NTEMI Swahili Movie || Bongo Movies Latest || African Latest Movies || Episode 1
HTML-код
- Опубликовано: 4 фев 2025
- NTEMI ni moja kati ya filamu bora za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie nchini Tanzania.
NTEMI ni kijana wa Kisukuma mwenye juhudi katika ufugaji wa Ng'ombe. Tatizo lake anathamini sana Ng'ombe kuliko hata mwanae kumsomesha.
Kupitia series hii Swahili Movie /Bongo Movies utajifunza zaidi kuhusiana na kabila la Kisukuma pamoja na makabila mengine yanayowazunguka Wasukuma.
Hakika utajifunza kitu kikubwa.
Hii ni moja kati ya Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania series itakayokujia kila Alhamisi saa Tisa na Nusu Alasiri.
Endelea kufuatilia hadi mwisho,usisahau kulike,share zaidi kusubscribe.
Tunaomba support yako kwa kushare kwa wengine, ila zaidi uendelee kujifunza kupitia filamu zetu za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania. WE LOVE YOU ALL. ...........................................................................................................................................................................................
KAPAYA THE GREAT FILM
Contact:
0655 218 331/0753 318 331
email. kapayamic75@gmail.com
Instargram
Kapayathegreat
TANZANIA.
🔥🔥🔥🔥
Ntemi
Nic movi inaonyesha uarisia wa kitz adi raha,, mpe Salam uyu baba mwenye panga nimempenda amejua kunichekesha,
Uzalendo kwanzaaaa! Geita Tanzania Na Afrika ni sasa! 🙏 tuamke kuwasapoti vijana wetu!
Wasukuma nawapenda sana jamani muvi nzuri sana ntemi
Movie nzur san nmeipenda, nakfaham san ksukuma maana ndo kabila letu hongera kwa washirk
Nzuri sana wasukuma oyeee
😂😂😂Ahsanten sana kwa Filamu zenu nzur❤❤❤
Mko vizuri naomben namimi nafas Niko kagera Nina kipaji hicho
Asanteni saana waandaaji wa hii movie proud to be ngosha
❤
Kazi nzuriiii Sana gheke Oleyombha luga ke
Nzuri Sana😘
Nakubari brother never give up
Jamani movie hii nzuri kbsa shusha one more time
Ndio nmewasili huku 😂😂kuchelewa c kukosa ntafuatilia hdi mwisho 🎉❤❤
Kapaya jamani penda sana my love
Jamani hii ntemi nimeipenda
Safi sanaa
M/mungu akuongoze ufike mbliii zaidiiii pale unapotaka
Kiukweli mv zuli Sana nawaobea muedeleze
Nice kapaya na wengine wote
Move nzr sana
Hyo mpiga picha Ibrahim kitimbu jamn n rafiki yangu tumeish sana magomen dsm
Hongeren san
Movies kali kutoka Buhalahala geita 🎉
Mmh😄
Kali sana
❤❤❤❤❤❤❤😂😂naipendaje sana hii movie wasukuma tunajitahid sana
Wasukuma oyeee3eee
Punguzen kiluga wengne atuelewii tamthilia nzur sana🥰😍
sawa lakini kunamaadishi ya kiswahili hapo chini tazama vizuri
@@kapaayathegreat wengine macho hayaoni vzur namba ndogondogo
@@kapaayathegreat mandishi hayaonekani vizur ongezeni kidogo mandishi mana wengine wabovu wa maco😔
@@zou7470 sawa ntafanya hivo
Ila Jeremia ananogeshaga muvi za kapaya the greet saf sana
Kazi nzuri sana
Kuanzia leo nawafwatilia mkovizuri
Karibu sana mpenzi wangu
Nimependa kazi nzuri🎉 nawapa mauwa yenu
Waooh. Asante sana Wapendwa movie tamu sana ❤🔥😍
😄😄😄😂Ntemi anajua adii anaboa, bro umevaa uhusika vizur saf san👏👏👏
Kazi nzuri san ila wakurya tujuane. Mie ndo gati mwenyew sasa
Nimekuwa wakwanza nawapenda sna ila naitaji kuingiza Kaka angu
Tamu sana
Kama nini
@@kapaayathegreat kiujumla nimeipenda mzur xana
@@zenahjoshua6301 karibu sana mpenzi wangu
okay thanks so much
Daaah kaka Safi sana nimemuona baba yangu mzazi ambaye ameigiza baba jeni daaaaah nashukuru sana hapo ndo nyumban kijiji cha mshinde
Hahahaaaa uko wapi wewe
Nipo Ifakara Morogoro ila nimejenga nyumba yangu ipo magogo geita kwenye tanki magogo senta
Kapaya bana...unaniacha hoi....🤪😆Mungu akulinde kapaya wangu eee.🙏
Kwanini jamani
Wazee wenye busara ktk uposaji 💗
Naenjoy sana movie hizi nawtch nkiwa Kilimanjaro hapa lakin nafurahia sana location za kwetu gt pia nafurahi nkisikiliza lafudhi ya kokaya 🥰🥰🥰🥰🥰. Hongera sana kapayathe great film💪💪💪💪
Eeh Bhana Geita Sehem Pendwaa naupenda Mkoa Wangu 💞💞Nipo Moshi Pia
Kazi nzuri sana hongereni sana....!!!! Ni suala la muda tu kuna mahali mnaelekea kwenye tasnia...!!!
Daaah, kaka ahsante sana kwa neno lako limenipa nguvu sana
baba jeni hayupo series
Movie kali ahk
Tamu sana❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏
Hongera sanaa hakika mnaelimisha jamii
Naombeni Na mm Nafasi humo kwenye kampun lenu jmn
Mwendelezo jaman
♥️♥️🥰🥰🥰 movie nzur 💃💃💃🔥🔥❤️
Jamani nakupenda sana
Ahsante sana 🙏
@@kapaayathegreat naomba no yako
@@wevinawinston4821 angalia mwisho wa hiyo filamu utaziona kwenye kapayathegreat films
Kazi nzuri Sana bro Allah awajalie kwa kazi yenu nzuri
Big up 👏👏👏
Wow movie nzuri saana sana 😘😘😘😘
Mnajitahid Sana nawakubali
Wow 🥰 mm nimewapemda sana,,kwa kua kazi yenyu ni nzuri muno,,muendelee hivyo
Umetisha sana sana
Kapaya unajuwa kunifulahisha
Umetisha mudogo wangu
New challenge in town
Ninajivunia Lugha yangu ya KISUKUMA naitazama kutoka Dar es salaam NTEMI
🤣🤣🤣🤣😄🤣😄😄🤣😄🤣😄🤣😄🤣😄😄🤣😄🤣😄🤣😄🤣😄😄🤣😄🤣nyieeee hyo mzeee saimon 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyu mzeee mkorofi sanaa inaonyesha hata kwenye fimilia yake maan akitoa hilo jicho🤣🤣😳🤣😳🤣😳🤣😳🤣😳🤣😳🤣😳🤣😳😳🤣😳🤣😳🤣😳🤣😳😳😳😳
😂😂😂😂😂
Poa sana
Deo bigapuu san
Good job bro keep moving.
Kapaya kapaya move nzur na nitamu Sanaa ♥️💓💓💓💖💖💓💓
ahsante sana 🙏 mpenzi wangu mariam
Aisee napenda kazi zenu adi npo Tyr kuchangia shooting 🙌🙌🙌 ntemi kaka kipaji unacho brw,. Sema Yule mzee alolishiwa mazao endeleen kumtmia anajua kusmamia uhalisia haigizi kweny camera ila anaigza anachokfanya
Mungu azidi kuwaongoza vyema kwa kazi mzuri za kuelimisha jamii
Ntemi swahii
Movie nzuri Sana tatizo part 2
Niko single nipewe ntemi nampenda sana
Wanawake wa mjini hawawezi anawaogopa
@@kapaayathegreat gai Mimi si wa mjini aki
@@graceokutoyi2409 mtumie namba yako tumpatie
Unawaigizaji wazuli kaka
Wabheja sanha ngosha ulhechiza Sanhaa aseeee
Napenda Sana unavyopambana kapaya japo sijawahi kuonana na wewe hata mm nipo mwanza ni C.E.O KWA MCHELE PICTURE napenda Sana unachokifanya ipo siku nitakuhitaji kwenye kazi zangu
Movie IPO vzur sana
Wow ❤
Hongeraa sana kapaya great films kazi nzurii
Episode 2 lini teja jaman😘😘
Kila alhamis
SUBSCRIBE ili usipitwe
Kazi nzur Sana 💕
Movie nzuli sana.yenye kuvutia
Mzee saimon sio muha kweli ? 😂😂😂
Hapo sasa baba, itabidi uende shule, Smart movie Next episode basi cos twaingoja kwa hamu na gamu dia. Keep it up.
Kila alhamis inatoka mpenzi wangu
@@kapaayathegreat ok dia
Nice one ❤️❤️❤️
Yaani mtanifirisi mwenzenu nafanya kazi ya kununua mb kila leo
Enjoy mama
Kwakweli mnajua kutufurahisha na kutu elimisha Mungu awatie nguvu Msonge mbele zaidi
Well done kijana
Waaah Ntemi mwanamme huyo nae kapata kichuna kwl 🤣🤣🤣🤣
Nc ❤️❤️
Saf sana
Sitoiii entem
Kazi nzuri bro
Mnazingua.nakisukuma
Very nice
Kazi nzur ubunfu mkubwa
Maneno mengine yanipita Ata sielew domoniiiii🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Kuna maandishi ya tafasiri hapo usome
Good morning Grandmother 😂😂😂😂😂
Mzee saimon ni kiboko Hilo jicho
Huyu kapaya amemuacha salama kweli huyo mdada aliezaa na ntemi mana mashallaa kidada cha watu me mwenyewe nimekitamani🤣🤣🤣
Hebu turete Hilo limuendelezo bwazo bwana 🤣🤣🤣 wasukuma bana mnanibamba Sana na hiyo lugha yenu
Bil unafki haki napenda san kazi yen sabab zinamafunzo san
The nature is wow❤️
😅😅😊😊😊😊😅
As ntemii mianane ngombe