MATUKIO YA NYOTA ZETU KUANZIA 23.04.2024 MPAK 21.05.2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 40

  • @BolasieNgongo-rh9wm
    @BolasieNgongo-rh9wm 8 месяцев назад

    Baba Mungu akulinde usiku na muchana UBarikiwe asate tulisubiri sana

  • @AishaRamadhaniRamadhani-lr9cz
    @AishaRamadhaniRamadhani-lr9cz 8 месяцев назад +1

    Maalimu namba samahn nakupataje

    • @MAALIMish
      @MAALIMish  7 месяцев назад

      +255 713 351781.
      Na whatsapp pia.

  • @Vanessa-md2hj
    @Vanessa-md2hj 8 месяцев назад +2

    Asante sana Maalim Abalhasan nashukuru mungu kwa kutujalia kwa kibali cha uzima hadi somo la leo nashukuru barikiwa sana hapo kwa Ndoto kweli kabisa i will follow up ♑😊 Be Blessed na let's keep praying 🙏🤲🤲❤

    • @MAALIMish
      @MAALIMish  8 месяцев назад +2

      Thank you for your taking care... Keep in touch with me.

  • @nathanijotham652
    @nathanijotham652 8 месяцев назад +2

    Nimeisubiri sana aisee

  • @ketinaishimwe
    @ketinaishimwe 8 месяцев назад +1

    ❤❤🎉🎉🎉 Hasante mwalimu

  • @رقيهالغافري-غ1ذ
    @رقيهالغافري-غ1ذ 8 месяцев назад +1

    Nashukuru mungu mweziulipita nilikuwa nahof nyota yangu yasamak nimevuka

  • @sharifaabdalla7479
    @sharifaabdalla7479 8 месяцев назад +1

    Nasoro like ktk nyota gani

  • @IsackCharles-wi7zh
    @IsackCharles-wi7zh 8 месяцев назад +1

    Ni kwel kbx mkuu

  • @naima4230
    @naima4230 8 месяцев назад +1

    Asante baba mungu akutunze

  • @minustz
    @minustz 8 месяцев назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Hatimaye maana nimesubir mpaka

  • @nathanijotham652
    @nathanijotham652 8 месяцев назад +3

    Round hii itabidi Sisi wa kondoo tushinde ndani maana mwezi wa 10 mwaka Jana ulisema hayo hayo nikaenda Jela😢

    • @Happy-yk3lv
      @Happy-yk3lv 8 месяцев назад

      😂😂😂😂

    • @MAALIMish
      @MAALIMish  8 месяцев назад

      Pole sana ndg yangu.
      Muwe mnailiza kuoata utatuzi pia. Dunia hii ina mambo mingi.

    • @AbdullaahiCbdrxmn
      @AbdullaahiCbdrxmn 7 месяцев назад +1

      Kutoka kwa Hafswa bint Omari bin Khattwabi- Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- Kutoka kwa Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake- Amesema: "Atakayemuendea mpiga ramli akamuuliza kuhusu lolote, akamsadikisha, haitokubaliwa kwake swala yoyote siku arobaini".
      Sahihi - Imepokelewa na Imamu Muslim

  • @IreneMaganga-l8e
    @IreneMaganga-l8e 8 месяцев назад +1

    Mungu akubariki sana

  • @happydaniel1779
    @happydaniel1779 8 месяцев назад +1

    First to like❤❤❤🎉

    • @MAALIMish
      @MAALIMish  8 месяцев назад

      Thank you for your taking care

    • @رقيهالغافري-غ1ذ
      @رقيهالغافري-غ1ذ 8 месяцев назад

      @@MAALIMish shehe nakuliza swali ukimuona mdudu wafunja jungu inamana gan

  • @Switielie
    @Switielie 8 месяцев назад

    Asanteee

  • @redtk2971
    @redtk2971 8 месяцев назад

    Mimi mwenye nyota ya mapacha nikitaka kukopa nawekea kinyongo wao wakija niwape tu, we mpare unachekesha sana.😂😂 Kama unajifanyq mwema kwenye dunia hii bas usimlaumu mungu kwa nini unabakia masikini

  • @ElishaThomas-h2y
    @ElishaThomas-h2y 8 месяцев назад

    Saa ambap atun kaka je

  • @rechomtani3033
    @rechomtani3033 6 месяцев назад

    Mbona hatuoni nyota ya mwezi wa saba

  • @AbdullaahiCbdrxmn
    @AbdullaahiCbdrxmn 7 месяцев назад

    Jiupusheni na mambo saba yanayoangamiza, wakasema maswahaba: Ni yapi, ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu? Akasema Mtume ﷺ: Kumshirikisha Mwenyezi Mungu, na uchawi, na kuuwa nafsi aliyoharamishwa na Mwenyezi Mungu ila kwa haki, na kula Ribaa, na kula mali ya yatima, na kukimbia vitani,(katika jihadi) na kuwasingizia kuwa wamezini wanawake waliojihifadhi walioghafilika tena waumini]. [Imepokewa na Bukhari na Muslim]

  • @ZilipendwaTanzania
    @ZilipendwaTanzania 8 месяцев назад

    Utabiri wako ni kweli 100%

  • @FaidaMinogape-oi2rj
    @FaidaMinogape-oi2rj 8 месяцев назад +1

    Je,mwenye nyota kuanzia mach 20_aprly 21,sisi ni nyota gan?maana hujataja wala kuelezea.au hatuna nyota sisi?

    • @MAALIMish
      @MAALIMish  8 месяцев назад

      Nmeshaitaja ndugu.

    • @Naw89
      @Naw89 8 месяцев назад

      Yako ni kondoo

  • @AbdullaahiCbdrxmn
    @AbdullaahiCbdrxmn 7 месяцев назад

    Asema Aisha:Watu walimuuliza Mtume ﷺ kuhusu uganga akasema: [Hao si chochote. Wakasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu hakika hao wanazungumzia mambo mara nyingine kisha yanatokea kweli. Akasema Mtume ﷺ:
    [تِلْكَ الْكَلِمَةُ الْحَقُّ يَخْطَفُهَا الْجِنِّيُّ ، فَيَقْذِفُهَا فِي أُذُنِ وَلِيِّهِ ، وَيَزِيدُ فِيهَا مِائَةَ كَذْبَةٍ] رواه مسلم
    [Hilo ni neno la haki analolichukua jinni kisha akalitia katika sikio la rafiki yake naye kwa upande wake akachanganya neno hilo na maneno mia ya uongo]. [Imepokewa na Muslim]

  • @duojoseph5065
    @duojoseph5065 8 месяцев назад

    Wenye Nyota zaidi ya Moja tuna Fanyeje Maalim??

  • @BolasieNgongo-rh9wm
    @BolasieNgongo-rh9wm 8 месяцев назад +1

    Baba Mungu akulinde usiku na muchana UBarikiwe asate tulisubiri sana