Wimbo mzuri huo lakini hawa Vijana wa kike kuna sehemu ya nguo zao imeonyesha sehemy ya juu ya matiti, yaani "cleavage". Sio vizuri maana kuna watu wanasumbuliwa na hizo ambao wanaendelea kujifunza kwa yesu. Barikiweni .
@@monyanchadaglas7884 Mathayo 18:6 “bali atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, yamfaa afungiwe shingoni jiwe kubwa la kusagia, na kutoswa katika kilindi cha bahari” Unapaswa uwe makini sana na Watu waliomwamini Bwana Yesu, hususani wale ambao ni wachanga kiroho, watu waliotubu dhambi zao na kumwelekea Bwana, kwa mioyo yao yote, halafu wewe unakwenda kuwaondoa katika mstari wa wokovu kwa namna moja au nyingine, ukifanya hivyo ujue hukumu yako ni kubwa sana.
Waoooh Kaz nzuri Mungu awatangulie mfike mbaliii wapendwaa nawakumbukaaa
Wimbo mzuri, ujumbe mzuri, video nzuri. MBARIKIWE NA BWANA
Amen 🙏🙏
🙏🏾
Waoh ❤ongeren sana kwa jitihada hiyo na Mungu awabarki.
Amina ubarikiwe pia
Tunazidi Kupata jumbe Zenu watumishi wa bwana mbarikiwe sana mnapozidi kuitazama video hii na mungu atakuwa pamoja nanyi
Chorus ya moto,barikiweni
Waoo ,kazi nzuri sana MUNGU awainue Kwa viwango vya juu zaidi 🙏❤️
Barikiwa mtumishi
Mmeimba vizuri sana! Nawasihi mkumbuke kumwandika Mungu wetu kwa stahili yake. Mungu asiandikwe "mungu"...hiki ni kitu kingine kabisa.
Amina
Mungu Awabariki sana kwa wimbo mzuri sana
Amina mungu akubariki pia
Naipataje hiyo mie jamaniiii
Amina na mwende mbali zaid
Amina ubarikiwe
Such wonderful song. May God continue blessing you 🙏
Amen
Wimbo mzuri
Nimewamis sana asee
Editha umependeza eeeh na wengine wote
Amina
amina sana mmetisha wana wa Mungu
Amina sana
Barikiweni Sanaa watu wangu wa nguvu
Amina mtumishi wa mungo barikiwa sana
Amina
Nipende kuwashikuru wote mnaozidi kulike ,kucoment na kusubcribe video hii mungu awabariki sana
Amen
Amen
Ubarikiwe
Aminaaaaaa
Barikiwa
Saf sana ndgu zangu
Amina mtumishi
Amina barikiwa
i love the song very much , the tune is good ,but consider the dresses to ladies , it has some exposure to their nakedness
mmependeza lakini hiyo sare ya akina dada mbona vifua wazi sana rekebisha hiyo wajori
Ushauri wako tumeupata mungu akubariki
Wow,amen,is it the same church in Tanzania?where Mohammed was few months ago?
Please nilikua nataka details za church,
Wimbo mzuri huo lakini hawa Vijana wa kike kuna sehemu ya nguo zao imeonyesha sehemy ya juu ya matiti, yaani "cleavage". Sio vizuri maana kuna watu wanasumbuliwa na hizo ambao wanaendelea kujifunza kwa yesu. Barikiweni .
Kweli binadamu ni yule yule, nguo zao siko sawa maybe uko na shida yako
@@monyanchadaglas7884 Kwahiyo ni sawa kuonyesha cleavage?
@@monyanchadaglas7884 Mathayo 18:6 “bali atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, yamfaa afungiwe shingoni jiwe kubwa la kusagia, na kutoswa katika kilindi cha bahari”
Unapaswa uwe makini sana na Watu waliomwamini Bwana Yesu, hususani wale ambao ni wachanga kiroho, watu waliotubu dhambi zao na kumwelekea Bwana, kwa mioyo yao yote, halafu wewe unakwenda kuwaondoa katika mstari wa wokovu kwa namna moja au nyingine, ukifanya hivyo ujue hukumu yako ni kubwa sana.
Sante kwa ushauli mpendwa . Endelea kubarikiwa
@@busweluyouthchoir6127 Amina, barikiweni pia
Ila mbona hatuharikan wandugu
Karibu ndugu
Mambo