Cjui hii lkn hii kali zaidi.? mana vi3 vingi viliongelew that time vilikoroga akili za mwenye kufikiri.!! sasa imekua dreva wa tax tena? jamani mji wa dar.. uliwekwa ulinzi mkubwa watu wanapotoka.???? Maajabu ya mwaka🙄🙄🙄🙄🙄🙄🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Kumbe no mwendelezo wa stori nilichua ni mwendelezo wa uperelezi ebu fanyeni uhalisia na sio stori hila hongereni kwa nguvu mliotumia kufanikiwa hao watu wapewe adhabu kali zaidi
lakini mbona inaonekana hawa jamaa walikuwa na gari ina plate number ya msumbiji, leo ni kama vile mnatuchanganya. though tulitegemea mtupatie fully movie sasa swala la part 01 part 02 part 03 ?
hapo siyo hongereni hapa nikuwaambia kwamba wapolisi hamujuwi lolote na Tanzania mujuwe kuwa inchi yenu hakuna imani walio mpiga tundu lissu mpaka sasa hawajulikani walio mteka mo wamepatikana hatari saaana
Kama kweli mnafanya kazi tunaomba bensaanane apatikane pia, nahuyo jamaa anavyo jieleza hana kosa yeye nimfanya biashara ,kuulizwa uliwauliza mmetoka wapi hilo ni swali la migration,
Hongereni sana jeshi letu, kwa kazi kubwa mnayoifanya...!
Mungu tu ndio anajuaaa
Kazi nzuri jeshi letu la POLISI aibu yaoo.... wale wote waliokuwa wanaridhihaki jeshi letu.
nasikia ukijifanya unajuwa kuongea unatekwa! ,Tanzania hakuna siri watanzania wanawajuwa watekaji wanatoka wapi na ni kwa nini?
Cjui hii lkn hii kali zaidi.? mana vi3 vingi viliongelew that time vilikoroga akili za mwenye kufikiri.!! sasa imekua dreva wa tax tena? jamani mji wa dar.. uliwekwa ulinzi mkubwa watu wanapotoka.????
Maajabu ya mwaka🙄🙄🙄🙄🙄🙄🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Na camera za tukio la kipigwa risasi Lissu zilienda wapi kama hizo zimeonyesha
Upelelezi wa akwilina vp au upelelezi kwa watu wenye pesa tuu.
Siliamini jeshi la police huko ni kutafuta kujikosha hamna kitu hapo
Yaani chungu bhana kina sifa moja kuu! Hata ukisafishe kwa sabuni gani huwa aking'ai 😂😂
Naliamini jeshi la Polisi, Hongereni makamanda kwa kazi nzuri.
Kumbe no mwendelezo wa stori nilichua ni mwendelezo wa uperelezi ebu fanyeni uhalisia na sio stori hila hongereni kwa nguvu mliotumia kufanikiwa hao watu wapewe adhabu kali zaidi
Iko siku mtatuambia kuwa mumefanikiwa kumpata mo dewji
Bado siamin, kama ni ivo wameshindwaje kukamata wengine waliohusika kwenye matukio kama hayo?!
huyujamaa nidereva tax inawezekanahatawanamteka hatahajui kwani yy aliwapatiatu nyumba tu
Yote Anajuwa Mungu peee
Mo ndie anajua ukweli.Kama walikuwa nania mbaya wangeli mdhulu.Kuna nini????
wapinzani weumbuka walikuwa wanasema sio wazungu ni serikali yani hawa jamaa ningekuwa kiongozi Mkubwa ninge wafunga miaka 20 jela
safi sana
Huo ni utapeli
Paul Andrew acha kutoa majawabu Kama una uhakika na unachoandika katoe ushahidi polisi!!!
Hakuna ila ujinga
mwijage tizaba
Safi
Huyo kwanza akae lokap mpak wahusika wapatikane
Sheria ichukue mkondo wake huo ni mwanzo mzuri
lakini mbona inaonekana hawa jamaa walikuwa na gari ina plate number ya msumbiji, leo ni kama vile mnatuchanganya. though tulitegemea mtupatie fully movie sasa swala la part 01 part 02 part 03 ?
mngefanya na kwa wengine pia
bonge la location.,wacha muvi liendelee
Jeshi LA Polish wacheni kuchezewa na watu wachache fanyeni kazi mulizosomea mutachekwa
wachekwe mr ngp?!
hapo siyo hongereni hapa nikuwaambia kwamba wapolisi hamujuwi lolote na Tanzania mujuwe kuwa inchi yenu hakuna imani walio mpiga tundu lissu mpaka sasa hawajulikani walio mteka mo wamepatikana hatari saaana
hao mabinti wenye nyumba nao wamekamatwa?
Kama kweli mnafanya kazi tunaomba bensaanane apatikane pia, nahuyo jamaa anavyo jieleza hana kosa yeye nimfanya biashara ,kuulizwa uliwauliza mmetoka wapi hilo ni swali la migration,
INGETAKIWA APIGWE SANA HUYO MTUHUMIWA. NA MBONA HAJAVALISHWA PINGU?
huu ndio uzalendo wa tanzania ya viwanda
✔✔✔✅
Jumanne Nyau hatati sana move
Mo ahijiwe anafahamu mengi kuhusu tukio hilo maelezo yakoje?hili jambo watanzania tunahitaji kupata ukweli halisi.