Costa Tich alifanyiwa mchezo mchafu? Mama yake atoa ishara kuna jambo nyuma ya pazia

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 май 2023
  • Kupata ujumbe wa mada ya SEHEMU TATU PESA ILIPOJIFICHA kutoka BIZ BONGO ONLINE MAGAZINE lipia Tsh.1000 kwa kubonyeza *150*50*1# kisha NAMBA YA MALIPO 60609237 Jina BIZ BONGO
  • КиноКино

Комментарии • 23

  • @majirabonphace
    @majirabonphace Год назад +20

    Wakwanza kama kawaid yangu naombeni like zangu

  • @orochifaruq9748
    @orochifaruq9748 Год назад

    I do like ur video from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬 thanks Soo much 💕💕💕

  • @tydookoh2146
    @tydookoh2146 Год назад

    Uko vizuri

  • @omeganthale3220
    @omeganthale3220 Год назад +5

    Nyieeeeeeeee nami nimewahi nipeni like zangu

  • @edigakashumba8047
    @edigakashumba8047 Год назад +1

    Brother naomba uaandae makala au stori ya seven days in Entebbe mission ya waislaeri

  • @bonfacemwangi1666
    @bonfacemwangi1666 Год назад

    Kazi nzuri

  • @touristmorgan4090
    @touristmorgan4090 Год назад

    Sasa twende kazi❤

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 Год назад

    Dah! Ii umeisimulia vizuri sana

  • @FahadKhamisi-vu8jk
    @FahadKhamisi-vu8jk Год назад +3

    Kaka nakuomba utupe historia ya washirazi mana mm ni mshirazi kutoka Zanzibar tafazali nakuomba utupe historia

    • @rogerslwitiko3915
      @rogerslwitiko3915 Год назад +3

      Washirazi ni watu wa asili ya Ghuba ya Uajemi(Persian Gulf) waliingia huku Afrika Mashariki Kwa ajili ya Biashara kulingana na hali nzuri ya huko Zanzibar baadhi yao waliloea Ukanda wa Afrika Mashariki wakaamua kuingiliana na watu wa Pwani wakazaliwa Masuriama au Machotara wa Kisharazi nadhani mm nimekueleza Kwa kifupi jamaa atakuelezea Kwa undani zaidi

  • @Baruti_official
    @Baruti_official Год назад

    💥💥

  • @dnx_Gr
    @dnx_Gr Год назад

    🔥🔥

  • @majirabonphace
    @majirabonphace Год назад

    Pia naomba video ya msafala brother

  • @saidishomary1955
    @saidishomary1955 Год назад

    Naomba historia ya captain mussa dadis camar

  • @travelwithme14
    @travelwithme14 Год назад

    ✌️

  • @bonygodwin9938
    @bonygodwin9938 Год назад

    Unyama

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 Год назад

    No 1

  • @carrivecleverboybenett7790
    @carrivecleverboybenett7790 Год назад

    Ebu tupe story ya ku anzishwa kwa mchakato wa hu anzilishi wa uvumbuzi ya satellite

  • @bustabruce480
    @bustabruce480 Год назад +1

    Utupe storry ya yami kadafi rap wamarekani

  • @denicewilliam5034
    @denicewilliam5034 Год назад

    Ijatufafanulia vzri chazo cha kifo chake

  • @verceskaingu1372
    @verceskaingu1372 Год назад

    nko Kenya nairob naona kazi yako

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Год назад

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊.