JINSI YA KUPIKA MAHAMRI MALAINI SANA YA MAJI

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 156

  • @shamsaamor001
    @shamsaamor001 Год назад +17

    Nataka kuanza biashara ya kuuza mahamri kwa mbaazi insha' Allah , hii video imenisaidia sana... Asante mpenzi Allah akuzidishie

  • @Hunybunny-b3z
    @Hunybunny-b3z Месяц назад +2

    We love you too our best teacher ❤️

  • @estherkabiru-wk6xq
    @estherkabiru-wk6xq Год назад +4

    nilijaribu half keki😍😋
    Sasa mahamri ndo kiboko yao.mashallah kazi nzuri dada

  • @halimaibrahim2607
    @halimaibrahim2607 2 года назад +2

    MashaAllah TabarakAllah kukanda unga huwa mtihani kwangu😩 but your videos always inspires me to keep trying

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 года назад

      Keep trying mpenzi hata usiwaze sana ukiamua kupika mahamri usikande kuchoka fungua fungua ukieka vimaji kidogo kidogo huku ukikanda na InshaaAllah utapata vitu safii no giving up video yangu ya kwanza na hii ina tofauti kubwa

  • @kunguricomedian
    @kunguricomedian 2 года назад +2

    Nimeyapenda haya mahamri jameni

  • @fatmahassan5922
    @fatmahassan5922 2 года назад +3

    mashaallah shukran siz jana nilijaribu half cake zako mashaallah zimetoka ajab😍

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 года назад

      Yaaaaaayyy thanks mpenzi usisite kushare much loveee

  • @sabrinakijuu9521
    @sabrinakijuu9521 2 года назад

    Nimetumia njia hii yametoka vizuri (matamu)MashaAllah 😋

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura Год назад

    Ma Shaa Allah
    Maelekezo mazuri

  • @dusabezubeda
    @dusabezubeda Месяц назад +1

    Unaficha kiungo moja mukiwa muahitaji kufunza watu muwe wazi mu formula zenu. Iyo ndio shida ya sisi wa Africa fundisha bila unafiki ndani

  • @faizaaziz-um5nj
    @faizaaziz-um5nj Год назад

    Maa Shaa Allah nmependa

  • @khadijahhyder1449
    @khadijahhyder1449 Год назад

    Ma Shaa Allah.....shukran habibty,much love to u❤️

  • @ibraabuemu9231
    @ibraabuemu9231 2 года назад

    Maa sha ALLAH, uyapate na mbaazi

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 года назад

      Kwa chai ya viungoo🤣🤣ukilala huamkiii

  • @zakiakondo2849
    @zakiakondo2849 Год назад +1

    Safi sana kuna kitu nimeongeza

  • @maimunakhalid-rh4sw
    @maimunakhalid-rh4sw Год назад +1

    mazuri sana

  • @cindydzame8757
    @cindydzame8757 2 года назад +2

    Wonderfully

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 Год назад +2

    nice mahamri looking delicious❤❤

  • @Sharon-d6k
    @Sharon-d6k Год назад

    Asante sana kipenzi ❤❤

  • @Hafizamohammad_
    @Hafizamohammad_ Год назад

    I tried ur recipe its one of the best and easiest MashaAllah TabarakaAllah.

  • @nefisahawa
    @nefisahawa Год назад +2

    MashaAllah.hiyo hamira naeza koroga usiku then nikande nayo mahamri asubui.

  • @wardaamour5818
    @wardaamour5818 Год назад +5

    Ningeomba uwe watuambia kwa gram kama ni kilo au nusu kilo 😊

  • @Sofia-oo3oi
    @Sofia-oo3oi Год назад

    Mzri mashallah

  • @BaAli-q6w
    @BaAli-q6w 10 месяцев назад

    Assalam aleikum vpy hali Maashaallah mahamri yko mazuri lkny hpa kwa sukari 1/2 cjaelewa yani kikombe kimoja ama vpy

  • @nadiamima7271
    @nadiamima7271 2 года назад +2

    MashaAllah 🥰🥰

  • @ZawadiAbdala
    @ZawadiAbdala 5 месяцев назад

    Mashalla upo fsta

  • @shebanishebe7866
    @shebanishebe7866 Год назад

    Mahamri mazuri sana

  • @MozaMnyimage-mt7fo
    @MozaMnyimage-mt7fo 9 месяцев назад

    Mashaallwah

  • @katonoaisha
    @katonoaisha 7 месяцев назад

    New here will try itout foreid

  • @ruungessey1547
    @ruungessey1547 2 года назад +1

    Mashaaallah nimeona cooking yako kwa tiktok baka nimekuja hapa.

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 года назад

      Shukran sna love nimefurahi kwa kufika kwako

  • @herbieberr3468
    @herbieberr3468 Год назад +1

    Hi.nimependa recipe 😋.
    Je mahamri huhifadhiwa vipi kwa mfano Yamebakia

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  Год назад

      Asante sana mi hua nayafunikwa tu na kitchen towel

  • @ConquerorPrincessPet
    @ConquerorPrincessPet 2 года назад

    Nice mahamri, looking delicious.

  • @iam_shelena3157
    @iam_shelena3157 Год назад

    Nimeipenda sanah naweza kueka iliki

  • @HassanAucho
    @HassanAucho 8 месяцев назад +1

    Mashallh

  • @neemadavid1712
    @neemadavid1712 Год назад

    Barikiwe

  • @azirajuma553
    @azirajuma553 2 года назад +2

    Mashaa Allah mahamri.mazuri

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 года назад

      Shukran love

    • @azirajuma553
      @azirajuma553 2 года назад

      Asante mamii nipo Tanzania nafatilia sana mapishi yako nimejifunza vitu vingi sana kutoka kwako Allah akujaalie sana ningetamani siku moja tuonane, ok nisalimie sana asmaa

  • @alwy_m_kitchen
    @alwy_m_kitchen 2 года назад +1

    So good😋😋😋

  • @faridaibrahim6075
    @faridaibrahim6075 2 года назад +2

    Ma'sha'Allah thank you for your videos it has been very helpful to me..I normally make mahamri during the day,My question is if I make it overnight and fry them in the morning for breakfast is it a must to keep the dough in the fridge?please reply

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 года назад +1

      Most Welcome love kwakweli sijawahi kufanya hivyo myb hamira ueke kidogo sanaaaa ndio yasifure mapema

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 года назад +2

    Mashallah tabarak Rahman 🥰❤❤❤🇴🇲🌹👌

  • @marynzilu
    @marynzilu 2 года назад

    Mahamri matamu sana😍

  • @nancyfancy6320
    @nancyfancy6320 2 года назад +1

    Yummy 😋😋

  • @halimaali1900
    @halimaali1900 Месяц назад

    Napenda vipimo vyako unapima 1kg au 2kg.wengine Wana pima kkombe kimoja inakuwa htufahamu

  • @haifzasumra7665
    @haifzasumra7665 Год назад

    Hii looking very nice can you tell me in English I don't understand in sweiley thanks Hafiza

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  11 месяцев назад

      Thanks what do you want to know?

  • @anastaziabeno6062
    @anastaziabeno6062 11 месяцев назад

    Kam hivo unaweza uza sh.ngapi kwa andaz moja

  • @bentaakoth4274
    @bentaakoth4274 8 месяцев назад

    Mashallah

  • @fatumatandika6220
    @fatumatandika6220 Год назад

    Nimekupenda uko fast video yako

  • @monicahjames7308
    @monicahjames7308 Год назад

    Woow❤

  • @TundaSacto
    @TundaSacto Год назад

    Yummy❤

  • @SelmahTaib
    @SelmahTaib Год назад +13

    Ni nini uliweka before sukari?

    • @rehemaali2687
      @rehemaali2687 9 месяцев назад +4

      cardamom

    • @makejaffar8119
      @makejaffar8119 Месяц назад +2

      Iliki
      Alafu hataki kusema
      They will not tell u everything this social media cooks

  • @يلا_نطبخ
    @يلا_نطبخ 2 года назад +2

    Beautiful very beautiful 🌹🌹

  • @marywambua6445
    @marywambua6445 2 года назад +2

    Av tried bt nayaskia na ka uchungu mwisho

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 Год назад +1

    Mimi daima hupenda vile unavyoongea.
    Nipo kwa ajili ya kusikiliza sauti yako.😂😂😂

  • @zulfasaidi2905
    @zulfasaidi2905 Год назад

    Samahn mpenz mie nafanya mm hvo lkn nikichoma yanapasuka nakunyonya sana mafuta cjui wa nafel my

  • @ZenaHiga
    @ZenaHiga 9 месяцев назад

    Asslam alaikum ' Kuna kitu umeeka kabla ya sukari lkn ujasema n nni?

  • @nefisahawa
    @nefisahawa Год назад

    Nafanya biz ya mahamri,huwa nikikanda usiku,then nipike asubui huwa ina harufu ya kuchacha.ntafanyaje sister

  • @Abdul-mu9hx
    @Abdul-mu9hx 4 месяца назад

    Can you please write the things you put in

  • @cjjjj7163
    @cjjjj7163 6 месяцев назад

    PLEASE CAN YOU GIVE THE INGREDIENT LIST IN ENLISH - THX

  • @FloraMeshack
    @FloraMeshack 9 месяцев назад

    Mbona powder hujaweka

  • @priyankadilukshi6340
    @priyankadilukshi6340 2 года назад

    👌👌🇱🇰

  • @AuntDotcom-sk5lo
    @AuntDotcom-sk5lo Год назад

    Looks yummy

  • @lucyciku7413
    @lucyciku7413 2 года назад

    Good job mama. Btw, do you have a recipe for Uji wa Ngano?

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 года назад +1

      Not yet love but nitafanya soon wacha nitafute nazi

  • @UmmyMuhammedi
    @UmmyMuhammedi Месяц назад

    Mazur lkn mm nikipika yanatoboka na yananyonya mafuta nipo oman nisaidie natia hamira sukar maziwa ya unga na maji mafuta naeka baada ya unga ukishakaza sasa nakosea wapi nisaidie nagombana na maboss zangu 😢

    • @EpifaniaProsper
      @EpifaniaProsper Месяц назад

      usiweke mafuta mengi na usipike na moto mwingi sana

  • @CyrilXp
    @CyrilXp Год назад

    hapo kwa papuri tu...🤣🤣

  • @mohammedramadhan3777
    @mohammedramadhan3777 2 года назад +3

    Baking powder is lazima

  • @zeinabmohamed3282
    @zeinabmohamed3282 2 года назад +1

    S. Aleikum
    Naweza kanha na maziwa?

  • @umsalem1081
    @umsalem1081 Год назад

    💖💛

  • @ritahonyango
    @ritahonyango 6 месяцев назад

    Unatumiya unga wa Mandazi au wachapati mana Kuna mix ya Chapo

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  6 месяцев назад

      unga wakawaida tu all purpose flour

  • @VeronikaJoseph-e7l
    @VeronikaJoseph-e7l Год назад

  • @JacintaOkoth-zz2nw
    @JacintaOkoth-zz2nw 7 месяцев назад

    Hi

  • @badawyhaji9288
    @badawyhaji9288 2 года назад

    😋😋😋😋😋😋

  • @HayatKarimbaksh
    @HayatKarimbaksh 4 месяца назад

    Huweki baking powder

  • @janemuthoni-ey8kq
    @janemuthoni-ey8kq 11 месяцев назад

    What is the difference between mahamri na mandazis ?

  • @EliasyNgitoriacheupe
    @EliasyNgitoriacheupe 4 месяца назад

    umeweka nini kbla ya sukar

  • @kushayadih3530
    @kushayadih3530 5 месяцев назад

    Hiyo kitu umeeka baada ya unga kabla ya sukari ni nini

  • @nihanAmina-t4o
    @nihanAmina-t4o 10 месяцев назад

    Nauliza mafuta pia yawe moto

  • @brendahkweyu5556
    @brendahkweyu5556 Год назад

    Samli ni ya kupasha moto au ya madonge

  • @beatricemasila
    @beatricemasila Год назад

    Na pia Kwa maana ni ya biashara nikitumia unga ule 2kgs...vipimo vitakuaaje coz Niko Nairobi Kwa baridi?...reply pliz

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  Год назад +1

      Utafanya mahesabu kwa kutumia hio recipe

    • @beatricemasila
      @beatricemasila Год назад +1

      @@HadijaSheban thanks you bby gal...Ramadhan Kareem na saum maqbul 🙏🙏Allah akulinde na macho ya husda

  • @yyoossyy519
    @yyoossyy519 3 месяца назад

    هاذا. مندازي

  • @zarinadhukai8996
    @zarinadhukai8996 Год назад

    👌🏼👌🏼👌🏼

  • @bvffgggddfg6476
    @bvffgggddfg6476 Год назад

    Na kama hamira huamini waeza tumia paking powder pia dada

  • @mineaahmed8847
    @mineaahmed8847 7 месяцев назад

    Mbona utaji vitu unavyotia

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  5 месяцев назад

      nimeviandika ukiangalia video poa

  • @SleepyArchaeology-ye1xz
    @SleepyArchaeology-ye1xz 4 месяца назад

    Avoid the Hana from the foods

  • @noushaddammam8805
    @noushaddammam8805 9 месяцев назад

    tatizo lako unaongea haraka haraka

    • @shakila3914
      @shakila3914 9 месяцев назад

      😅😅😅😅😅 jmn ww😊

  • @JohnKK-ut9sf
    @JohnKK-ut9sf Год назад

    hamira na iliki ndo nini?

  • @NATOnlinetv
    @NATOnlinetv 6 месяцев назад

    Too many mis information ulivyo kata tu umechoma au umeacha iimuke tena..?

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  6 месяцев назад +1

      skiza video vizuri umeona nimesema ziumuke surely??stope being rude

  • @shuviancereen8169
    @shuviancereen8169 Год назад

    How do I add my yeast if its okay?

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  Год назад

      you add the time you pu all
      the imgridients

  • @maryayusuf4288
    @maryayusuf4288 2 года назад

    Ulichotia mwanzo ni iliki ama...

  • @yyoossyy519
    @yyoossyy519 3 месяца назад

    هههههه

  • @apocalypsematrix9252
    @apocalypsematrix9252 2 года назад

    YUMMY 😋 MUMMY 😍

  • @besthonney3232
    @besthonney3232 2 года назад +1

    Video zako poa sana lakini vyema ukiweka vipimo chini

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 2 года назад

    Mm nauliza kwa nini nikifanya maandazi nikichoma yanafanya uwazi chini au tundu nakosea nini naomba msaada wako

  • @kunguricomedian
    @kunguricomedian 2 года назад +1

    Nimeyapenda haya mahamri jameni