#TBC1
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- Kipindi Hiki Cha Wekeza Tanzania kinakuletea mahojiano maalum na Kaimu Kamishna wa uhifadhi Shirika la Hifadhi za Taifa TANAPA JUMA KUJI ambaye anadadavua Kwa undani fursa za uwekezaji zilizopo kwenye Hifadhi za Taifa hapa nchini.
Mtangazaji - Vumilia Mwasha
Mwongozaji - Neligwa Muggitu
Mdhamini - AZANIA BANK
Hongera kwenu tanapa