSwai
      @BintSwai 3 дня назад

      Welcome Tanzania❤

  • @preetyfavor2222
    @preetyfavor2222 3 года назад +227

    Kenya leteni hizo like za rose muhando ajue tunampenda bure

  • @utisitv254
    @utisitv254 3 года назад +459

    She is the Queen. This is another level of her music. Piga like tukisonga

  • @saradoug5803
    @saradoug5803 Год назад +28

    Mwape habari wale mbwa hi si bahati mbingu zimeniamini mungu amenidhibitisha wee!!!! Kali hii tutawinda anywhere God is real wapi likes kenyans tukienda❣️❤❤❤🥰🥰🥰🥰

  • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
    @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 года назад +337

    Ubarikiwe mtumishi keep up and God bless you my sister Rose mhando

  • @titomwanjela2655
    @titomwanjela2655 3 года назад +119

    Daa nyimbo nzuri simba tunao mpenda rose mhando like kidogo

  • @DoriceSephania-jh6lc
    @DoriceSephania-jh6lc 10 месяцев назад +2

    Ahsante sana da rozi🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥

  • @joohsawage2719
    @joohsawage2719 3 года назад +6

    Tumerudiii Tunawika nyikanii .......Jezebel pokea habaree tunaungurumaaa

  • @SaginiT
    @SaginiT 3 года назад +254

    I have seen singers who got lost and also failed in their comebacks, lakini Rose Muhando ni kama she never got lost anywhere. THE SAME VIBE, THE SAME ENERGY, SWEET MUSIC, & EXPLOSIVE COMEBACK. haters wanakiona KIMBEMBE. Wapi likes za SIMBA wa Injili

  • @emmanueldotto9535
    @emmanueldotto9535 3 года назад +2

    Mama uko vzl nimesikiiya ushuuda wako ukiwa BURUNDI mungu amekuongezeya siku haswa

  • @ditricknyamika5411
    @ditricknyamika5411 3 года назад +197

    Gonga like twende sawa kama unamkubali Rose Mhando🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @official-karis
    @official-karis 3 года назад +422

    Simba anangurumaa wapi likes za mama jamaniii💃💃💃💃💃🦁🦁🦁

    • @winnynyaboke9397
      @winnynyaboke9397 3 года назад +5

      This is the most blessed woman in all the world I love u mama rose God bless ua talent

    • @christophermlima7792
      @christophermlima7792 3 года назад +1

      Ni fire fire📻📻📻📻🎤🎻🎺📯📣

    • @loveisasacrifice6549
      @loveisasacrifice6549 3 года назад +2

      Simba mke kuwinda ni halisi yake....she has no limit, ananguruma popote and to make matter worse, ananguruma mbele ya mnyama yeyote...When God is on your side,who can be against you?Few shepherds and lots of lost sheeps,tanganza Injili na jioni mpelekee Baba wanawe,lazma tali akuvishe.When Devil think amekutoa timing,Mungu anakurecharge n kukurepair,to go back new n strong than you never been before.....God of Miracles and full of surprises .He loses no GAME.

    • @saddykayage9227
      @saddykayage9227 3 года назад +1

      Ama kweli vazi la kimasai halimkatai mtu yeyoteee. Vazi hili zuri mpaka basi tu

    • @mouneeray4200
      @mouneeray4200 3 года назад

      @@loveisasacrifice6549 I'm wondering kama Rose anasema anaweza kumchukua bwana yeyote ya mke yeyote, wakati wowote

  • @EmmanuelMbithi-rw1hp
    @EmmanuelMbithi-rw1hp Год назад +4

    Kweli ni mbarikiwa wa Mugu

  • @promisechild5565
    @promisechild5565 3 года назад +65

    Naomba Mungu vile I'm the fast MUNGU ANIINUE ATA MIMI NIPATE MAMA KAMA WEWE NIKO NA kipawa cha uwimbaji KENYA 🇰🇪 MOMBASA

  • @baibegee
    @baibegee 3 года назад +60

    ROSE you`re UNstoppable!! IsN`t GOD faithful? Simba lazima agurume, gonga like ya Mama Rose tukisonga mbele 🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🔥🙏🙏

  • @thekiller7315
    @thekiller7315 Год назад +4

    This is unstoppable mum you will always shine big up wapi likes za labapain(kenya)

  • @peterlangay6469
    @peterlangay6469 2 года назад +56

    "sitanyamaza hadi bwana ajitwalie utukufu"neno lenye nguvu sana dada yangu mungu azidi kukupa ufunuo.in christ we are super champions

  • @deffencemtagwa9795
    @deffencemtagwa9795 3 года назад +26

    Cha mwanadamu kitakufa tuu cha mungu lazma kione for sure Rose ni simba wapi likes za Simba jike jamani 💪💪love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🥰🥰

  • @kiliswatv9150
    @kiliswatv9150 Год назад +2

    How comes this song has not hit 100M views????🙄🙄🤔🤔🤔🤔

  • @GEORGEPHENEDY86
    @GEORGEPHENEDY86 2 года назад +16

    SIMBA WAKIKE...Endelea kuwinda roho ya wasiomjua Mungu warejelee wuokovu mkuu.

  • @duncanmulu2450
    @duncanmulu2450 3 года назад +49

    Video Quality 100%
    Content 100%
    Audio Quality 100%
    Talent. 100%
    Anointing. 100%

    • @TheGospelMelodies
      @TheGospelMelodies 3 года назад +5

      Umeona hiyo dance ya Rose... Every song with its dance

    • @duncanmulu2450
      @duncanmulu2450 3 года назад +5

      @@TheGospelMelodies Yeah bro....She is super talented....every video song. Different theme, different location, dance etc

    • @gloriachep3642
      @gloriachep3642 3 года назад +4

      Yaani Kila kitu kipo shwari tu

    • @duncanmulu2450
      @duncanmulu2450 3 года назад +2

      @@gloriachep3642 Aiseee mambo Motooo

    • @taitanicbway525
      @taitanicbway525 3 года назад +2

      Yaaaaan n jaramba juu ya jaramba💥😂😂

  • @taelwanjiru5377
    @taelwanjiru5377 3 года назад +1

    Roar WOG. kumcha Mungu do jeuri yetu😃

  • @bensonelgridinabraham4797
    @bensonelgridinabraham4797 3 года назад +348

    Watanzania tuliouelewa wimbo huu naomba likes zenu haaaapah ...... Mungu ni Mungu "Isaya 6:8"

  • @husnamamuya5784
    @husnamamuya5784 3 года назад +19

    Kama umerudialudia kama mimi gonga like bonge song

  • @kettyym9859
    @kettyym9859 2 года назад +2

    💃💃💃💃💃💃 awwwww haleluyaaaaaa simba jikeee am a champion 🏆

  • @bostonogoti1460
    @bostonogoti1460 3 года назад +3

    Rose fungua kanisa Kenya Nairobi apo moi Estate utapata watu millions

  • @difendaog446
    @difendaog446 3 года назад +196

    Mungu kwanza kama umependa wimbo huu like

  • @AnnaAnthony-s3i
    @AnnaAnthony-s3i Год назад

    Good job, my sister, kweli neno la Mungu sio gazet la shigongo

  • @emokolsimon2172
    @emokolsimon2172 3 года назад +3

    Roar until the last time,wamalwa Aaron from Kampala Uganda

  • @victoriadominic8152
    @victoriadominic8152 3 года назад +60

    Hatari mam Queen of gospel Tanzania and east nzimaaa gonga like tuendee na simba

  • @johnchuma8835
    @johnchuma8835 Год назад +1

    My names are JOHN CHUMA of USA !!!
    WE LOVE YOU ROSE MUHANDO

  • @kellybaraka9682
    @kellybaraka9682 3 года назад +178

    How can you avoid her...she is unstoppable

  • @eliyakeppa5221
    @eliyakeppa5221 Год назад +13

    YOU CAN KILL ALL THINGS BUT NOT ROSE MHANDO, SUCH WOMEN IS FROM GOD. she is now back🦁🦁🦁🦁

  • @mwajumahmkali9557
    @mwajumahmkali9557 Год назад +1

    Huyu dada Mungu azidi kumtumia ,hii biti ni hatari sana kwa shetani lazima akae mbali😂❤

  • @chefbriankenya8328
    @chefbriankenya8328 3 года назад +37

    Wow wow wapi likes za mom go go go our queen 👸

  • @lilianaluoch860
    @lilianaluoch860 4 месяца назад +3

    Mimi simba wakike hapa kenya nanguruma katika jina la yesu kristo

  • @lucyemmanuel9487
    @lucyemmanuel9487 3 года назад +1

    Wapeni habari wale mbwa Mungu amenithibitisha 🙏🙏🙏

  • @abdallahmwinyi2106
    @abdallahmwinyi2106 Год назад +4

    Rose mhando mungu kakupa kipaji. simba anangurumba upo mawindoni super champion lazima wataipenda

  • @chiriijoy9368
    @chiriijoy9368 3 года назад +36

    Waambie Habari tumerudi Tena zamu yetu, mungu amethibithisha mama rose twakupenda tumpe like me nko 2 round kuwatch can't get enough of it 😘😘😘😘

  • @dorothymmbone2098
    @dorothymmbone2098 6 месяцев назад +1

    Amen.perfectly done.great message Lord bless you sister.

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 года назад +7

    Hapo tu kwa: hii si bahati mbaya mbingu zimeniamini mungu amenithibitisha hapo tu mm hoiiiiiiiiiiii

  • @lotusqtr7960
    @lotusqtr7960 3 года назад +18

    Mama mungu akuinue kwa kazi nzuri unafanya, mm ninapo sikiza nyimbo zako hua nini amani ndani ya royo yangu. jameni wakenya tumpe mama wetu like za simba ananguruma hata km n tano 🙏🙏

  • @me-tb6ju
    @me-tb6ju 2 года назад +1

    Aki rose nkisikizaga hizi wimbo zako huwa nafeel kufunguliwa, may Go bless aki. Nakupata nkiwa Nairobi kenya

  • @marykmusiq8442
    @marykmusiq8442 3 года назад +63

    Natumai huu wimbo umembariki wengi mtazamaji
    Piga like Kama wewe ni mmoja wao TRM kenya👍 twakusupport Sana mama

  • @kawikyamazingira6106
    @kawikyamazingira6106 2 года назад +35

    "Kumcha Bwana ndio Jeuri yangu"🔥🔥. Wueeh! The Lioness herself 🥰🫂❤️. Mob Love Mom from Germany 🇩🇪🇰🇪

  • @AmosMuema-o7l
    @AmosMuema-o7l Год назад +1

    Game changer, King of come back, be blessed dada

  • @junewern1103
    @junewern1103 Год назад +9

    Kulingana navile nimepitia kwa maisha juu ya watu nafikiri hii wimbo ina nifaa iwafikie ma hates😢😢😢😢😢maisha mengi rose

  • @adelefaye1928
    @adelefaye1928 3 года назад +10

    Je vous regarde depuis le Sénégal 🇸🇳🇸🇳🇸🇳

  • @ritaroggs
    @ritaroggs Год назад +1

    kenyans Tunakupenda sana Dada Rose.

  • @elizanzisa1459
    @elizanzisa1459 3 года назад +15

    Ni kweli mbegu la Mungu haifi kamwe, malikia wa gospel East Africa Mungu akuinue zaidi na zaidi, 🇰🇪🇰🇪twakupenda sana🙌🏽🙌🏽

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 3 года назад +57

    Old Rose Muhando is back🔥🔥🔥what a song am blessed....

    • @beatricekavete4090
      @beatricekavete4090 3 года назад

      Siendi mahali nikukose😂😂😂

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 3 года назад

      I tell u

    • @elizabetheliza5879
      @elizabetheliza5879 3 года назад +1

      Simba wakike ni hatari, Wali mnyoa samson waki dhani atakufa alifufuka tena nywele zilimea tena, rose yuko tena.

    • @bayyoakonaay1065
      @bayyoakonaay1065 3 года назад

      @@elizabetheliza5879 Ouru I'll iiiui pi up on Po p oi 8 my pom I'l ni or ol

    • @bayyoakonaay1065
      @bayyoakonaay1065 3 года назад

      Io Ii

  • @KoromoMelita
    @KoromoMelita Год назад +1

    Rosi safi sana maana umeipa sana ❤💜💙

  • @everlyneeshitubi545
    @everlyneeshitubi545 3 года назад +7

    Wow 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapi likes za mama rose muhando.. simba ananguruma 💃💃💃💕💕👌👌🔥🔥🔥🔥🔥 congratulations mama be blessed

    • @oscahinyangala1490
      @oscahinyangala1490 3 года назад

      Mama ameamka Tena cha YESU CHRISTO hakipoyeangi walai walai nashuhudia kuna MUNGU ambaye ametuita simba wa YUDA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪wakenya waonge SASA

    • @risperkeya5345
      @risperkeya5345 3 года назад

      Kumcha Mungu ndio jeuri yangu simba ananguruma

  • @emmykingsley9733
    @emmykingsley9733 3 года назад +5

    Asante mama Mimi natoka Rwanda nakupenda sana

  • @carolynkinyua1940
    @carolynkinyua1940 2 года назад +2

    najivunia jina la yesu christo🙏

  • @gloryleon4187
    @gloryleon4187 3 года назад +14

    Simba jike ngurumaa Yesu simba wa yuda apate utukufu, wapi like za Yesu wetuu huuh, simba lololo simba anaungurumaaa

  • @judithkwamboka5736
    @judithkwamboka5736 3 года назад +62

    Creativity✔, mavazi, ✔scenery,✔ wimbo✔, instrumental, you are a champion for the glory of the Almighty God. Keep it Jesus all the way.

  • @AnthonyNdinah9142
    @AnthonyNdinah9142 2 года назад +2

    Barikiwa mama akika simba anaungurumaa allellujah

  • @DianaMwamatepela
    @DianaMwamatepela 6 месяцев назад +21

    Kama ww ni winner 2024 gonga like hapana

  • @paulkn-Blessed2405
    @paulkn-Blessed2405 3 года назад +11

    God has favored her more to ashame all her enemies. Continue bosting In the Lord. I'm so proud of you and indeed God is with you. You are a queen and a champion. God bless you more Siz Roze.

  • @DuncanAlusa
    @DuncanAlusa Месяц назад +1

    Amen she is strong woman 💪💯👍

  • @jumaephraim5949
    @jumaephraim5949 3 года назад +12

    I can't stop calling her mum.... Simba hodari amewinda.. Mungu amejitwalia utukufu.....#TRM SPIRIT .. LET'S SHOW LOVE TO THE QUEEN 🤗🤗🤗👑👑👑👑

  • @victoriaadam1529
    @victoriaadam1529 3 года назад +25

    Wimbo mzuuuuri....queen of gospel Tanzania

  • @julianaandrea5839
    @julianaandrea5839 2 года назад +1

    Mimi nakupenda uko vizuri sauti ya Kimungu na mazoezi kwa Sana 🙋

  • @zipporahmujiti5435
    @zipporahmujiti5435 3 года назад +61

    Champions never be shaken as long you trust and believe in our Lord.Kenyan's in Saudi Arabia likes as we listen to this queen be blessed .

  • @Manumbu1
    @Manumbu1 3 года назад +8

    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.
    Wewe kweli ni Simba ninakukubali sana.

  • @bongoslimboy2235
    @bongoslimboy2235 3 года назад +1

    Rose ilov you sana Mimi n fan wako kutoka Kenya,am champion wako huku kenya

  • @promisemuesh1
    @promisemuesh1 3 года назад +32

    Simba anaguruma kweli,..
    Amen, Glory to GOD.

  • @alicemueni3745
    @alicemueni3745 3 года назад +48

    Have tried to understand how God's works through Rose, it's mysterious,sielewi... she Job of today, alipepetwa Kila sehemu ya maisha,kiafya, kifedha ,kifamilia... look at her now God restored her.
    Her story glorifies God

    • @emeldahmwangi5627
      @emeldahmwangi5627 3 года назад

      Glory to God

    • @mariej6962
      @mariej6962 2 года назад

      She is the chosen one. She was not even meant to be a Christian to begin with. Look where she is now.

    • @puritykaleche7263
      @puritykaleche7263 2 года назад

      You said it perfectly,she's job of today.i also give myself hope when I look at the tests she gone through

    • @purityangle
      @purityangle 2 года назад

      True@Alice

  • @nelsonmbisse1513
    @nelsonmbisse1513 Год назад +1

    big up mama ynguu MUNGU akuinuie zaip

  • @annethalfredmarealle3633
    @annethalfredmarealle3633 3 года назад +27

    How i wish i could like everybody's comment and like the song 100 times ... ulinibariki unanibariki na utaendelea kunibariki mm kwangu Rose #1²

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 Год назад +3

    Love you mum

  • @GiramiaPatricia-j6p
    @GiramiaPatricia-j6p 5 месяцев назад +2

    Wawa am champion about my enemies my god bless you rose 🌹🌹

  • @sarahngigi318
    @sarahngigi318 3 года назад +74

    Never let your dreams fade which you started chasing since you were born, you are unstoppable 🙏🙏🙏🙏

  • @frankymark3668
    @frankymark3668 3 года назад +5

    Rose muhanto achana naye wapi like zake

  • @roselusenaka7548
    @roselusenaka7548 Год назад +1

    Imba hadi Yesu arudi ,moyo usikuhubirie.

  • @TheGospelMelodies
    @TheGospelMelodies 3 года назад +17

    Hii ni kali bwana, namshukuru Mungu nimekua miongoni mwa watazamaji wa kwanza 200 kuona.... Wimbo mkubwa sana unasonga tu na kichwa mosmos

    • @taitanicbway525
      @taitanicbway525 3 года назад +1

      Nmependa hizo moves😍😍

    • @diveske1388
      @diveske1388 3 года назад +1

      Pole pole kimawindo 🤩

    • @antonymtatuu3477
      @antonymtatuu3477 3 года назад +1

      Ubarikiwe uedelee kusonga mbele kihuduma hakika wewe ni simba 😂😂 💋💋

    • @TheGospelMelodies
      @TheGospelMelodies 3 года назад

      @@diveske1388 kabisaa aaah

  • @christopherokado5054
    @christopherokado5054 Год назад +5

    Tazama nikiwa India. You're a blessing

  • @linetrabera8904
    @linetrabera8904 2 года назад +1

    Mungu akukumbuke Dada kwa nyimbo nzuri nasipenda nyimbo zako

  • @samsonmbuta257
    @samsonmbuta257 3 года назад +14

    What a nice song..good message.. Kwa kweli simba amerudi ..go go Mum..mbwa wapewe habariii...wapi likes za wanaTrm tukiendaga

  • @joyfrankfamily
    @joyfrankfamily Год назад +3

    Kwa kweli we simba ❤️❤️❤️❤️what's gospel music without u mum , nikiwa na hasira dawa ni nasikiza nyimbo zako nasahau kila koza 💕💕💕

  • @TumainiDaniel-w8x
    @TumainiDaniel-w8x 6 месяцев назад +1

    Mungu akiinue unanibarik sana

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 3 года назад +33

    KAZI NZURI SANA...BIG UP ROSE ...MUNGU AKUBALIKI SANA ..HUU MWAKA UWE MWAKA WAKO WA FARAJA NA MAFANIKIO TELE.

  • @stellandege5594
    @stellandege5594 3 года назад +5

    Kama unamkubali rose dondosha like yko hapa super champion big up dada rose wale wa penzi wa simba tujuane hapa big up

  • @bukombeshy3644
    @bukombeshy3644 11 месяцев назад

    Rose is another level aisee, Mungu azidi kukuinua😊

  • @fridajeremy6445
    @fridajeremy6445 2 года назад +16

    MOST TALENTED Gospel musicians.

  • @mariamsospeter8622
    @mariamsospeter8622 3 года назад +5

    Kazi nzuri Dada 😘😘 MUNGU aendelee kukuinua

  • @pendoamos2947
    @pendoamos2947 3 года назад +2

    Yupo vzr sana mama na mapambio

  • @babu-1689
    @babu-1689 3 года назад +67

    Restoration is happening throughout East Africa through this song. I never doubted you mama.

  • @mdqweqwe251
    @mdqweqwe251 2 года назад +5

    Nimeludi kutoka Oman jaman 👌👌👌👌👌👌👌

  • @elinabenjamin9646
    @elinabenjamin9646 2 года назад +1

    Duh wimbo mtáaamu sana hongera Simba jike

  • @TheGospelMelodies
    @TheGospelMelodies 3 года назад +49

    Eagerly waiting for this big hit... Mama you never disappoint 🇰🇪 🇰🇪 all the way