SUBRA NI UFUNGUO WA KILA KHERI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • SH:ABU~ABDILKAFY

Комментарии •

  • @DelightfulChefHat-ov3pr
    @DelightfulChefHat-ov3pr 3 месяца назад +1

    Mashallah 💕 nakupenda kwa ajili ya Allah.mumgu akupe umri uzidi kutuelimisha nasi inshaallah tufuate muongozo wa dini kupitia maneno yako yaliotokwa kwa Allah.

  • @AsmaaMohamed-q2o
    @AsmaaMohamed-q2o Год назад

    Maashaaallah allah darsa zur san allah azid kukuhifadh na kila shar na kila wenye shar akuwek mbal na mahaasid akujaalie uwe miongon mwa weny kuingia jannah bila hesaab amiin yaa rabby

  • @RamadhanMakokha-r7m
    @RamadhanMakokha-r7m Месяц назад

    Nikushukuru vipi Sheikh Mohammed kusema naendelea kujifunza mengi Na mafundisho yako Wacha Mola azidi kukutia nguvu Na akupe siha njema iliukaweze kuzidi kutuelimisha, shukran za dhati sana Na Mola akubari

  • @AffectionateFallingLeave-fe4sx

    Allah akuzidishie kheri na atupe mwisho mwema

  • @khadijahassan2946
    @khadijahassan2946 2 года назад +3

    Shukran sheikh wetu Allah akupe maish marefu nimefiwa na mzazi wng mama yng wiki iliyopit lkn baada ya kuckia haya mawaidha yko nimezid kuw na imani na kushkr alhmdulillah Allah azidi kutupa subra 🙏🙏🙏

  • @ummuwawili
    @ummuwawili Год назад +1

    Alhamndulillah wasalatu wassalamu ghalaa sayyidinaa Muhammad walaa alihi wasahbihii al iqram........Yaa Rabbi mwenyeezi Mungu mtukufu nakuomba uniongoze na umisamehe madhambi yangu, msamehe sheikh huyu Makosa yake aliyoyafanya kwa siri na dhahiri yaa Rabbi, Umjaalie afya njema yeye na familia yake yote kuanzia Mama yake mpk kizazi chote, mpe wepesi katik rizki zake asipate ila cha Halali, mfanyie wepesi yote yaliyo mazito kwako yaa Arrahmani rahimiin, wajaalie watoto wake ufahamu chuoni na skuli, Umrehemu Marehemu Baba yake na umtanulie kabri lake yaa Latwifu, umuweke Baba yake pmj na kipenzi chetu Muhammad (s.a.w) pmj na watu wema.....cku ya kiyama umpe kitabu chake kwa mkono wa kulia na mwisho uwajaalie familia yake kauli ya mwisho iwe Laailahailallah Muhammadarrasulu Allah makazi yetu yakawe peponi .....utuongoze tupate kuwaidhika kiukweli kila ninaposikiliza mawaidha au visa vyako Allah hunijaalia kufahamu na kuyafanyia kazi kwa kiasi kikubwa na moyo wangu hupata utulivu na huruma kwa wengne Alhamndulillah وجزك الله خير ي اخي محمد

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 3 года назад +4

    JazzakaAllahu khayra sheikh ALLAH Akuzindishie Elimu #mohammadbahero

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 3 года назад +1

    Asalaam alleykum warahmatulah wabarakaatuh maasha ALLAH tabaraka ALLAH sheikh wetu #mohammedbahero MWENYEZI MUNGU akulinde na kila fitna azidi kukupa nguvu,ujasiri akupe umri na akujaalie Jannatul Firdaus wewe na Umma mzima

  • @inabikorwaneema1644
    @inabikorwaneema1644 3 года назад +3

    Jazzaka Allahu kheir.

  • @zuenazuena5690
    @zuenazuena5690 Год назад +1

    Ma sha Allah

  • @mwanaaminahusseinsuleiman6980
    @mwanaaminahusseinsuleiman6980 Год назад

    Baraka llahu feek ❤❤

  • @halimabaraka1252
    @halimabaraka1252 3 года назад +2

    Mashallah

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 3 года назад +3

    Mashaallah shukran

  • @burhan1000
    @burhan1000 3 года назад +4

    جزاك اللهُ‎

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 3 года назад +1

    Shukraan na sifa zote zimuendee Muumba mbingu,ardhi na vote vilivomo ndani yake ALLAH SUBHANA WA TA'ALA

  • @zaituniabdallah-ew8xk
    @zaituniabdallah-ew8xk Год назад

    Mashaallah

  • @marywangui1029
    @marywangui1029 Год назад

    Alhamdulillah ala kuli khal

  • @hawamcnqali5697
    @hawamcnqali5697 2 года назад

    Jazakaallahu kher sheikh wetu may almighty God bless you ❤️❤️👌👌

  • @nassorkhami4221
    @nassorkhami4221 3 года назад +1

    خزك الله خير

  • @machanohajji7209
    @machanohajji7209 Год назад

    Inshallah

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 3 года назад

    Rehma na Amani za MWENYEZI MUNGU zimshukie Mtume wetu kipenzi Mohammad Swalallahu Alleyhi Wasallam

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 3 года назад +1

    Shukran

  • @nassorkhami4221
    @nassorkhami4221 3 года назад +1

    Ila sheik tunauombo ule mhadhara ulioufanya Zanzibar masjid swahaba

  • @zahariawaziri6794
    @zahariawaziri6794 2 года назад +1

    Da nataman ncomment