2021 am happy with blessings of Jesus Christ so gracious enough Nitakusifu milele Bwana mungu wangu hii njimbo inatoka Mimi Niko darasa la 7 lakini nazidi kuipenda siku zote be blessed Makongoro choir
Wimbo huu unanikumbusha mbali wakati.wa.majaribu.yangu wimbo huu ulikuwa faraja nalimuona yesu hakuniacha.marafiki ndg.na.jamaa walikimbia.yesu kwangu alikuwa faraja!!
The good thing about this choir ni ubunifu. Been fan since young (1969) and still love the music of Aic Makongoro and Mwanza town choirs.. Mungu.aendelee kuwapa busara na hekima. You are a blessing to the body of christ.
Yohana 15:13 [13]Hakuna aliye na upendo mwingi kuliko huu, wa mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake. Greater love hath no man than this, that a man lay down his life for his friends.
Nimebarikiwa sana na wimbo huu mzuri ambao uko hapa kama mimi mnamo 2023 ubarikiwe
Mim na Yesu 2021 kama bado unapenda wimbo huu nipe like by Artist john🎸🎻🎻🎻
Bado wimbo upovizuri na unatujenga kiimani zaidi 🙏🙏🙏🙏
Bado naupenda bwana awabariki sana watunzi na waimbaji wote
furaha yangu iko kwa yesu 2024full of God's blessings.
Kama unausikiliza huu wimbo leo gonga like.
Hakuna kitu kizuuri duniani na MBINGUNI Kama kuwa na Yesu
nyimbo tamu sana.. naipenda sana wewe je.... mungu apewe sifa
Poa mimi
Unishindi
Uko aje
2021 am happy with blessings of Jesus Christ so gracious enough
Nitakusifu milele Bwana mungu wangu hii njimbo inatoka Mimi Niko darasa la 7 lakini nazidi kuipenda siku zote be blessed Makongoro choir
Am very much overwhelmed by this choir. May the Lord always bless you.
Wimbo huu unanikumbusha mbali wakati.wa.majaribu.yangu wimbo huu ulikuwa faraja nalimuona yesu hakuniacha.marafiki ndg.na.jamaa walikimbia.yesu kwangu alikuwa faraja!!
This is what we call evangelism through Music....yaaaan wimbo ni mahubiri tosha....tangu enzi za 2008 mpaka leo hamjachuja....Mungu awatunze sana
True.
The good thing about this choir ni ubunifu. Been fan since young (1969) and still love the music of Aic Makongoro and Mwanza town choirs.. Mungu.aendelee kuwapa busara na hekima. You are a blessing to the body of christ.
Leo tarehe 24/10/2023 bado nasikiliza huu wimbo unanibariki sana kama na wewe bado unaskiliza gonga like
Yohana 15:13
[13]Hakuna aliye na upendo mwingi kuliko huu, wa mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.
Greater love hath no man than this, that a man lay down his life for his friends.
2020 still my best song .....furaha yngu iko kwa yesu..🇰🇪🇰🇪🇰🇪
NAELEWA
Napenda hii choir sana yabariki moyo wangu kila ninapo zitazama video zao. Mbarikiweni sana wanakwaya.❤❤❤❤
Nabarikiwa sana na wimbo huu
Naringa na YESU 2021💃💃💃💃💃💃💃 Ninaishi Yesu ...furaha yangu ipo kwa YESU...
This reminds me of childhood choir songs,AIC my all time church.
Waouuh wimbo ulio nifanya niwe leo muimbaji🙇🏻♀️🙇🏻♀️🙇🏻♀️
My happiness is with Jesus and my faith in Jesus. May you live long
Nimepata rafik wa kweli ajuaye kusamehe..YESU YESU YESU!!
Nina ishi na Yesu ,nina ringa na Yesu 🙏🙏
Naupenda Sana huu wimbo haushi ubora wake
Nimepata rafiki wa kweli,best song,,,Yesu ndiye rafiki wa kweli
Mungu awabariki waimbaji.mbona siwasikii tena.chochoeni kalama
Mungu awabariki kwa nyimbo zuri kwa kweli nimebarkikiwa
Furaha yangu iko kwa YESU🙌👏👏🙏
Naringa na YESU wangu date 1.1. 2021 hakuna mwingine zaidi yake sofa na utukufu n kwako YESU💃💃💃💃🙏🙏🙏♥️♥️♥️
How we used to dance this song as CYA at our church😍. God lift you makongoro
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮furaha yetu iko kwa Yesu
Wimbo wa ajabu na maneno matamu. kweli afadhali kuringa na Yesu, Mungu awabariki sana wapendwa
Nabarikiwa sana mungu awape nguvu muimbe katika kusudi lake
I love it,my favorite 😘😘
Wow ,, enjoying my bond with Jesus Christ ,, my saviour ,, ntakutumikia milele ,,
Rafiki wa kweli ni yesu tu
Nalinga tu na Yesu na nimepata rafiki wa kweli. Barikiwa sana waibaji
Amen God bless U thank U so much god is awesome always nothing is impossible to god 🙏 from Australia 2021 God bless🙏
Hile love niko nayo kwa choirs mungu tu ndio anajua
Chorus inaniguza kweli
Wimbo mzuri Sana,,, mapigo ya muziki na Wimbo Yapo sambamba,,,,, pia ujumbe uliomo ni mzuri pia,,,, bonge la ngoma
کے
Ainuliwe aliyejuu milele🤲🤲
very powerful message and challenging for spiritual growth. May God bless you!
Wow!! Nice song l love it be blessed all
I love this song since I heard it for the first time back in 2012. Mimi na Yesu
2019 ninaringa na YESU
Tupoo na yesu
hakika MUNGU ni mwema
nasikia huo wimbo nafurahi sana santi Mungu
Yesu nirafiki Wa pekee mbarkiwe watumishi Wa kristo
Nazipenda sana nyimbo zenu! Mungu awabarik sana
2022 November niko na yesu kristo kila wakati , from Kenya nice song
Good song .the way the soloist is leading in performance and singing really moves me.
❤mapezi mengi kwa Yesu
Asante sana.vjn.wa.mwanza
amen na mimi nalinga na yesu 2021
Mbarikiwe San
2020 nado nasikiliza huu wimbo Mungu awabariki sana
wow am very much blessed
Sijui nisemeje ila daaaaah zamani walikuwa wanajua kuimba
❤❤❤❤
Nakumbuka mbali sana
Hallelujah kweli ninaringa na Yesu
Mungu awabariki popote mlipo
Your songs are so nice keep it up
l really love your songs may lord bless you
I love this song.i use to watch it longtime ago like 2010 it's still reminding me a lot of things
Nyimbo zenu nazipenda sana zinanifariji
Amina. Ninaringa na Yesu
kila nikisikilza wimbo huu nakumbuka nyumbani mwanza niko chuoni marekan nipeni like nipunguze kulia
Mungu akupe subira, utarud tu
Sijuii saivii ikowapi jamanii hii choir
ninaishi na yesu ninaringa na yesu mungu awabariki sana
2021 Nalinga Na Mungu
Ninaishi Na Yesu kabisa
Ma foi est toujours en Jésus
So sweet song Glory unto God. .be blessed sister and the crew
Ninaishii nayesu
kweli yesu ni pekee aliyeweza kutoa uhai wake hakuna mwingine
Ilove ur songs very much be blessed
Tamu sana, naupenda
Well msg we get through these songs. I'm very please for that.
Nampenda Yesu maana yéyé ndio kila kitu kwangu
Blessed song indeed
Ninaishi na Yesu ninaringa na Yesu mmbarikiwe waimbaji tr 19/2/2022 bado wimbo unanibariki
2021 nalinga na yesu
Nimebariwa sana na huuwimbo nanimenda
My best song ever since my childhood
Kweli mm na yesu 2019
Nice 👍👍 song
I like this song
NAWASHUKURU WOTE WALIOHUSIKA KUFANIKISHA NAKALA HII, BWANA YESU AZIDI KUWATIA NGUVU ZA KUNTENDEA KAZI.
telesia
Nici
Good song.
ninaishi na YESU , kila siku na YESU.
Maishabilaya
💖.yesu💖sawanabu
lemanamwongozo.hakuna achanim2mikiye
Hallelujha ! Amina !
2020 amen
Kwanza muimbaji na wimbo vimeendana
nyimbo Nzuri sana ubarikiwe,;
Huu wimbo unibariki sana
Very nice God bless you
Nice song be blessed.
Safi ya kubariki moyoni!
2020 watching likes
l love this song
Cutee,,,, mpo sawa vijana
Hii choir ilienda wapi ??
Nauliza kama wewe...watuambie
OXzaz
penda sana nyimbo hii
Nice song, bwana atukuzwe.
I love the song be blessed too