Boda2Boda (EP20) Diamond Sina bifu nae, Nilipofika Katembekatembe ndio nilijutia, Niliuza nguo zotee

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 39

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 17 дней назад +1

    Napendaaa sanaaa storii zamabariaa kamaaa awaaa storiii zinaaasisimuaa kishenziii kazikaziii TV tureteee tenaaa marumeee kamaaa uyuuuu

  • @MTOTOWAvitoto
    @MTOTOWAvitoto 11 дней назад +1

    Msizwa anasauti kama Joh makini

  • @chuichongo3898
    @chuichongo3898 17 дней назад +2

    UKOMAVU,nimependa sana umenena ukweli kwa asilimia kubwa sana kwa sisi tunaokufaham very well nimependa sana masha allah ...UNAKUMBUKA ILE AHADI YAKO KWAMBA UKIPATA PESA ...UTAJENGA MSIKITI MKUBWA USAIDIE WAISLAM ..AHADI HIYO ULITOOA MASKANI YA FNB PALE....ALLAH AKIWEZESHE UFANIKISHE

    • @kazikazitvboda2boda
      @kazikazitvboda2boda  17 дней назад +1

      Hii nimeipenda sana, Nitaakikisha Msizwa kaipata hii..

    • @chuichongo3898
      @chuichongo3898 17 дней назад

      @kazikazitvboda2boda insha allah kheir ntashukuru sana

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 18 дней назад +1

    Babu kubwa msizwa nakuelewa sana mkubwa mungu..Kazikazi salute kwako

  • @hamisigazza2838
    @hamisigazza2838 15 дней назад +1

    Kazikazi tunaendelea kujifunza kaka

  • @RamaHRIzmaelov
    @RamaHRIzmaelov 15 дней назад +1

    Sio Katembekatembee,,ni KATEMBE

  • @nemesjosephat5612
    @nemesjosephat5612 13 дней назад +1

    Noma sana

  • @Stanleynyonyi
    @Stanleynyonyi 14 дней назад +1

    Aubadile Mzee wa ndole

  • @topselaz6366
    @topselaz6366 18 дней назад +2

    Tupo live

  • @Maishacanada
    @Maishacanada 17 дней назад +1

    Karibu Canada mkuu siku moja

    • @kazikazitvboda2boda
      @kazikazitvboda2boda  17 дней назад

      Shukrani sana.. IPO siku nitakuja kutembea nikipata mwaliko.. Kama navyo pata mialiko kwengine

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 15 дней назад +1

    interview safi

  • @fadhilially7357
    @fadhilially7357 18 дней назад +1

    Msizwa🎉

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 18 дней назад +3

    io laki mwanao aliweka ndichi blaza,,,tena mi ndo uniambii kitu,,,,bora tupasuane tukae ndani,,usiniletee uchoko mm,,,afu io so kwako mafamba kibao tu,,,mnatoka afu anaenda kukuacha njiani,,au unalala ye halali anakuibia,,kumlalmmaaake mi utachagua urudishe hela au tukakae selo...wee

    • @kazikazitvboda2boda
      @kazikazitvboda2boda  18 дней назад

      😂🤣😂🤣😂🤣🤣🤣🤣 Baharia ka take machance..

  • @ShedrackSylvester-i7r
    @ShedrackSylvester-i7r 18 дней назад +2

    Msizwa white party hy mczo na dayo watakuwepo

  • @Its_Goodluck
    @Its_Goodluck 18 дней назад +1

    Mchelemchele ndo nini?

  • @GloryTeu
    @GloryTeu 18 дней назад +1

    next awe Jimmy magaya Durban pale

  • @MichaelJordan-xf9qd
    @MichaelJordan-xf9qd 17 дней назад +1

    😂😂😂maandazi 30 kha

    • @kazikazitvboda2boda
      @kazikazitvboda2boda  17 дней назад

      Sio mchezo unapokua Na njaa Na Kesho hujui utakula Nini Na saa ngapi..😂😂🤣🤣

  • @EmsonMchau-q5c
    @EmsonMchau-q5c 18 дней назад +1

    😂😂😂😂🎉🎉🎉

  • @MuddyKatema
    @MuddyKatema 18 дней назад +1

    Katembe katembee manguzi kajiuguze