MALAIKA ALINIPELEKA AKANIONESHA JINSI YESU ATAKAVYOKUJA NA KUHUKUMU KABLA YA JEHANAMU ITAKUWA HIVI..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 25

  • @lydianyangau8142
    @lydianyangau8142 3 дня назад +4

    Asanta Sana davis star hakika nimeona mungu wa bwana kupitia mtumishi Gasto Leo asubuhi mtumishi aliniombea juu ya mambo mengi ninayo pitia Kwa family yangu lorry yangu tangu October adi waleo imekula pesa saidi ya million moja ya Kenya lakini Leo hili nilifikia wacha nitafute mtumishi gGasto haliondolea vizirani nashukuru mungu Kwa kupitia Gasto lorry hiko sawa ❤ Amani mtumishi wa mungu

  • @warideadnanadnan9447
    @warideadnanadnan9447 2 дня назад +2

    Kazi kudang'anyana tu

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 3 дня назад

    Amen.safi mr dm kazi safi

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 3 дня назад +1

    Safi sana mtumishi na tupo pamoja na davistar

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai 3 дня назад

    Amina, barikiwa davistar matta,na mtumishi.Mungu wetu hakika yu hai.❤

  • @vitabuvyashuhuda-lg2fn
    @vitabuvyashuhuda-lg2fn 3 дня назад

    Hallelujah ❤

  • @donathamwangobe2776
    @donathamwangobe2776 3 дня назад +2

    Mambo ni mengi

  • @alihaji5088
    @alihaji5088 3 дня назад +1

    Mmmh kuonana na yesu

  • @charlesnyanhanga4382
    @charlesnyanhanga4382 3 дня назад +2

    Darvistar una taji kubwa mbinguni unaona kupitia kazi yako ushuhuda wa mchungaji watu wengi wamemujua MUNGU kabadilika sana siku hizi

  • @frankkhamis117
    @frankkhamis117 3 дня назад +2

    Ila watu

  • @azaniamwalulesa4965
    @azaniamwalulesa4965 2 дня назад

    Ulikua kuzimu we ndg. Mungu hana kamwe utatu mtakatifu huyo ni shetani..

  • @edwingideon3606
    @edwingideon3606 3 дня назад +2

    Muulize maraika ni wazungu au Waafrika au Waarabu?

  • @hamadimwinyi2146
    @hamadimwinyi2146 3 дня назад +1

    Pastor Hanan ndio mkeeli wangne hswa wapigaji tu

  • @elpidiusezekiel2729
    @elpidiusezekiel2729 3 дня назад

    Amependeza jamani anawaka

  • @ConfusedBlockGame-nw3lb
    @ConfusedBlockGame-nw3lb 3 дня назад +1

    🫡🫡🫡🫡🫱🏻‍🫲🏽💐💐💐

  • @abdallamichael2675
    @abdallamichael2675 3 дня назад

    mtumishi hbr mm nauliza swali kunajamaa wanajiita wachokonozi ati wanasema akuna mungu wala shetan eti ni story tu zilizotengenezwa

  • @BakariKassim-s7l
    @BakariKassim-s7l 3 дня назад

    Ww ni mbwa mtumishi mnafiki uliona wapi ww

    • @Esthermordecai
      @Esthermordecai 3 дня назад

      Matusi haisadii chochote,acha Mwenyezi Mungu akufungue macho.😢

    • @abdimohamed3953
      @abdimohamed3953 3 дня назад

      Hujui utendalo umekarilishwa na kumezeshwa nakubeba chuki ya udini omba MUNGU Roho hio ikutoke napia jipe muda kutafakari kwakina ruhusu akili na moyo kupata kitu kipya juu ya Mungu

    • @charlesmapunda-g5l
      @charlesmapunda-g5l 2 дня назад

      Sikushangai kwasababu muda wako utafika ila kwa sasa najua ungesikia anaomba Duwa mpaka Jini maimuna au Yasini au Ashurani anakuja kutibu watu au anawapa utajiri kwa idhini ya Allah ungefurahi sana na kusema Takibirii Allah Akbar la Shetani rajim Allahhamdulilai labraamini wabarakatu Inshallah. Huo ndio upuuzi pekee mnao jua wasilam.