Tazama Kwa Mazingatio: Maswali Na Majibu by Sheikh Said Bafanaa na Sheikh Saad Ahmed. Maswali yaliotoka katika Mhadhara wa Wanawake katika Masjid Jumaa, Mwanza - Tanzania
Aslm alykm shekhe Mimi nauliza suala ukipitiwa kufunga ramazani kwa sababu binafsi hapa nilipo nipo nafanya kazi nje ya nchi nanalazimika kuzitekeleza kazi kwa mujibu je hii ramazani niliyokuwa sikulipa itaswihi kulipa penginepo muda mwengine
Huyu Shekh anapenda kutoa fatwa. Anaona fatwa ni rahisi. Maswahaba waliogopa. Sasa jifananishe nao. Unaleta fitna kubwa na kutenganisha umma. Muovu sana wewe
Shukran sheikh wetu kwa majibu mazuri zaid... tunajifunza mengi tusiyoyajua kupitia uwepo wenu
Shukurani kwa majibu jazzakallah khair
Tunaomba sana mtuwekee mawaidha ya sheikh said bafana ! Tunaomba sana ! Mawaidha yake ni chache sana !!
Mashaallah
Ma Sha Allah Shukran Sheihk Allah Akuzidishie Umry
Abdallah Mahmood Shukran Masheikh, Nimefaidika Saana.
Tazama Kwa Mazingatio: Maswali Na Majibu by Sheikh Said Bafanaa na Sheikh Saad Ahmed. Maswali yaliotoka katika Mhadhara wa Wanawake katika Masjid Jumaa, Mwanza - Tanzania
Mahaasinul Islam Mashallah Allah awalipe kheri na afya muweze kutufunza zaidi. Jazakallah
@@saada1234 r ty ⁹hjhcc gyyx nü0uhu6 0r80qq0yq9
Mahaasin Tv Official Channel
Huyu Shekh fitna nyingi msimueke mitandaoni atapoteza watu.
Mashaa ALLAAH
mashaAllah jazahAllah kheri inshaallah
Masha Allah shukran
SHUKRAN SHEIH
True! Mtume muhammad alikua ni mtume wa waislam wote. Hakuna haja ya kutofautiana ni hoja zisizokua na mashiko kuhusu kufunga na kufungua!
Masha'Allah...
Sheikh Saad and sSaeedkeep the good job up
Aslm alykm shekhe Mimi nauliza suala ukipitiwa kufunga ramazani kwa sababu binafsi hapa nilipo nipo nafanya kazi nje ya nchi nanalazimika kuzitekeleza kazi kwa mujibu je hii ramazani niliyokuwa sikulipa itaswihi kulipa penginepo muda mwengine
Huyu Shekh anapenda kutoa fatwa. Anaona fatwa ni rahisi. Maswahaba waliogopa. Sasa jifananishe nao. Unaleta fitna kubwa na kutenganisha umma. Muovu sana wewe
kwa hyo ukinyoa sharubu wafuata mayahudi
@Sharokh Khan, kaka hujamfahamu sheikh
Ukiwacha soukinyoa
Ndioo
hello
mnapotosha watu
Achana na usufi
Wew waongoee
Kilicho potoshwa ni nini...?
Karekebishe wewe palipopotoshwa.
#SoShoTV #SoShoFitness