Thanks mama for going deep into teaching the 4 temperaments....Napenda sana hili somo nilishawahi alikwa kulifundisha sehemu fulani huko Tanzania...jamani sanguines wenzangu mkono juuuuuuuuuuuuu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅...Much love from Kenya mchungaji Kimaro and mama Kimaro
Shida iko kwenye unapokuwa umepata ndio kawaida utakuja mbele ya wengine kuwaambia kuwashuhudia eti tumetoka kwenye hatukuwa na kitu tulianza kwa shida, tukalala nja tukala kavu!! Duuuh tuacheni wengine tuko kwenye maumivu! Ushuhuda wakwako sio na wa wengine!!
Yes mama mchungaji. Hongera sana. Mimi mwenyewe c. Watu wengi katika Jamii hawawaelewi.
Hongera sana, Mama mchungaji, ubarikiwe pia.
Amina Mungu awabariki sana namtukuza Mungu kwa ajiri yenu ❤❤
Barikiwa mama angu mzuri unahekima mpk Raha ubarikiweee sanaaaa
Thanks mama for going deep into teaching the 4 temperaments....Napenda sana hili somo nilishawahi alikwa kulifundisha sehemu fulani huko Tanzania...jamani sanguines wenzangu mkono juuuuuuuuuuuuu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅...Much love from Kenya mchungaji Kimaro and mama Kimaro
AMEN barikiwa Mama ❤
Wonderful
NO SURRENDER NO RETREAT
Fabulously
AMIN
Ameen Mungu akubariki mama Mchungaji
❤❤❤nawapenda sana katika Bwana
Mungu awatunze❤
Mungu azidi kuwatunza watumishi
Mungu awabariki kwa uvumilivu mkubwa
Ameeeeeeeeeeen ameeeeeeeeeeen👏🏻👏🏻🙏🏻🙏🏻🙌🏻
AMEN 🙏
Amina
Mungu amewafanya kua baraka kwa wengi na azidi kuwatunza kwa ajili ya vizazi vingi mbele
❤❤❤❤
Natamani sana haya masomo muyarudierudie ya koreli,sangwini merankiri au mtoe vitabu
Aisee nimejua sasa Mke wangu ni Colleric jamani maana duuu hizo mipango anazonipaga ni za hatari hatari sanav
Na uko na bahati mama mchungaji
Shida iko kwenye unapokuwa umepata ndio kawaida utakuja mbele ya wengine kuwaambia kuwashuhudia eti tumetoka kwenye hatukuwa na kitu tulianza kwa shida, tukalala nja tukala kavu!! Duuuh tuacheni wengine tuko kwenye maumivu! Ushuhuda wakwako sio na wa wengine!!
ndomana anashuhudia ili muelewe maisha yalivo, shida zako sio na za wengine 😊