- Видео 20
- Просмотров 21 347
BUSWELU ADVENTIST YOUTH CHOIR
Добавлен 13 сен 2022
JIHUSISHE
Kifo cha Yesu: Lirycs by Buswelu Adventist Youth Choir, Mwanza.
##Buswelu Youth Choir.... Endelea kubarikiwa nasi kwa njia ya Nyimbo. Wimbo huu Utakusogeza karibu zaidi na Masalaba ambao kimsingi ndio uliobeba Siri ya Ukombozi wako na wangu.
Barikiwa.
Barikiwa.
Просмотров: 338
Видео
HUKUMU INAKUJA_Lyrics_ BUSWELU ADVENTIST YOUTH CHOIR
Просмотров 86Месяц назад
HUKUMU INAKUJA_Lyrics_ BUSWELU ADVENTIST YOUTH CHOIR
HAKUNA AWEZAYE BY BUSWELU ADVENTIST YOUTH CHOIR_LIVE_PERFOMANCE
Просмотров 178Месяц назад
HAKUNA AWEZAYE
Buwelu youth & Bariadi youth choir _ live perfomance_ buswelu camp meeting 2024
Просмотров 1332 месяца назад
NITEMBEE NAWE BWANA & HATUJUI SAA YAKUJA KWA BWANA
BUSWELU YOUTH CHOIR LIVE PERFOMANCE MAKAMBI BAADA YA MAPIGO ALIYO PIGWA FARAO
Просмотров 1393 месяца назад
BAADA YA MAPIGO ALIYOPIGWA FARAO
TAZAMA WIMBO HUU TOKA KWAO VIJANA BUSWELU
Просмотров 682Год назад
TAZAMA WIMBO HUU TOKA KWAO VIJANA BUSWELU
NIMEMPATA RAFIKI BY BUSWELU YOUTH CHOIR
Просмотров 18 тыс.2 года назад
NIMEMPATA RAFIKI BY BUSWELU YOUTH CHOIR
Aminaa Sanaaa, Mungu anatukuzwa
🙏🙏
Editha umependeza eeeh na wengine wote
Barikiweni sana.
Barikiwa sana na Ibada ya leo
Chorus ya moto,barikiweni
Safi
Amen wapendwa🎉
Kazi nzuri Mungu akuze vipaji vyenu❤
Balikiweni wat wa MUNGU nimewapenda bureeeee
❤
Amina
❤
Amen 🙏🙏🙏
🎉
Barikiwa sana
Wimbo mzuri
Nimewamis sana asee
🥰🙏
Amen 🙏🙏🙏
Mbarikiwe sana
Wimbo mzuri, ujumbe mzuri, video nzuri. MBARIKIWE NA BWANA
Naipataje hiyo mie jamaniiii
Waoooh Kaz nzuri Mungu awatangulie mfike mbaliii wapendwaa nawakumbukaaa
Aminaaaaaa
Barikiwa
Amina na mwende mbali zaid
Amina ubarikiwe
Wimbo mzuri huo lakini hawa Vijana wa kike kuna sehemu ya nguo zao imeonyesha sehemy ya juu ya matiti, yaani "cleavage". Sio vizuri maana kuna watu wanasumbuliwa na hizo ambao wanaendelea kujifunza kwa yesu. Barikiweni .
Kweli binadamu ni yule yule, nguo zao siko sawa maybe uko na shida yako
@@monyanchadaglas7884 Kwahiyo ni sawa kuonyesha cleavage?
@@monyanchadaglas7884 Mathayo 18:6 “bali atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, yamfaa afungiwe shingoni jiwe kubwa la kusagia, na kutoswa katika kilindi cha bahari” Unapaswa uwe makini sana na Watu waliomwamini Bwana Yesu, hususani wale ambao ni wachanga kiroho, watu waliotubu dhambi zao na kumwelekea Bwana, kwa mioyo yao yote, halafu wewe unakwenda kuwaondoa katika mstari wa wokovu kwa namna moja au nyingine, ukifanya hivyo ujue hukumu yako ni kubwa sana.
Sante kwa ushauli mpendwa . Endelea kubarikiwa
@@busweluyouthchoir6127 Amina, barikiweni pia
Amen
Ubarikiwe
Wow,amen,is it the same church in Tanzania?where Mohammed was few months ago? Please nilikua nataka details za church,
mmependeza lakini hiyo sare ya akina dada mbona vifua wazi sana rekebisha hiyo wajori
Ushauri wako tumeupata mungu akubariki
Ila mbona hatuharikan wandugu
Karibu ndugu
Mambo
Waoh ❤ongeren sana kwa jitihada hiyo na Mungu awabarki.
Amina ubarikiwe pia
Mungu Awabariki sana kwa wimbo mzuri sana
Amina mungu akubariki pia
i love the song very much , the tune is good ,but consider the dresses to ladies , it has some exposure to their nakedness
Amen 🙏🙏
🙏🏾
Mmeimba vizuri sana! Nawasihi mkumbuke kumwandika Mungu wetu kwa stahili yake. Mungu asiandikwe "mungu"...hiki ni kitu kingine kabisa.
Amina
Such wonderful song. May God continue blessing you 🙏
Amen
Nipende kuwashikuru wote mnaozidi kulike ,kucoment na kusubcribe video hii mungu awabariki sana
Amen
Tunazidi Kupata jumbe Zenu watumishi wa bwana mbarikiwe sana mnapozidi kuitazama video hii na mungu atakuwa pamoja nanyi
Saf sana ndgu zangu
Amina mtumishi
Amina barikiwa
amina sana mmetisha wana wa Mungu
Amina sana
Barikiweni Sanaa watu wangu wa nguvu
Amina mtumishi wa mungo barikiwa sana
Amina
Waoo ,kazi nzuri sana MUNGU awainue Kwa viwango vya juu zaidi 🙏❤️
Barikiwa mtumishi