What i like on people ..they shaw love ...aslonger you're in..simbas life..as brew new girlfriend...when they just see you guys break up they start new game ..make sure dear ...take him forever ...if you are strong Otherwise awa matanzania ..hawaeleweki ..wana ..geuka geuka ...watching you from Sweden🇸🇪 all the best
Zuchu dadangu sasa mali imerudi kwa mwenyewe.Advise una nyota poa,chapa kazi ,tunza usichana wako ungali mdogo ,utapata mume wako.Usiwe chombo cha kuchezewa na wanaume.Watakudanganya mwisho wanarudi kwa wake wao.Nawe ukihesabiwa mandoa
Zuchu I love your voice dada, pia kapendeza kwa kweli. From kenya my dear wasafi
Ilove your songs mrembo
Wueeh, zuhura, just 🔥🔥🔥, upendo kutoka 254🇰🇪, nazipenda wimbo zako Sanaa
Kweli Zuchu uko Smart sana. Big up
Natokea kongo kule kwazehe wa ngwasuma, Asante Zuchu inafika mpaka Congo kweli
Tizama na hii 👇
ruclips.net/video/AwClqx4ruO4/видео.html
Oza congolais
@@gerlancekyahimba5505 ndio mukomani kabisa
The song dope, much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ruclips.net/video/UPi4KVXqgyM/видео.html
Tazama hii hapa naomba support ruclips.net/video/iNKzRH7iM9M/видео.html
Hili li demu kali saaana shabiki number moja kutoka Rwanda dada🇷🇼❤❤
Mauno ya Juma Lokole jamani eish nimependa mimi ♥️.Like kama nawe umependa 🔥🔥
Lokole uno
Mwambieni mtoto wetu Zuchu tunampenda!
Zuchu wallahi yuko sawa
Huyo dada anayetembe mbele yake Zuchu (sijui kama ndiye meneja) ywanipendeza sana....wimbo mtamu kweli...
Haka kadame nakapendaga uweeeh.
Much love from Kenya
Keep the fire burning 🔥🔥🔥
Iko love kutoka nchi tukufu ya Kenya 🇰🇪🇰🇪
Yuchuuuuuuu wangu mimi hapa!! 🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥❤️❤️❤️❤️ Juma naye 😂😂😂😂❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Jamani Zuchu sauti mashallah 🥰
Sincerely, Zuchu is the best, indeed she's talented,, I'm a Kenyan but I keep watching this song now and then 🔥🔥
Suchu
Woow venye napenda uyu Dem acha 2 big up dear
Zuchu ndugu yangu kuna akhera baada ya dunia japo unakipaji ila muogope muumba wako saas usanii ni kutembea uchi mapaja nje
Umekija fanya nini huku shehe umepotea?😀😀
Zuchu 5:33
Hehehe, zamani watu walikuwa hawana nguo.
Nguo iligunduliwa na mwanadamu sio Mwenyezi Mungu.
Hata tuseme nini. Zuchu kanayo sauti. Whether with Diamond or not hutu zuchu attendance mbali sana.
Good one from Zuchu,watching from Nanyuki im Kenya Africa
Mtto wa kiislamu wavaa namna hio nawaona sifa kabisa laana tul Allah wabongo wtto wakike wa kiislamu mnatuaibisha majina pia toeeni
First Kenyan here 🇰🇪🇰🇪🔥💯💯💯
Its fire 🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤
Tizama na hii 👇
ruclips.net/video/AwClqx4ruO4/видео.html
Tazama hii hapa naomba support ruclips.net/video/iNKzRH7iM9M/видео.html
Zuchu u are really really talented🙏
Nice one
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 twakupenda Zuchu na Dida
Napenda Tanzania wafanya Competition ya Wambea..Juma Lokole will surely win the trophy…Congratulations to you Zuchu.
Hahahahaaa...unachoma kweli,ety trophy ya umbea
❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥
Hahaha
😂😂
Love you momma 🥰 love how you present your songs
Tazama hii hapa naomba support ruclips.net/video/iNKzRH7iM9M/видео.html
Zuchu jamani mashaAllah 🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Embu kuweni na hofu ya Mungu mashallah wap na wapi na ushetani huu tuangalien tu nakumpongeza sio kumtaja mungu kwa wakaa uchi
@@mahmoodalghefeili5370 sasa we ndo unatoa hukumu
Tizama na hii 👇
ruclips.net/video/AwClqx4ruO4/видео.html
@@mahmoodalghefeili5370 Tizama na hii 👇
ruclips.net/video/AwClqx4ruO4/видео.html
Tazama hii hapa naomba support ruclips.net/video/iNKzRH7iM9M/видео.html
Dida, nakupenda Bure. Lots of 💕 from Kenya
Tizama na hii 👇
ruclips.net/video/AwClqx4ruO4/видео.html
Yaaani Juma watingisha kushinda Zuchu, haki Kweli vijana tumechanganyikiwa
Haki c napenda wasafi for sure ❣️ anytime nikiboeka nakuja RUclips wasafi channel 💪💪💪💪
Tanzanians love your songs Zuchu
Design wakenya wanakupenda😍🇰🇪
Ahhh hana adabu tu huyo mtoto wa kiislamu mzima baada ya kuzinga kijuzuu ukasoma wafanya ujinga amba sukari
Watching from Kenya. Zuchu mwenyewe, amazing voice
Aweosme. Much love from kenya 💯💯💯💯😄🇰🇪😄😄😄
Tizama na hii 👇
ruclips.net/video/AwClqx4ruO4/видео.html
Duuuh upo vzur shemej wetu wa dunia🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Shemeji ya dunia
Mwezi wa Ramadhani ufike tu mvae vizuri maana ndo kawaid ya ma star ,maana mnavaa nguo za watoto
Zuchu mtoto wa mama 💋💋💋💋💋👏👏👏👏👏💯🙌🌹🇰🇪🇸🇦
Bwana hii nyimbo kaimbiwa zari mm nimeona mzee nani si zari na anae mpigia simu usiku nani zari jaman mamb hayo
What i like on people ..they shaw love ...aslonger you're in..simbas life..as brew new girlfriend...when they just see you guys break up they start new game ..make sure dear ...take him forever ...if you are strong
Otherwise awa matanzania ..hawaeleweki ..wana ..geuka geuka ...watching you from Sweden🇸🇪 all the best
We are wishing her all the best, hope this time round Diamond atakuwa serious..
To speak the truth Zuchu has melodious and sweet voice
Hapana chizea juma hahaha goma limepata mchezaj hahaha nimecheka mm jaman😂😂😂
Truth
Tizama na hii 👇
ruclips.net/video/AwClqx4ruO4/видео.html
@@anuwareeemataka5886 Tizama na hii 👇
ruclips.net/video/AwClqx4ruO4/видео.html
Tazama hii hapa naomba support ruclips.net/video/iNKzRH7iM9M/видео.html
Mtoto wa ati wa kiislamu jmny mungu amsameh kwa kweli inshallah atabadilika
I love how zuchu presents her songs. Number one female artist
Hyo juma lokole basi🤣🤣🤣balaa aki, anyway zuchu hongera sana much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️
The first person to watch wapi likes zangu❤️❤️❤️
Zuchu much Mad Love ❤️ from KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 You just killed it all with the Voice 😘😘
Tazama hii hapa naomba support ruclips.net/video/iNKzRH7iM9M/видео.html
Bado sijachelewa au sio nawapenda sana,254 area code..
Ningependa kumuona juma lokole kwa official video ya mwambie anajuwa sanaaaa
So much love you zuchu from guinea conackry 🇬🇳🇬🇳
Jamani zuchu,,, 🔥, ❤️ Juma n Idris mwaaaaah 😘,,Didi MashaAllah 😍👌
From much respect from 🇿🇦🇿🇦 I love you sister
her voice is on another level
Nakutakia kila la kher zuuchuu
Zuchu dadangu sasa mali imerudi kwa mwenyewe.Advise una nyota poa,chapa kazi ,tunza usichana wako ungali mdogo ,utapata mume wako.Usiwe chombo cha kuchezewa na wanaume.Watakudanganya mwisho wanarudi kwa wake wao.Nawe ukihesabiwa mandoa
pendaaaa sana hiyo zuchu Iko wapi ije pale
Nice to see you. LOVE you Zuchu 🤩
Innalilah wsinnaileyh rajiun dunia inakupa kiburi umesahau kama wewe ni mtoto wa kike unavaa kivazi hicho
Doughter like the mother mother like doughter.
Good song zuchu
Yr are legend
Much love from 🇿🇼🇿🇼 Zimbabwe. ❤️❤️❤️
Tizama na hii 👇
ruclips.net/video/AwClqx4ruO4/видео.html
Tazama hii hapa naomba support ruclips.net/video/iNKzRH7iM9M/видео.html
Great song and much love watching from 🇺🇲🇺🇲 dallas texas
Moto siku ya kiama watusubiri sanaa kwa hali hii. Nimuda wKutafuta mahala mbali penye mti mtu akaabudu ma wake
Swadakta uposahihi
Allah atufanyie wepesi ila hua nakaa nikiwaza kama si huruma ya Allah sijui itakuaje siku hiyo
@@nassirmohamed8492 mimi hua najikataza hata kuangalia ila sijui inakuaje najikuta nimetulia nawaangalia ni mtihani tumeshalaaniwa
Zuchu afundishwe kutembea elegantly
It's enough to be who you are darling
#mwambiyeni jamani❤️❤️.
Naipenda sana❤️, zuchu i love you tokeya Congo Kinshasa 🇨🇩 nalingi bino makasi
#Forces Geng from KENYA 🇰🇪
WE LOVE U ZUCHU👊👊💯
Juma jamani unakata kuliko zuchu weee mtoto mmm!!!!
She is black beauty 😍😍 na haweki kigodoro
Yes L
All the way from +254 🇰🇪 i love it 🥰
The only Tanzanian show I watch from Kenya
Watching you live from Ghana 🇬🇭🇬🇭🇬🇭🇬🇭
Zuchu kapendeza na hilo Ronda.You are looking beautiful 💕
mm so mpenzi wa zuchu ila kwahii nakusapoti 💯 💯
Zuchuuuuuuuu!!!! You make me young! ❤️🥰 always such a pleasure watching you and listening to the art you create with so much ease!
Tazama hii hapa naomba support ruclips.net/video/iNKzRH7iM9M/видео.html
Great, from kenya
Zuchuuuu hatariii WCB for lifee
Wimbo mzuri na umepata mwimbaji much love zuchu sanaa
Jamani juma lokole hapa umeniwacha Hoi nakupenda Bure Sina jini km aminaa😁😁😁
Zuchu you amazing girl😘
Mwajumaaa lokoleee unanimaliza😀😀😀😀😀😀
Comment zote leo cjaona hakuna ndoa naona magume gumeeee yameamini sasa maana sio kwa kumchamba zuuuchuu oooh ananganywaaa oooh nn loh limewashukaaa
Hii kali ya Mwaka team free wifi Dubai 😅😅❤️❤️❤️♥️♥️♥️
Lokole huyu jamaa ni muigizaji mzuri sana
I can't get enough of this song.
I love it ❤️🇰🇪❤️🇰🇪
Tizama na hii 👇
ruclips.net/video/AwClqx4ruO4/видео.html
Tazama hii hapa naomba support ruclips.net/video/iNKzRH7iM9M/видео.html
We jaman m nampenda zuchu japo xna elaaa jaman tajinyonga uku mm mnyakyuxa
Always stunning❤,love your voice
Tazama hii hapa naomba support ruclips.net/video/iNKzRH7iM9M/видео.html
Zuchu Nina mkubali sana tena sana
I like the way zuchu reacts lots of love from this side 💞
Vile hyuuu zuchu ananikoshaga roho yangu kw huu wimbo wke
Ujumbe wake siupendi. Ujumbe wa Kisasi
The pride of Africa 🌍 Our African Beyonce 🔥🔥
I'm listening from France I love it 🎶💪@🇳🇦
Lovely performance zuchu
Hapa Kenya tukipenda tunasema tumeweka kidole👍👍
Oo
Zuchu wewe endelea kuimba nyimbo zako lakini usivae nguo namna hiyo
Such a nice song, Zuchu
Lotsa love...from Nbo kenya...hata mimi nimetoa jasho...can't get enough of it..I have replayed several times..kali saana
Tazama hii hapa naomba support ruclips.net/video/iNKzRH7iM9M/видео.html
Kenyans let's gather here🥂
Chefuuu
🖐
Tazama hii hapa naomba support ruclips.net/video/iNKzRH7iM9M/видео.html
It's was dope anyway zuchu you make me you once here that sound😂
You really make me young
My baby ❤️❤️ Kenya 🇰🇪❤️❤️❤️
Lokole una mauno kuliko zuchu khaaaaaa😂😂😂
mgala muue na haki mpe. Mapenzi ndindindi, much love from kenya.
Kabisa
Wazee wezangu nao wamooo
Yani ningeweza chezea mume wangu kama juma duuuh! duuuh! Maana kiuno changu kizito kuliko maisha yangu 😆
Safi sana performance yako Zuchu ❤️❤️🇰🇪
Mimi nangoja harusi🦁🇰🇪