Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Shukran saana kutuonyesha Nyumbani huku Nairobi hakuna usalama ALLAH atuongoze In Sha Allah 🤲🤲🤲 furaha kwetu MOMBASA kukiwa salama Tuombeeni na sisi huku Nairobi,,kumechafuka sana i say
ABU SHUREIM TAKE CARE,bado TWAKUHITAJI
Hao niwaporaji tuu wanaoleta khofu mjini hasbunallah wani'malwaKiil
MEM awahifadhi na soote jamian yarab🤲
Hawa wa mombasa sio wa maandamano ni wezi wale wa mapanga wanafaa police wajitokeze wawapige marisasi kuwapiga wote walazwe barabarani
Amani muhimu kwa kila kuimbe zingatieni
Mlete Shariff Omar SULTWAN.
Hata wewe hucha!??? 😂😂😂
But why? Where’s the freedom of speech? Watu wanafanya maandamano what’s wrong with that??
SHUKRAAN ABU Shurei.m kwa UPDATE