Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Utumbo wako haupitishi mihogo kama umesikia hii like yako hapa plz
hizo ndo dhahabu za kale na uzito wake na msikia ngwair Rest in peace Pamoja sana aseee gonga like twende Sawa kwanza maana huyu jamaaa -----------🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ngwir R I P tutakukumbuka milele daima
Professor hii ngoma niliitafuta kinoma,ktk ngoma zako hii umejua kumsifia mtoto mzuri
Niko hapa 2024 na bado nyimbo moja tamu sana
Una akili zaidi ya Lincoln na unapenda kusoma...........hutazami tu ya Leo na unafikiri pia ya kesho...#madini hatarii.....
😂😂😂
una, albart kamaliza kwny kibwagizo ataree3ee.
Midomo yako na ulimi huo ni uchawi toshaaa...haha hahaaaaaaaNooooomareeeeee
Hakuna anayemshinda the Heavyweight MC Prof J
Utumbo haupitishi mihogo dah.😂😂😂😂
Albert mangwair atabaki Kua juu sana
Ngoma Kali sana 2020 RIP Ngwea
Joseph ni mtu mzima, 🎊 🎉 🎊
Professor kama professor na the best there was of all time
nilikuwa napewa sana dedicaion
big up professor hujawahi kuniangusha hata siku moja
Nakubali kaka haujawai kutuangusha mashabiki zako
Nk disko Dodoma kwenye uzinduzi wa hii album ilikuwa noma sana
ebwana binge La ngoma rip mangwea
Nakukubar sana mzehe naitatwa erick Niko mwamz
Hakika nyie legend
Hizo ndo ngoma za watu wenye timam zao... Mistali dah,,, nakubali.
Bonge la collabo,ngwair na mbunge wa wanyama na binaadamu(Pr.jay)
Mungu akujalie kaka urudi vizur
Dah broo nakumbka mbl sana izi ngoma yani nimezipitia zote mzk zamani ulikw zahabu sana ila wanunuz walikuwa amna
Rest in peace cowbama...
Legends wa mikumi mlitisha xana humu r.i.p Albert mangwair 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Jay uk poa san hii ngoma haishi utamu
Hii ngoma inaendelea kuishi
Profesa J makukubali kwa asimia zote
Ngoma ina ishi hii Professor
Big up man wa nguvu kama simba cement....
Nakukubali kwa asilimia zote Professa J
Nyimbo zuri
P. Funk mkali beat kali
hii beat nasikia kick za she got gwan ya ngwair pale kati P Funk majani tz Scott Storch
Kariri burini prof
Professor J 🎉🎉🎉
😂😂😂😂🔥🔥 mistari Kali sana jay
Huwa nacheka sana hii mbona nowmah !
Nahangaika ku i download Lakin nakutana na Ma virus tu tabu tupu
Unaa daah kweli
Hips kama umeficha panya
The video content is so excellent, congratulations
June.2024❤
Fun from France big up #legend
Iko poa sana
Balaa
KAMA UNA KUMBUKA KITU UNAPOSKIA NGOMA MIAKA KADHAA ILIYOPITA NAOMBA LIKE YAKO TUJUANE
great hit
nomaaaaa
🔥🔥🔥
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
2005. UNA prof j ft black ryno, ngwear. P FUNK.
Dah!
My fav
Classic in deed
chuchu kiduchu
Saf
RipNgwea😁😁😖😖
enzi hizo autotune bado haijazaliwa
2019
2020
Utumbo wako haupitishi mihogo kama umesikia hii like yako hapa plz
hizo ndo dhahabu za kale na uzito wake na msikia ngwair Rest in peace Pamoja sana aseee gonga like twende Sawa kwanza maana huyu jamaaa -----------🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ngwir R I P tutakukumbuka milele daima
Professor hii ngoma niliitafuta kinoma,ktk ngoma zako hii umejua kumsifia mtoto mzuri
Niko hapa 2024 na bado nyimbo moja tamu sana
Una akili zaidi ya Lincoln na unapenda kusoma...........hutazami tu ya Leo na unafikiri pia ya kesho...
#madini hatarii.....
😂😂😂
una, albart kamaliza kwny kibwagizo ataree3ee.
Midomo yako na ulimi huo ni uchawi toshaaa...haha hahaaaaaaa
Nooooomareeeeee