Jifunze Gitaa La Bezi - Somo la Pili | Bass Guitar Tutorial - Lesson 2 part 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 сен 2024
  • Video hii ni moja kati ya video mfululizo ambazo zimelenga kutoa mafunzo ya upigaji wa gitaa la bezi. Masomo yanalenga hasa wanao anza kujifunza, na wapigaji wenye utaalam wa kati. Hasa kwa kuangazia muziki wa kiafrika hasa Tanzania na Afrika mashariki na kati. Ingawa kuna mambo mengi ya msingi ambayo yanaweza kuwafaidisha pia hata wapigaji wakongwe na wazoefu. Kwa sababu, wengi wetu tumejifunza kupiga bezi kwa mazoea na bila kupata kanuni na miongozo thabiti.
    This video is one among a series of Bass tutorial lessons that are aimed to provide beginner and intermediate bass players. The theme is focused more on how to play bass for African music, especially Tanzanian, East, and Central Africa. Though I encourage even seasoned players to take time and watch the videos, you will be surprised to find a thing or two that will improve or benefit your music playing.

Комментарии • 3