MATUKIO YA NYOTA ZETU KUANZIA 23.03.2024 MPAK 20.04.2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 36

  • @mustafasuleiman3538
    @mustafasuleiman3538 9 месяцев назад +4

    Maalim hongera Sana , na Allah akupe umri mrefu wenye afya njema.

    • @MAALIMish
      @MAALIMish  9 месяцев назад +1

      Aamiyn yaa Rabb.
      Na kwenu wote.

    • @vanebichanga9466
      @vanebichanga9466 8 месяцев назад

      ​@@MAALIMishHongera sana uliyoyasema kweli kabisa😊.Nangojea Matokeo mengine Natumai😊 huu salama Mungu ni mwema🙏

  • @vanebichanga9466
    @vanebichanga9466 9 месяцев назад +2

    AMEN tunashukuru mungu kwa yote na atujalie na afy nzuri na tuzidi kumuomba santee sana Maalim Abalhasan kwa mafunzo na pole kwa kazi za huku na kule Barikiwa sana i have ideas how to overcome challenges during this period of time 🎉❤Be blessed and i wish you All the best during this Ramadan 🙏

    • @MAALIMish
      @MAALIMish  9 месяцев назад +1

      I received.
      Allaah blessing you All.
      Aamiyn yaa Rabb.

  • @HawaMbawala
    @HawaMbawala 9 месяцев назад +2

    Pole na majukumu ya kazi,samahani naomba kuijua nyota yangu,kijina khadija mwanuru zuberi,kuzaliwa 19 mwezi 11

    • @MAALIMish
      @MAALIMish  9 месяцев назад

      Unahitaji kujua nin zaid dada?

    • @HawaMbawala
      @HawaMbawala 9 месяцев назад

      @@MAALIMish nyota yangu ya jina na ya tarehe

    • @vanebichanga9466
      @vanebichanga9466 9 месяцев назад

      ​@@HawaMbawalaWewe ni nyota ya NG'E.24 October to November 21🙏

  • @nathanijotham652
    @nathanijotham652 9 месяцев назад +2

    Shukrani sana japo unachelewa ku upload mkuu vijana wako tunategemea sana video zako

    • @MAALIMish
      @MAALIMish  9 месяцев назад

      Majukum ni mingi ndg.... Poleni sana

  • @mariammchawa8265
    @mariammchawa8265 9 месяцев назад +2

    Allah akupe Afya njema utabiri wako huwa nauelewaga sana

    • @MAALIMish
      @MAALIMish  9 месяцев назад +1

      Mashaallaah

    • @abdulhalimomar5329
      @abdulhalimomar5329 9 месяцев назад

      ​@@MAALIMishmwalimu kma mmi ni nyota ya ngee utanishauri nni

  • @ketinaishimwe
    @ketinaishimwe 9 месяцев назад +2

    Hasante sana mwalim wangu

  • @mariammchawa8265
    @mariammchawa8265 8 месяцев назад

    Mmmmh Samaki ulijuae

  • @Happy-yk3lv
    @Happy-yk3lv 8 месяцев назад

    Mimi naitwa happy walisema nyota uangu ya ng'e hila matukio yanayo nitokea ya cancer

  • @halimahamis-yi8kh
    @halimahamis-yi8kh 9 месяцев назад +1

    shukran

  • @Asma-m1j
    @Asma-m1j 9 месяцев назад

    Asalamu Alykumu Ustazi , mimi nyotayangu ni ipi sijuwi mwezi wakuzaliwa wala tarehe, ila naitwa mwajuma nimezaliwa sikuya Ijumaa najua hayo tu

  • @IsackCharles-wi7zh
    @IsackCharles-wi7zh 9 месяцев назад +2

    Kweli yananitokea huku mkuu

  • @Happy-yk3lv
    @Happy-yk3lv 9 месяцев назад

    Mimi naitwa happy najua mwaka nilozaliwa tu sjui mwez wala tarehe

    • @MAALIMish
      @MAALIMish  9 месяцев назад

      +255 713351781.

  • @mariammchawa8265
    @mariammchawa8265 9 месяцев назад +1

    Mmmmh Samaki mtihani sana

  • @zephastationery5646
    @zephastationery5646 9 месяцев назад

    Maalimu hao wanatakao kuwa wanawaswa wanatakiwa wafanye nini

  • @AishaSaoud-m4i
    @AishaSaoud-m4i 9 месяцев назад

    Maalim sijaskia nyota ya punda😮

  • @deejay__best
    @deejay__best 9 месяцев назад +1

    Maalim Nyota Yangu Si Ijui Wala Sijui Nimezaliwa Tarehe Ngap Mwez Wala Mwaka Nitajuaje Nyota Yangu? Naitwa Charles Lukindo

  • @BolasieNgongo-rh9wm
    @BolasieNgongo-rh9wm 9 месяцев назад +1

    Asate Kaka UBarikiwe sasa nawatoto nyota inawausu ??

    • @MAALIMish
      @MAALIMish  9 месяцев назад

      Ndio... Lakin kwa wakubwa ni zaud kufuatilia mipango yenu ya kimaisha

    • @MAALIMish
      @MAALIMish  9 месяцев назад

      Inaahusu

  • @ndayikezaaminata424
    @ndayikezaaminata424 9 месяцев назад

    Mbona hamuwazagi kati mwezi wa kwanza na wa pili?kila siku unanzia mwezi wa tatu why

  • @redtk2971
    @redtk2971 9 месяцев назад

    WEWE sio mtabiri kabisa na hujui utabiri wapi ukaona mchaga anatabiri ila endelea kitafuta views 😂😂😂