THE GENIUS wa Tanzania NCHI YETU N WAOGA SANA HAWANA UHURU WA KUONGEA NA UHURU WA KUSIKIZWA HAUPO KABISA NCHI IMEHARIBIWA NA CCM ZITO TUNAKUKUBALI SANA NA TUKO PAMOJA NA WEWE MM N MKIGOMA MWENZAKO KUTOKA UVINZA_NGURUKA JEMBE N WEWE TU KAMANDA WANGU TUNAKUPENDA MPAKA TUNAUMWA SERIKALI YA MJOMBA INAZIDI KUHARIBIKA ZAIDI KWA KUWA HANA AKILI YA ELIM BIG UP BROO.
Kuwa FUN ni taabu sana. Wenye mimba waleeje HAO watoto kama anawatetea waendelee na British Education. Wapewe elimu ya ufundi iwawezeshe kupunguza utegemezi. Alafu CCM hata kama wana izo shule. Wanaosoma si raia wa 🇹🇿. KWANI UIPENDELEE SIASA KULIKO WATU????? You make what sense sasa??? Hata kama mnanyanyaswa kwani mnashindwa kupumua au hamli chakula mkashiba??? Kubalini kuongozwa au muhamie icho chama.
Issack Chalahani CCM ya zamani siyo ya Rais Magufuli. Mimi nilikuwa naichukia sana uongozi was serikali ya nne. Sikuamini kama kutakuwa na kiongozi yeyote yule ataleta mabadiliko. Rais Magufuli ametupa matumaini na haki kwa uongozi wake. Mtu yeyote anaye chuki a uongozi wa serikali ya Swamy ya tano, basi Huyu mtu uongozi hiyu mtu lazima alikuwa akifaidika na ufisadi na uvunjaji wa sheria
@@gracemima5234 kwahiyo awamu ya tano haivunji sharia na haina ufida wowote sio! Na hizi trion ambazo mpaka Leo hazionekani zimekwenda wapi na hiyo miradi ya inayofanyika PESA zake zilipitishwa na thibitishwa na chombo gani!?
Issack Chalahani Awamu ya tano imejaribu sana tena sana. Rais Magufuli amerthi nchi haina nithamu kabisa. Mimi ni Mtanzania lakini wakati wa awamu ya awamu zote haswa ya nne niliichukia Tanzania sana kwa injustices. Wenye pesa ndiyo waliokuwa wakipata haki. Dhuluma mali za wanyonge. Safari za Europe , wakina Zitto wananyakia nyuma kwenye musafara kwenda kutumia mali za wote., ndiyo maana wanaichukia sana awamu ya tano wakidai demokrasia na freedom of looting public resources. Kila kitu kilikuwa hovyo. Raisi Magufuli ni binaadamu hayuko 100% perfect lakini ninakuambia ukweli this is the best President so far for Tanzania. Anaipenda nchi yake, sio kwa maneno ni kwa vitendo na amewapa Watanzania pride kwa uongozi wake bora na team yake. Angefanya makubwa, lakini upinzani umemupotezea wakati kwa kupinga kila kitu tena wanapinga kijinga. Wanapinga kila mafanikio ya Watanzania na vitisho vingi visivyokuwa na maana. Bado corruption ipo, cancer hii ilikuwa imetapakaa miaka mingi. Tanzania ilikuwa kama meli isiyokuwa na captain. Miaka 10 haitoshi kuisafisha. Watanzania wanaopenda maki tunataka Rais Magufuli aendelee miaka mingine 10. Tanzania iendelee, watu wake tabia za uvivu na kutegemea dili zibadilike.
Nurdin Jumbe Wacha ujinga.Rudi shule ukakasome. Huyu yuko kwenye siasa kwaajiri ya tumbo lake tu. Kawafanyia nini watu was Kigoma. Ni kuzurula tu na kupinga kila kitu
selemani Mashaka Zitto hajui chochote. Ni depe tupu linalopiga kelele. Zitto anapigania tumbo lake. Wengi wasioelewa l wanafikiria amesoma na ana akiri. ZittbKabwe ni debe tupu
Dada yangu mwabiye sisi watu wa Zanzibar tumechoka naukadamizi wabara tunataka tuwe huru bila tabia zao chafu wabara tumechokanao Wallah sio watu wazuri lalaunono dada yangu
Hujawahi mpa kula zitto ata cku moja.Na sidhani kama unauwezo wakumlisha ata kwa siku moja.LABDA UWE UMEMAANISHA KURA falaa wewe usiejua tofauti ya R na L.NA KAMA umemaanisha kura.. then zitto hana haja ya kura yako.
Nami naomba nichangie hapo zito. Mi naona tatizo si kuiondoa ccm madarakani bali tunataka haki, usawa,uhuru na uwazi kwenye sekta zote na si ubabe uvunjwaji wa sheria na ukandamizwaji ambao wanafanyiwa watu wachache tena wenye maslahi na taifa.
@@godfreymanzi8819tajili uwa umkopesha tajili mwenzie awezi kukopesha masikini utalipa nini pia benk ni ya dunia sio ya mabebelu tumewekeza kule ni bank ya wote ndio ikaitwa benk ya dunia uyo marekani muingereza mjerumani wanakopa tena ndio wanaoongoza kwa kukopa kuliko nchi za afrika uyo bwana wako ndio analia lia anaacha kuwasemea waliomchagua yeye anachoangalia akichukua mshahara tayari anakwenda kula bata sisi tunataka maendeleo sio porojo shithole
Anuary Ally unasema nini wewe fala?umesahau JUZI TU Tanzania inafunga ma bureu na kutaka watu wakanunue dollar katka bank sa serikali??? Au unajifnya hukumbuki kisa bwana zako ndio walikuwa wakiriaria kuweka uchumi wa nchi sawa.STUPID
Naila Mohd Kuwa FUN ni taabu sana. Wenye mimba waleeje HAO watoto kama anawatetea waendelee na British Education. Wapewe elimu ya ufundi iwawezeshe kupunguza utegemezi. Alafu CCM hata kama wana izo shule. Wanaosoma si raia wa 🇹🇿. KWANI UIPENDELEE SIASA KULIKO WATU????? You make what sense sasa??? Hata kama mnanyanyaswa kwani mnashindwa kupumua au hamli chakula mkashiba??? Kubalini kuongozwa au muhamie icho chama.
pengine zito kabwe anayohoja lakini kwanini tusingepata Kwanza hizo pesa Kisha tusimamie matumizi yaani zitumike kihalali kwenye elimu alafu ndo tupiganie mageuzi ya Sera(kuhusu wanasichana wenye mimba).Kwa mtazamo wangu naona hii ingetusaidia watanzania wote hasa sisi tunaolima matikiti ambao tunategemea elimu bure kwa vijana wetu. Kwa nilivyomsikiliza zito naona hajali kuhusu elimu ya mabinti(anaitumia hiyo hoja Kama mwamvuli wa malengo yake),zito anahofia uchaguzi. Sisi watanzania tuna utimamu wa akili Kama wewe ni kiongozi mwadilifu huna hana haja ya kuhofia chochote. Mheshimiwa zito, kunawatanzania ambao hatuna hizo posho na mishahara minono Kama wewe,tunaishi kwa kilimo Cha jembe la mkono..kutukwamishia fursa za elimu kwa vijana wetu(elimu bure) ni kututangazia uadui waziwazi. Haya ni mawazo yangu naweza nisiwe sahihi,labda wananchi kutoka kigoma mnamwelewa binafsi sikubaliani nae.
Elimu bure nani kakuambia kwani hata hao walimu kwani wanajitolea si wanalipwa mishahara na marupurupu mengine, Elimu tunaichangia kwa kodi zetu tunazo katwa maelfu kwa mamilioni huku kwenye ajira zetu ,biashara na hayo matikiti unayo Lima,kodi za majengo kwenye bidhaa na kadhalika,hiyo mikopo ni tukipata tunatumia kuboresha tu tukikosa tunaendelea kupambana hivyo hivyo tu .kwanza mikopo yenyewe mpaka bank ya dunia ipige kura kwanza iamue itupe au isitupe mkopo.
We ulisikia wapi mzungu akataka nchi yenu Iwe na maendeleo? Ukiona Jambo Kama hili linatokea basi jua kua wameshaona mlicho nacho nakina Faida kwao. Hivyo kitakachotokea hapo NI mabadilishano ya silaha na kile mlicho nacho. Na watu wa Haina hii ndio huwa vibaraka na tusipoangalia ujinga wetu wakuwasapoti watu Kama Hawa, basi ile amani yetu tuliyodumu nayo kwa muda mlefu itakua Haina budi kutuacha katika mataa huku mataa hayo yakiwa busy kutumulika machoni bila kutuonyesha njia sahihi ya kuelekea.
Wewe una akili, Urusi haina demokrasia China haina demokrasia lakini huwezi kusikia eti USA imewawekea vikwazo. Wakoloni wakipata wajinga kama Zitto watawatumia vizuri kwa maslahi yao ngoja muone, kama una akili huwezi kuamini wazungu hata siku moja wana nia nzuri nasi
Hata wew ungekuwa kiongozi wa juu leo swala la Ajira usingelimaliza kwa asilimia 100% coz hata marekani na mataifa makubwa bado wanawatu ambao hawana kazi, ila mengineyo nakuunga mkono 100%
Nchi nyingi zina upinzani, hata Kenya wana upinzani tena mkali sana, ila sijawahi kusikia upuzi kama huu wakienda kwa mabeberu kuwalilia wale wale wakoloni wanaotamani rasilimali zetu. Sasa watatumia mwanya huu wa upinzani kutuchafua na kutubana sio tu kwa hili Zitto analosema ila kwa maslahi yao kwanza
Ccm hawaangalii nini kimesemwa wanaangalia nani kasema. Kuna wapumbavu wa chama cha ccm wanatoka majukwaani kutukana raiya wake wa tz na kutoa matusi. Yote haya ccm hawataki mtu msomi. Leo ccm inatoa watu wake inapeleka ulaya kusoma . Lakin cha kushangaza woye wanafeli. Wanarudi bila ya cheti chochote,mwisho wa siku wanafoji vyeti feki.
Zito amepeleka Bungeni matatizo gani yanayoyakabili kule kwao Kigoma ambayo yamewasaidia? Nakumbuka ameweka taa za nguvu ya jua,katika kiumbe kinachoishi( KATI YA UMEME NA MAJI,KIPI KIMOJA WAPO NI MUHIMU KWA MAISHA YAKE KILA SIKU?) Leo tunaona serikali chini ya uongozi bora wa Rais J.P.Magufulu MAJI yanatolewa ziwa Victoria mpaka kufikia Tabora,maji hayo yatawanufaisha milioni katika mtandao huo wa maji,vijiji na miji.Zito ameweka taa za umeme wa jua,na ziwa Tanganyika liko mlangoni.(SMART MOVE. MCHEZA KWAO HUTUNZWA.)Kiwandani wote ni wafanyakazi lakini kila mmoja ana wajibu wake na wote wanajumuika kuleta zao la kiwanda hicho.Mwanamume anaetoka nyumbani kwake na kueleza watu wa nje siri na hali ya nyumbani kwake,kule pwani tunamuita BARADHULI.Mwalimu alisema hakuna mtu wa nje atakae endeleza nchi yako ni wewe mwenyewe.WaTanzania sio watu tunaopenda machafuko,sasa kama kuna viongozi wa siasa kweli wanataka fujo,Tujiulizeni JEE fujo ikianza hao VIONGOZI watakuwa mstari wa mbele? Au watapeleka wapenzi wao mbele waumie kwa sababu yao? Acheni mchezo na mapambano. Mwezi wa jana wamefukua mifupa 6000/7000 Burundi na wale walioanzisha mauaji wengi wako Ulaya.Jee tukikubali wanasiasa haswa wapinzani watutenganishe,tutakimbilia wapi? Wazee,Watoto na Wakina mama na mabibi zetu wataangaliwa na nani?wanaokuja kuanzisha fujo wana kwao,what about YOU. A.R.Msimbazy
Tunataka kuona sura mpya bungeni.Tulia leta mgombea wa ACT mwingine na hiyo ndo itakuwa Democrasia ya kweli.Wewe huna hati miliki ya uongozi.Toa fursa kwa vijana wenzio nao walitumikie Taifa lao.una uchu wa madaraka🤣
Huwezi kusema mbunge ana uchu wa madaraka maana anatumia haki yake ya kikatiba kwenda kugombea na wananchi wanamchagua. Wewe pia una haki hiyo, nenda kashindane nae ili umuangushe uingie wewe bungeni. Bahati nzuri zaidi Zitto hajawahi kuiba kura ila wanakigoma wanampenda
@@pauljoseph1800 2020 hiyooo atulie atumie haki yake ya kikatiba agombee tena,sasa kilio cha nini.uchaguzi bado,mara hoo hawataki wapinzani warudi????Anaweza kuwa mpinzani lkn hasiwe yeye pia.au akawa mtu yeyote yulenkwa kutumia haki ya kikatiba hiyo hiyo.Mpira bado ashajua matokeo ushawai kuona wapi??yajayo yanafuraisha
@@jtheophil5499 Naanza kuamini kwamba siasa kwako ni fumbo kubwa sana. Lazima alalamike kama ameona dalili mbaya, lakini harakati zote ambazo mhe. Zitto Kabwe amekuwa akizifanya zinalenga kurudisha demokrasia na haki za msingi ambazo zinaonekana kuminywa na serikali ya awamu hii kama vile uhuru wa habari (naamini wewe ni mmoja wa watu waliokumbuka sana kuona bunge mubashara), uhuru wa kutoa maoni kama mwananchi (yaani freedom of thought and speech), haki ya kufanya mikutano ya siasa na haki ya elimu kwa kila mtu (ambayo kwa sasa sera ya nchi inawabagua mabinti wajawazito kuendelea na shule). Sioni kama anakosea kupigania vitu muhimu kama hivyo. Isishabikie siasa bali ifatilie kwa ukaribu na uichambue.
Huyu jamaa anaongea pumba tu kwahyo Yuko radhi wachache waliopata mimba kwa upuuzi kwa raha yao wenyewe wawaponze wengi wanaoteseka hawana Mikopo vyuoni zitto think twice acha mmbo ya siasa kwa mmbo ya msingi
Mimi huwa sicheki sana ccm wanaposema " wataisoma namba " kumbe wao pia wanaisoma namba! Wanaotumbuliwa wote ni ccm ,bado kidogo watajua maana ya kuisoma namba. Kwa hiyo Baba Zitto Mungu awe pamoja nawe siku zote.
Hakuna nchi tajiri isiyo na deni. Katika nchi zenye madeni makubwa Marekani na Uingereza ndo zinaongoza. Tanzania ni tajiri lakini hilo halimaanishi kwamba tusijikopeshe.
Wakati nakua wazazi wangu walikuwa wakisema ukimuona mwanao au mtoto ,siri za ndani ya familia anakwenda kuzisema kwa jirani ujue uyo kidogo kichwani zimetenguka kidogo.na hapa ndo nnachokiona.
Unatuletea mifano ya mtoto wa kambo kuogeshwa na kuvishwa vizuri na kulishwa vizuri siku kukiwa kuna wageni iliwaone kuwa ndio iko hivyo siku zote na wengine huwaficha watoto hao wasionekane mbele ya wageni kwa jinsi walivyo dhoofika.Ndio siri za ndani hizi .Lakini hii ni nchi sio ndani na nchi haiko ndani ya jengo iko nje ulimwengu mzima unatutazama na wageni wa nchi mbalimbali tunaishi nao humu.
JOHN POMBE MAGUFULI HONGERA SANA SANA NCHI YANGU SASA IPO SAWA WALIMWENGU NDO TULIVYO HATULIZIKI HATA LIBYA ILIKUWA HIVIHIVI SITAKI KUWA NA RAISI MNAFIKI KAMA ZITTO RAISI WETU WA WANYONGE MUNGU AKULINDE NA MWAKA HUU TUNASHINDA TENA KWA KISHINDO
Juma Mohamed usipoteze muda wako kushindana na hawa mafala.WENGI WAO WANAOCOMMENT HUMU WANANUKA NJAA NA NDIO UVCCM(WATOTO WA MBWA)HAWA NDIO WANOKO WENYWE COZ WANAFUNZWA VIKAONI UKO KUWA NA ROHO MBAYA NA KUNYWISHWA MAJI YA BENDERA.WATAKUKERA BURA KIMA HAWA
Muongo wewe mnafiki moja huna lolote kwani kule skuli wamepelekwa kwenda kubeba mimba kama unaamua kusoma soma unaamua mapenzi fanya mapenzi sio unachanganya vitu viwili kwa wakati moja basi wachukue wewe ukawasomeshe na pesa zako unazolipwa na ccm .utajiju c c m oyeee .yeye huyo anapita angani hapiti barabarani.
@@officialmbeyaone3572 hata mimi sikubaliani na hoja yake kuwa maduka yote yamefungwa ila UMEKOSEA KUMTUKANA. Mbaya zaidi umemtukania mama yake. Siyo vema kumtukana mtu kisa mmetofautiana hoja. Kutukana hakukufanyi kuwa mshindi. Ungemjibu tu kwa hoja nafikiri ungeeleweka.
Uhodari wa zito kabugi masuala zuhra yunus mengi anayolalamika ndio utekelezaji wa ilani ya ccm na yametekelezwa hofu ni fedha kutumika sivo sasa hao benki ya dunia kwenye si ndio walohakiki na wakasema pesa intumika vizuri na tunaweza kukopesheka? Zito kunguru mweusi wazungu wamekudharau na mkopo unakuja.
Zitto ni mweu. Sijui haelewi au ana roho mbaya. Wakati tunajitahidi kujenga nchi kwenye msingi wa maadili mazuri yeye anaunga mkono wasichana kupata mimba na kuendelea na masomo. Huyu jamaa hafai. Ni kibaraka wa mabeberu.
Hivi bwege ni nani kati ya anaye shindwa kuzuia mimba zisiingie kwa watoto wa shule matokeo yake anakimbilia kuwazuia wasipate elimu kwa kuwa eti wanamimba na yule anaetaka waendelee kupata elimu lakini tuzuie hizo mimba ilitusije kuishia kuwa na taifa la wasusi na washonaji tu.
Nikweli zitto hali ni ngum sana huku mtaan mikopo imetuvunja kichwa,m-pawa wamekua wapole sasa hivi,,ndege hizo anapanda magufuli,na samia mimi naisikia tu halingum sana.
unco zitto we hizo njuluku ungezichukuwa kwa jina lako haafu ukawatumia watu walioko nchi za nje manake haki ya rabi tumetoka vipara na mvi kwa madeni na bado zisingetosha kulipa madeni yetu
Kwani hujui kuwa rais wako alikataa kushirikiana na mbunge wako kwakua ni waupinzani, hauoni sikuhizi wakuu wa mikoa na wakuu wawilaya walivyo poka kazi za wabunge na wakurugenzi wa wilaya na kukataa kushirikiana na wabunge wa upinzani hauoni kamatakamata ya wabunge kuwekwa ndani na kuzuiwa wasifanye hata mikutano ya hazara kwenye majimbo yao hauoni hata wakuu wa wilaya wanaingilia pesa za jimbo kinyume utaratibu huoni kodi iliyo kuwa inakusanywa na halimashauri sikuhizi inakusanywa na TRA hauoni kuwa sheria zote kandamizi zimepitishwa na wabunge wa ccm kwa wingi wao.Huoni kuwa mbunge wako zitto anachukua muda mwingi mahakamani kwa kesi zisizo na miguu wala kichwa.
Mbona jibu ni zuri sana kuliko hata suali, lkn hii ni Serikali ya CCM kama wao wameona ni sawa chama kingine wakiona sio sawa ndio wapate Ilani na sera kutoka hoja hiyo. Kama hakutakuwa na tofauti ya mawazo vyama vya siasa vitakuwa na umuhimu gani? Mbunge wa Upinzani kwenye mkutano wa hadhara unazungumzia ajenda gani wakati husubiriwi na kufanya chochote jimboni, Ilani inayotekelezwa ni ya CCM na ndio mfumo wetu. Duniani kote kuna vyama vya siasa vya upinzani lkn haijawahi kutokea kusikia chama Cha Upinzani kina mkutano wa hadhara.
Haji Hassan ww huna habar kama wamezuiliwa nahayo ccm wayafanyayo kama barara maji au umeme hizo nipesa za wananchi sio za kanuni za ccm bila ya pesa za raia kanuni haiwezi kufanya kitu
Dubai S Kuwa FUN ni taabu sana. Wenye mimba waleeje HAO watoto kama anawatetea waendelee na British Education. Wapewe elimu ya ufundi iwawezeshe kupunguza utegemezi. Alafu CCM hata kama wana izo shule. Wanaosoma si raia wa 🇹🇿. KWANI UIPENDELEE SIASA KULIKO WATU????? You make what sense sasa??? Hata kama mnanyanyaswa kwani mnashindwa kupumua au hamli chakula mkashiba??? Kubalini kuongozwa au muhamie icho chama.
Hassani Mbinga humu ukiangalia comment nyingi vijana na wasichana wengi wa Kiislam ndio mnaoshabikia sana upumbavu wa zito na hii yote kuikanyagia serikali ya awamu ya tano na sababu kubwa siwafichi hampendi kufanya kazi ila starehe mnapenda sana badilikeni waambie na wenzio muache kukaa vijiweni na kushinda mitandaoni
Abdulrahman Labry Kuwa FUN ni taabu sana. Wenye mimba waleeje HAO watoto kama anawatetea waendelee na British Education. Wapewe elimu ya ufundi iwawezeshe kupunguza utegemezi. Alafu CCM hata kama wana izo shule. Wanaosoma si raia wa 🇹🇿. KWANI UIPENDELEE SIASA KULIKO WATU????? You make what sense sasa??? Hata kama mnanyanyaswa kwani mnashindwa kupumua au hamli chakula mkashiba??? Kubalini kuongozwa au muhamie icho chama.
THE GENIUS wa Tanzania NCHI YETU N WAOGA SANA HAWANA UHURU WA KUONGEA NA UHURU WA KUSIKIZWA HAUPO KABISA NCHI IMEHARIBIWA NA CCM ZITO TUNAKUKUBALI SANA NA TUKO PAMOJA NA WEWE MM N MKIGOMA MWENZAKO KUTOKA UVINZA_NGURUKA JEMBE N WEWE TU KAMANDA WANGU TUNAKUPENDA MPAKA TUNAUMWA SERIKALI YA MJOMBA INAZIDI KUHARIBIKA ZAIDI KWA KUWA HANA AKILI YA ELIM BIG UP BROO.
I'm Appreciate Zitto yuko correct anachosema.
Kuwa FUN ni taabu sana. Wenye mimba waleeje HAO watoto kama anawatetea waendelee na British Education. Wapewe elimu ya ufundi iwawezeshe kupunguza utegemezi. Alafu CCM hata kama wana izo shule. Wanaosoma si raia wa 🇹🇿. KWANI UIPENDELEE SIASA KULIKO WATU????? You make what sense sasa??? Hata kama mnanyanyaswa kwani mnashindwa kupumua au hamli chakula mkashiba??? Kubalini kuongozwa au muhamie icho chama.
Hongera Zitto unajibu maswali kwa uvumilivu na ujadili, ningehojiwa hivyo nilishakasirika kitambo.
Deograsia Mgeni ha ha ha ha anajib vizur mno
👏👏unafaa sana hata kuwa raisi wa nchi hii
Mhhhhh binadamu jmn Leo kila mtu anamtusiiii ukisoma comments wa Tanzania ss Ni wasaliti
Mimi ni mwana CCM lakini huyu jamaa anajua sana. Hizi ni talanta chache ambazo nchi inatakiwa kuzilinda kwa gharama yoyote
Matumizi mabaya ya kila kitu ulichonacho inaweza kuleta hatari kubwa sana fikiri kabla ya kusema
Fact.
@@issackchalahani1235 hata mavi yake kwako ni taranta
@@lindabbz3518 ahsante, lakini sibabaishwi na matusi yako brother. Maana waliokosa weledi na maarifa kwao matusi huwa ndio hitimisho na uwezo wao.
Ccm mwisho kushinda nafasi ya urais na viti vingi bungeni ilikuwa mwaka 2005, baada ya hapo wanaishi kwa pumzi ya NEC na dola.
Issack Chalahani CCM ya zamani siyo ya Rais Magufuli. Mimi nilikuwa naichukia sana uongozi was serikali ya nne. Sikuamini kama kutakuwa na kiongozi yeyote yule ataleta mabadiliko. Rais Magufuli ametupa matumaini na haki kwa uongozi wake. Mtu yeyote anaye chuki a uongozi wa serikali ya Swamy ya tano, basi Huyu mtu uongozi hiyu mtu lazima alikuwa akifaidika na ufisadi na uvunjaji wa sheria
@@gracemima5234 kwahiyo awamu ya tano haivunji sharia na haina ufida wowote sio! Na hizi trion ambazo mpaka Leo hazionekani zimekwenda wapi na hiyo miradi ya inayofanyika PESA zake zilipitishwa na thibitishwa na chombo gani!?
Issack Chalahani Awamu ya tano imejaribu sana tena sana. Rais Magufuli amerthi nchi haina nithamu kabisa. Mimi ni Mtanzania lakini wakati wa awamu ya awamu zote haswa ya nne niliichukia Tanzania sana kwa injustices. Wenye pesa ndiyo waliokuwa wakipata haki. Dhuluma mali za wanyonge. Safari za Europe , wakina Zitto wananyakia nyuma kwenye musafara kwenda kutumia mali za wote., ndiyo maana wanaichukia sana awamu ya tano wakidai demokrasia na freedom of looting public resources. Kila kitu kilikuwa hovyo. Raisi Magufuli ni binaadamu hayuko 100% perfect lakini ninakuambia ukweli this is the best President so far for Tanzania. Anaipenda nchi yake, sio kwa maneno ni kwa vitendo na amewapa Watanzania pride kwa uongozi wake bora na team yake. Angefanya makubwa, lakini upinzani umemupotezea wakati kwa kupinga kila kitu tena wanapinga kijinga. Wanapinga kila mafanikio ya Watanzania na vitisho vingi visivyokuwa na maana. Bado corruption ipo, cancer hii ilikuwa imetapakaa miaka mingi. Tanzania ilikuwa kama meli isiyokuwa na captain. Miaka 10 haitoshi kuisafisha. Watanzania wanaopenda maki tunataka Rais Magufuli aendelee miaka mingine 10. Tanzania iendelee, watu wake tabia za uvivu na kutegemea dili zibadilike.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Jidanganye na akili yako
👋
Wakati mwingine tuwe tunamsikiliza mtu vizuri. Sio kila anaeikosoa serikal aonekane mbaya. Sina chama.
Nimemsikiliza vizur zito kabwe jamaa Yuko Sawa Sawa kichwan yaan huyu ni zito mmoja ni Sawa na Wana cccm wote Tanzania
Nurdin Jumbe kabsa
Mavuz ya baba yako
Atahangaika sana jiungen na ninyi pia muone kama mtafanikiwa
Nurdin Jumbe Wacha ujinga.Rudi shule ukakasome. Huyu yuko kwenye siasa kwaajiri ya tumbo lake tu. Kawafanyia nini watu was Kigoma. Ni kuzurula tu na kupinga kila kitu
Nurdin Jumbe Musikilize tena ni ujinga mtupu anaoongea uwongo mtupu bila aibu
Ccm wameumia sana kanakwamba hawaon wimbi la watoto wa mtaan wakizidi kuongezeka tukutane uchaguzi mkuu
Very !Very good hon 4 good point
Knowledge ..
Dakika 15:59 MB zangu zimeenda kihalali
Nafurahishwa na kila usemacho .BIG UP brother, ifike mahala uzalendo uwe ni huru kwa kila mtanzania na sio kunyimwa haki ya kuzungumza.
Anaye mtusi Zitto ni muharibufu na piya hana uzalendo zitto anacho kizungumza nyeti kabisa
selemani Mashaka Zitto hajui chochote. Ni depe tupu linalopiga kelele. Zitto anapigania tumbo lake. Wengi wasioelewa l wanafikiria amesoma na ana akiri. ZittbKabwe ni debe tupu
Dada yangu mwabiye sisi watu wa Zanzibar tumechoka naukadamizi wabara tunataka tuwe huru bila tabia zao chafu wabara tumechokanao Wallah sio watu wazuri lalaunono dada yangu
OK
ajawai ongea utumbo.siku zote anaongeaga point.
Asante kaka zitto kwa kuwafafanulia vizur hawa ccm vichwa maji. Wanajiamin kwa kutumia dolla pasi na dolla ccm haina uwezo wowote.
Lengo la kila chama cha siasa ni kushika dola. Unategemea wakishashika iwe je?
Nakukubali sana zito ila kwa uamzi wako umenikwaza tafuta wakukupa kula mwaka huu siyo mimi
Kula nini?
Hujawahi mpa kula zitto ata cku moja.Na sidhani kama unauwezo wakumlisha ata kwa siku moja.LABDA UWE UMEMAANISHA KURA falaa wewe usiejua tofauti ya R na L.NA KAMA umemaanisha kura.. then zitto hana haja ya kura yako.
Nami naomba nichangie hapo zito. Mi naona tatizo si kuiondoa ccm madarakani bali tunataka haki, usawa,uhuru na uwazi kwenye sekta zote na si ubabe uvunjwaji wa sheria na ukandamizwaji ambao wanafanyiwa watu wachache tena wenye maslahi na taifa.
Kibaraka papa
Anuary Ally kwanini mulie wakati nchi tajiri na kwanini mukope kwa mabeberu
@@godfreymanzi8819tajili uwa umkopesha tajili mwenzie awezi kukopesha masikini utalipa nini pia benk ni ya dunia sio ya mabebelu tumewekeza kule ni bank ya wote ndio ikaitwa benk ya dunia uyo marekani muingereza mjerumani wanakopa tena ndio wanaoongoza kwa kukopa kuliko nchi za afrika uyo bwana wako ndio analia lia anaacha kuwasemea waliomchagua yeye anachoangalia akichukua mshahara tayari anakwenda kula bata sisi tunataka maendeleo sio porojo shithole
Anuary Ally unasema nini wewe fala?umesahau JUZI TU Tanzania inafunga ma bureu na kutaka watu wakanunue dollar katka bank sa serikali??? Au unajifnya hukumbuki kisa bwana zako ndio walikuwa wakiriaria kuweka uchumi wa nchi sawa.STUPID
@@hhonest9553 mashoga mpo wengi duu kweri dunia imekwisha
Siku hadi siku zinavyokwenda sura inaondoka katika ubinadaamu inakuwa ya ngili sasa
@@josephatpascal8906 sio Tanzania niviongoz
😂😂😂😂😂
Hata aliye msaliti Yesu alijulika kwa kutembea na sura
Acha kumkufuru mungu ww mpumbavu ww
Nyotaaa imekwisha broo.Jipange upya.
The Man
Mahojiano mafupi halafu mazur asante da zuhra
Naila Mohd Kuwa FUN ni taabu sana. Wenye mimba waleeje HAO watoto kama anawatetea waendelee na British Education. Wapewe elimu ya ufundi iwawezeshe kupunguza utegemezi. Alafu CCM hata kama wana izo shule. Wanaosoma si raia wa 🇹🇿. KWANI UIPENDELEE SIASA KULIKO WATU????? You make what sense sasa??? Hata kama mnanyanyaswa kwani mnashindwa kupumua au hamli chakula mkashiba??? Kubalini kuongozwa au muhamie icho chama.
Kiukweli huyu jamaa anaendana na jina lake yani ni zitto kweli kweli
Zito nimekuelewa sana
nakukuba xana brother una upeo mkubwa xana
Zitto uko vzr bwn waelez wjue
pengine zito kabwe anayohoja lakini kwanini tusingepata Kwanza hizo pesa Kisha tusimamie matumizi yaani zitumike kihalali kwenye elimu alafu ndo tupiganie mageuzi ya Sera(kuhusu wanasichana wenye mimba).Kwa mtazamo wangu naona hii ingetusaidia watanzania wote hasa sisi tunaolima matikiti ambao tunategemea elimu bure kwa vijana wetu.
Kwa nilivyomsikiliza zito naona hajali kuhusu elimu ya mabinti(anaitumia hiyo hoja Kama mwamvuli wa malengo yake),zito anahofia uchaguzi.
Sisi watanzania tuna utimamu wa akili Kama wewe ni kiongozi mwadilifu huna hana haja ya kuhofia chochote.
Mheshimiwa zito, kunawatanzania ambao hatuna hizo posho na mishahara minono Kama wewe,tunaishi kwa kilimo Cha jembe la mkono..kutukwamishia fursa za elimu kwa vijana wetu(elimu bure) ni kututangazia uadui waziwazi.
Haya ni mawazo yangu naweza nisiwe sahihi,labda wananchi kutoka kigoma mnamwelewa binafsi sikubaliani nae.
uyo anapingaga kila kitu cha serikal kashindwa uku kaona aende kweny media za ulaya
Elimu bure nani kakuambia kwani hata hao walimu kwani wanajitolea si wanalipwa mishahara na marupurupu mengine, Elimu tunaichangia kwa kodi zetu tunazo katwa maelfu kwa mamilioni huku kwenye ajira zetu ,biashara na hayo matikiti unayo Lima,kodi za majengo kwenye bidhaa na kadhalika,hiyo mikopo ni tukipata tunatumia kuboresha tu tukikosa tunaendelea kupambana hivyo hivyo tu .kwanza mikopo yenyewe mpaka bank ya dunia ipige kura kwanza iamue itupe au isitupe mkopo.
Zito zito mungu anakuona🏃
We ulisikia wapi mzungu akataka nchi yenu Iwe na maendeleo? Ukiona Jambo Kama hili linatokea basi jua kua wameshaona mlicho nacho nakina Faida kwao. Hivyo kitakachotokea hapo NI mabadilishano ya silaha na kile mlicho nacho. Na watu wa Haina hii ndio huwa vibaraka na tusipoangalia ujinga wetu wakuwasapoti watu Kama Hawa, basi ile amani yetu tuliyodumu nayo kwa muda mlefu itakua Haina budi kutuacha katika mataa huku mataa hayo yakiwa busy kutumulika machoni bila kutuonyesha njia sahihi ya kuelekea.
Pambana sasa mikopo ya nn
Wewe una akili, Urusi haina demokrasia China haina demokrasia lakini huwezi kusikia eti USA imewawekea vikwazo. Wakoloni wakipata wajinga kama Zitto watawatumia vizuri kwa maslahi yao ngoja muone, kama una akili huwezi kuamini wazungu hata siku moja wana nia nzuri nasi
@@mako331 unakazwa
Nimependa iyo point uchumi ni wa serikali sio wa wananchi.
Nani kaona kama zito anasura mbaya kama nyani gonga like lako hapo kama umeona.
Asad Kissensi acha kumkufuru mungu ww mpumbavu ww
@@fatmakisesa5621 kwani uwoni alivyo huyo jamaa ndiyo maana anroho mbaya huku kwetu kigoma ajapaka hata langi ya choo cha wanafumzi.na tulisha mchoka
Na sula lake pia kama nguluwe kwani wewe umuoni acha ujinga .
Hatakama Bado iyo sio sababu ya wewe kumfananisha binadamu mwenzio na mnyama haipendezi kabisa ndungu yangu kuamakini na kaulizako
Cku ukianza kutumia akili zako utaacha ujinga
Hata wew ungekuwa kiongozi wa juu leo swala la Ajira usingelimaliza kwa asilimia 100% coz hata marekani na mataifa makubwa bado wanawatu ambao hawana kazi, ila mengineyo nakuunga mkono 100%
Nchi nyingi zina upinzani, hata Kenya wana upinzani tena mkali sana, ila sijawahi kusikia upuzi kama huu wakienda kwa mabeberu kuwalilia wale wale wakoloni wanaotamani rasilimali zetu. Sasa watatumia mwanya huu wa upinzani kutuchafua na kutubana sio tu kwa hili Zitto analosema ila kwa maslahi yao kwanza
We Unatombwa naona
Ccm hawaangalii nini kimesemwa wanaangalia nani kasema. Kuna wapumbavu wa chama cha ccm wanatoka majukwaani kutukana raiya wake wa tz na kutoa matusi. Yote haya ccm hawataki mtu msomi. Leo ccm inatoa watu wake inapeleka ulaya kusoma . Lakin cha kushangaza woye wanafeli. Wanarudi bila ya cheti chochote,mwisho wa siku wanafoji vyeti feki.
Wewe ni zuzu tu ccm hutaiweza utaishia kelele za chura
Yanaingia kiasi chake
ukimsikiliz mwanzo mwisho zitto utaelewa anachokisema. lakin kam unaangalia misambwanda utaishia kubisha 2
Zito amepeleka Bungeni matatizo gani yanayoyakabili kule kwao Kigoma ambayo yamewasaidia? Nakumbuka ameweka taa za nguvu ya jua,katika kiumbe kinachoishi( KATI YA UMEME NA MAJI,KIPI KIMOJA WAPO NI MUHIMU KWA MAISHA YAKE KILA SIKU?) Leo tunaona serikali chini ya uongozi bora wa Rais J.P.Magufulu MAJI yanatolewa ziwa Victoria mpaka kufikia Tabora,maji hayo yatawanufaisha milioni katika mtandao huo wa maji,vijiji na miji.Zito ameweka taa za umeme wa jua,na ziwa Tanganyika liko mlangoni.(SMART MOVE. MCHEZA KWAO HUTUNZWA.)Kiwandani wote ni wafanyakazi lakini kila mmoja ana wajibu wake na wote wanajumuika kuleta zao la kiwanda hicho.Mwanamume anaetoka nyumbani kwake na kueleza watu wa nje siri na hali ya nyumbani kwake,kule pwani tunamuita BARADHULI.Mwalimu alisema hakuna mtu wa nje atakae endeleza nchi yako ni wewe mwenyewe.WaTanzania sio watu tunaopenda machafuko,sasa kama kuna viongozi wa siasa kweli wanataka fujo,Tujiulizeni JEE fujo ikianza hao VIONGOZI watakuwa mstari wa mbele? Au watapeleka wapenzi wao mbele waumie kwa sababu yao?
Acheni mchezo na mapambano. Mwezi wa jana wamefukua mifupa 6000/7000 Burundi na wale walioanzisha mauaji wengi wako Ulaya.Jee tukikubali wanasiasa haswa wapinzani watutenganishe,tutakimbilia wapi? Wazee,Watoto na Wakina mama na mabibi zetu wataangaliwa na nani?wanaokuja kuanzisha fujo wana kwao,what about YOU.
A.R.Msimbazy
nakubaliana na ww zitto kwamba uchaguzi ukiwa huru na haki ccm tunainawa asubuh tu maan hatuitaki ccm
Tunataka kuona sura mpya bungeni.Tulia leta mgombea wa ACT mwingine na hiyo ndo itakuwa Democrasia ya kweli.Wewe huna hati miliki ya uongozi.Toa fursa kwa vijana wenzio nao walitumikie Taifa lao.una uchu wa madaraka🤣
Huwezi kusema mbunge ana uchu wa madaraka maana anatumia haki yake ya kikatiba kwenda kugombea na wananchi wanamchagua. Wewe pia una haki hiyo, nenda kashindane nae ili umuangushe uingie wewe bungeni. Bahati nzuri zaidi Zitto hajawahi kuiba kura ila wanakigoma wanampenda
@@pauljoseph1800 2020 hiyooo atulie atumie haki yake ya kikatiba agombee tena,sasa kilio cha nini.uchaguzi bado,mara hoo hawataki wapinzani warudi????Anaweza kuwa mpinzani lkn hasiwe yeye pia.au akawa mtu yeyote yulenkwa kutumia haki ya kikatiba hiyo hiyo.Mpira bado ashajua matokeo ushawai kuona wapi??yajayo yanafuraisha
@@jtheophil5499 Naanza kuamini kwamba siasa kwako ni fumbo kubwa sana. Lazima alalamike kama ameona dalili mbaya, lakini harakati zote ambazo mhe. Zitto Kabwe amekuwa akizifanya zinalenga kurudisha demokrasia na haki za msingi ambazo zinaonekana kuminywa na serikali ya awamu hii kama vile uhuru wa habari (naamini wewe ni mmoja wa watu waliokumbuka sana kuona bunge mubashara), uhuru wa kutoa maoni kama mwananchi (yaani freedom of thought and speech), haki ya kufanya mikutano ya siasa na haki ya elimu kwa kila mtu (ambayo kwa sasa sera ya nchi inawabagua mabinti wajawazito kuendelea na shule). Sioni kama anakosea kupigania vitu muhimu kama hivyo. Isishabikie siasa bali ifatilie kwa ukaribu na uichambue.
@@pauljoseph1800 unakaririshwa.
@@ramadhansuluhuhassan7074 Nakaririshwa nini? Zungumza ueleweke
Amebugi kuminya uhuru wa abali namikutano ya kisiasa
ZITO UPO KWA BWANA ZAKO
Zito mwenyewe anashiba anataka sisi tulale na njaa
Zito
Huyu jamaa anaongea pumba tu kwahyo Yuko radhi wachache waliopata mimba kwa upuuzi kwa raha yao wenyewe wawaponze wengi wanaoteseka hawana Mikopo vyuoni zitto think twice acha mmbo ya siasa kwa mmbo ya msingi
Hujui kiasi gani wanafunzi wanapata tabu vyuon so why wengi waumie kisa wapuuzii wachache waliofanya ujinga kwa starehe zao
Zito amesoma hataki vizazi vyetu navyo vipate elimu, anataka awe peke yake
Zuhura Yunus....umelipwa na ccm ? Mbona unaegemea upande wao
Kawaida tuu ww wao sawa sawa nyote wizii mtujuana wenyewe cc kimywa
Mimi huwa sicheki sana ccm wanaposema " wataisoma namba " kumbe wao pia wanaisoma namba! Wanaotumbuliwa wote ni ccm ,bado kidogo watajua maana ya kuisoma namba. Kwa hiyo Baba Zitto Mungu awe pamoja nawe siku zote.
Cecilia Jimmy zito unaumwa unasapoti umalaya
Ikitokea vita urudi ku like comment yako @ Cecilia Jimmy
Yaani uyu mpakaa mavi usoni angekua namtoto wakike mzuri mwana funzi Mimi ningempa mimba
Kampe Mimba mamaako kwanza
Ukishaona mtu aliweza kuamua kupaka mavi sura yake mwenyewe awezi kushindwa kupaka mavi nchiyake
chana zito
Na anaeweza kuwapiga risasi na kuwapoteza raia wake hamna anachoshindwa kufanya.
Mnasema Tanzania ni Tajiri! mbona huo mkopo mmeukalia sana, au ni mbwembwe tu!!!!!
Hakuna nchi tajiri isiyo na deni. Katika nchi zenye madeni makubwa Marekani na Uingereza ndo zinaongoza. Tanzania ni tajiri lakini hilo halimaanishi kwamba tusijikopeshe.
@@salmasebastian1340 Si ninaishi huko. Kama hujui angalia kwenye Google nchi zenye madeni makubwa duniani.
Ivi nchi kuwa tajiri ndio usikope angalia nchi yny mkopo mkubwa dunian ni ipi na tajiri kuliko tanzania lkn Ina mkopo kias gn kuliko tanzania
Unabisha marekani haidaiwi tn zaid ya asilimia 100
Kila nchi inakopa mzee
Ni huyu huyu Zito aliyechungulia namba za kioo cha ndege na akasema ni mtumba? Naamini upinzani ni muhimu lakini sio wapuuzi kama Zito
bado mtoto ww tulia tu
Mpuuzi mamaako
mwinshame kwatalifa yako zitto pekeyake ni zaidi ya ccm nzima
Wale wale wa ushabiki tumia akili
Wakati nakua wazazi wangu walikuwa wakisema ukimuona mwanao au mtoto ,siri za ndani ya familia anakwenda kuzisema kwa jirani ujue uyo kidogo kichwani zimetenguka kidogo.na hapa ndo nnachokiona.
Unatuletea mifano ya mtoto wa kambo kuogeshwa na kuvishwa vizuri na kulishwa vizuri siku kukiwa kuna wageni iliwaone kuwa ndio iko hivyo siku zote na wengine huwaficha watoto hao wasionekane mbele ya wageni kwa jinsi walivyo dhoofika.Ndio siri za ndani hizi .Lakini hii ni nchi sio ndani na nchi haiko ndani ya jengo iko nje ulimwengu mzima unatutazama na wageni wa nchi mbalimbali tunaishi nao humu.
Ukikosa pa kuzisemea kelo za ndani utakubali ufie ndani kichwa huna
Kumbe zitto anaweza kuunga mkono ndoa za jinsia moja amepinda Sana huyu Jana😅😅😅 Nini anataka haswa zitto ???
JAMAN MBONA MNA HELEWA
TAMAA MBELE MAUTI NYUMA Ccm 🤯🤯🤯🤯🤯🤯
watu weng wa ccm akili zao zimechanganyika na mishipa ya mav kipi cha uwongo alicho sema
yan sijui tumerogwa kila day kushabikia chama
We ungekuwa rais tungefaid sana aisee
Huyu zitu ni msaliti tu hataki maendeleo ya nchi yetu
Kabla yauchaguzi TUNATAKA TUME HURU kwanza
JOHN POMBE MAGUFULI HONGERA SANA SANA NCHI YANGU SASA IPO SAWA WALIMWENGU NDO TULIVYO HATULIZIKI HATA LIBYA ILIKUWA HIVIHIVI SITAKI KUWA NA RAISI MNAFIKI KAMA ZITTO RAISI WETU WA WANYONGE MUNGU AKULINDE NA MWAKA HUU TUNASHINDA TENA KWA KISHINDO
MBNA hyu Dada ana hoji kma ka2mw
Uko vizuri kabwe
Wewe Zito mkongomani wewe huna Utanzania hata kidogo ila dawa yako inachemka...
Zito uko sasa kaka
Ccm haikuweka mpira kwapani.Upinzani ndio ulifanya hayo...
Wee CCM walipigwa makofi ya macho Zanzibar hadi walimlazimisha Jecha afute uchaguzi wewe acha usiongee kitu nyamaza kama hujui kinachoendelea .
Hujelewi
@@mgusimwenge9077 wewe unajielewa lakini mimi najua ninachokiongea wala sisemi kwa ushabiki ccm Zanzibar walishindwa uchaguzi 2015 .
@@jumamohamed3168 u can't prove that. CCM Walishinda
Juma Mohamed usipoteze muda wako kushindana na hawa mafala.WENGI WAO WANAOCOMMENT HUMU WANANUKA NJAA NA NDIO UVCCM(WATOTO WA MBWA)HAWA NDIO WANOKO WENYWE COZ WANAFUNZWA VIKAONI UKO KUWA NA ROHO MBAYA NA KUNYWISHWA MAJI YA BENDERA.WATAKUKERA BURA KIMA HAWA
Zitto umekuwa msaliti. Tunaomba hao watu wa huko nje wakufukunze nchini kwao na waukatae uongo unaowaeleza. Lakini unatakiwa upimwe akili pia.
Muongo wewe mnafiki moja huna lolote kwani kule skuli wamepelekwa kwenda kubeba mimba kama unaamua kusoma soma unaamua mapenzi fanya mapenzi sio unachanganya vitu viwili kwa wakati moja basi wachukue wewe ukawasomeshe na pesa zako unazolipwa na ccm .utajiju c c m oyeee .yeye huyo anapita angani hapiti barabarani.
1995. 2000.2005.2010.2015.........2020 ndo mtapewa ?
uganda bobi wine anavompinga museveni anasapot kubwa ya watu ....uyu jamaa anapinga kila hatua ya serikali kwa sapot ya mkewe na babaake🤣
Maisha magum sana sana makufuli kufuli kweli manake hakuna pesa kabisa maduka yamefungwa yote
Yaani katika wasenge wewe ndomsenge wakike mbona duka langu lipo wazi mdawote kuma la mamayako
@@officialmbeyaone3572 hata mimi sikubaliani na hoja yake kuwa maduka yote yamefungwa ila UMEKOSEA KUMTUKANA. Mbaya zaidi umemtukania mama yake. Siyo vema kumtukana mtu kisa mmetofautiana hoja. Kutukana hakukufanyi kuwa mshindi. Ungemjibu tu kwa hoja nafikiri ungeeleweka.
Uhodari wa zito kabugi masuala zuhra yunus mengi anayolalamika ndio utekelezaji wa ilani ya ccm na yametekelezwa hofu ni fedha kutumika sivo sasa hao benki ya dunia kwenye si ndio walohakiki na wakasema pesa intumika vizuri na tunaweza kukopesheka? Zito kunguru mweusi wazungu wamekudharau na mkopo unakuja.
Zitto ni mweu. Sijui haelewi au ana roho mbaya. Wakati tunajitahidi kujenga nchi kwenye msingi wa maadili mazuri yeye anaunga mkono wasichana kupata mimba na kuendelea na masomo. Huyu jamaa hafai. Ni kibaraka wa mabeberu.
Kwahiyo MTU akipata ujauzito just because yupo shule hana haki ya kuendelea na masomo ? Shame on you. Think twice
Tulieni dawa inaingia
Mtu waweza kuwa na macho lakini huoni, masikio nausisikie, anaeoma hii nchi niya democrasia atakuwa hama akili.
The problem is you're waiting to be told what democracy mean by westerners!! You have to define kwa kutumia misingi ya kwenu na mila zenu!!!
Sjawahi kuona mbunge bwege kama wewe zito mjinga sana
Kama ww
@@mangulymanguly139 na kumbe ndo walewale no sense
Hivi bwege ni nani kati ya anaye shindwa kuzuia mimba zisiingie kwa watoto wa shule matokeo yake anakimbilia kuwazuia wasipate elimu kwa kuwa eti wanamimba na yule anaetaka waendelee kupata elimu lakini tuzuie hizo mimba ilitusije kuishia kuwa na taifa la wasusi na washonaji tu.
Paul Sengelema Sengelema yaani huyu jamaa sijui yupoje
Nikweli zitto hali ni ngum sana huku mtaan mikopo imetuvunja kichwa,m-pawa wamekua wapole sasa hivi,,ndege hizo anapanda magufuli,na samia mimi naisikia tu halingum sana.
Hatuna njaa sisi kama kwenu kuna njaa ungetumia nauli ya kuongea upuuzi kuwalisha hao
We no muongo
unco zitto we hizo njuluku ungezichukuwa kwa jina lako haafu ukawatumia watu walioko nchi za nje manake haki ya rabi tumetoka vipara na mvi kwa madeni na bado zisingetosha kulipa madeni yetu
Kumbe huyu jamaa sio mtanzania hana uchungu na nchi yake kweli ni mcongoman takataka tu mamaaayooooo
Asante Sana Magufuli Sisi Tumeguswa na utendaji wako.Zito Hujielewi Tanzania siyo Tuko vizuri sana
Magu Mbona mnyarwanda mbona hausemi? Kubabaako
Yaani umekaa kusema mtangoa ccm tu mnadhani jino hilo eeeh mtasubiria sana nyie bakini tu kutupa changamoto tu na sio kuingia madarakani
Zitto ni mpuuzi kabisa.
Mpuuzi wewe...ambae CCM imelubenesha
@@frankd1156 kumbe wapuuzi mpo wengi. Kichwa chako empty
Siku.mtaelewa tu
@@frankd1156 kiswahili chenyewe hujui unatuandikia kilugha chenu gademit..! Kajifunze kwanza kiswahili alafu urudi nikupe facts..!
Lol wewe piga domo...Trump keshawaweka kwenye crosshair
Huyu Zitto kachanganyikiwa sio bure
Aki ipo upinzani hamunijierewi we ni musariti
Sera za serikali ya awamu ya tano azilengi kuinua maisha ya kila mtanzania apo nmekuata
Hawa ndio wale waliopokelewa mwaka 72 sasa wamebadilika wanajiita watanzania na kuukana uraia wa wa asilia congo zaire
Na wewe umepokelewa lini???
Zito unaogopa hauna cha kusema jukwani wakati wa kampeni tuambie nini umefanya kwa muda wote wa ubunge wako
Kwan raisi wako amejenga viwanda vingap kwenu
Kwani hujui kuwa rais wako alikataa kushirikiana na mbunge wako kwakua ni waupinzani, hauoni sikuhizi wakuu wa mikoa na wakuu wawilaya walivyo poka kazi za wabunge na wakurugenzi wa wilaya na kukataa kushirikiana na wabunge wa upinzani hauoni kamatakamata ya wabunge kuwekwa ndani na kuzuiwa wasifanye hata mikutano ya hazara kwenye majimbo yao hauoni hata wakuu wa wilaya wanaingilia pesa za jimbo kinyume utaratibu huoni kodi iliyo kuwa inakusanywa na halimashauri sikuhizi inakusanywa na TRA hauoni kuwa sheria zote kandamizi zimepitishwa na wabunge wa ccm kwa wingi wao.Huoni kuwa mbunge wako zitto anachukua muda mwingi mahakamani kwa kesi zisizo na miguu wala kichwa.
joel sadala asante kwa jibu lako.Ila sidhani kama huyu fala ana uwezo wa kukuelewa.🤣🤣
Dada kakuriza swari zuli sn kwann msimalizane ndan kuliko kutoka inje dada kakuona msalit
Mbona amejibu kuwa ndani hakuna fursa ya kuongea au hujasikia
Kibwana Kassim mbona kajibu tu vizuri,kuwa ndani hakuna hiyo nafasi ya kuweka makubalino
Mbona jibu ni zuri sana kuliko hata suali, lkn hii ni Serikali ya CCM kama wao wameona ni sawa chama kingine wakiona sio sawa ndio wapate Ilani na sera kutoka hoja hiyo. Kama hakutakuwa na tofauti ya mawazo vyama vya siasa vitakuwa na umuhimu gani?
Mbunge wa Upinzani kwenye mkutano wa hadhara unazungumzia ajenda gani wakati husubiriwi na kufanya chochote jimboni, Ilani inayotekelezwa ni ya CCM na ndio mfumo wetu. Duniani kote kuna vyama vya siasa vya upinzani lkn haijawahi kutokea kusikia chama Cha Upinzani kina mkutano wa hadhara.
Haji Hassan ww huna habar kama wamezuiliwa nahayo ccm wayafanyayo kama barara maji au umeme hizo nipesa za wananchi sio za kanuni za ccm bila ya pesa za raia kanuni haiwezi kufanya kitu
Na kwa nn iwe ndan nini kinajificha au ndio upigaji
Nakuunga mkono
Wabane hasa wasipewe wakenda fanya kampeni mpaka disemba ndio wapewe.hizo pesa sasa wasipewe
Dubai S Kuwa FUN ni taabu sana. Wenye mimba waleeje HAO watoto kama anawatetea waendelee na British Education. Wapewe elimu ya ufundi iwawezeshe kupunguza utegemezi. Alafu CCM hata kama wana izo shule. Wanaosoma si raia wa 🇹🇿. KWANI UIPENDELEE SIASA KULIKO WATU????? You make what sense sasa??? Hata kama mnanyanyaswa kwani mnashindwa kupumua au hamli chakula mkashiba??? Kubalini kuongozwa au muhamie icho chama.
Wana Lilia hela za kampeni si bure hawa,kwa kivuli cha elimu ya watoto .
Wanaonufaika na ndege ni 1% tu ya watanzania apo kweliiiiii mh
Hassani Mbinga humu ukiangalia comment nyingi vijana na wasichana wengi wa Kiislam ndio mnaoshabikia sana upumbavu wa zito na hii yote kuikanyagia serikali ya awamu ya tano na sababu kubwa siwafichi hampendi kufanya kazi ila starehe mnapenda sana badilikeni waambie na wenzio muache kukaa vijiweni na kushinda mitandaoni
Iyondeke miaka hamsini ya wizi na haramu
Abdulrahman Labry Kuwa FUN ni taabu sana. Wenye mimba waleeje HAO watoto kama anawatetea waendelee na British Education. Wapewe elimu ya ufundi iwawezeshe kupunguza utegemezi. Alafu CCM hata kama wana izo shule. Wanaosoma si raia wa 🇹🇿. KWANI UIPENDELEE SIASA KULIKO WATU????? You make what sense sasa??? Hata kama mnanyanyaswa kwani mnashindwa kupumua au hamli chakula mkashiba??? Kubalini kuongozwa au muhamie icho chama.
Huyo mtu sio mtanzania mwenzetu Ni mtanzacongo Hana akili
ungelielewa usingelijbu ivo lkn hujaelewa ndo mana ume coments ww ulivopenda##falaa ww
Huezi muelewa zitto kama akili zako zipo matakoni.ZIKWAMUE UKO zilipo huenda ukamuelewa.
Zitto kawaulize USA kwa nini tuhuma za Trump zilimuunganisha na warusi?
We dada mbona unahoji kama umetumwa zito mungu anakuona unajisema vibaya kuwa na akili unakuwa kama mtoto wakati wewe ni mkubwa
Wenye akili timam watakufahamu
Na wasio kufamu
ni wale asilimia 1%
Kwa sababu ndio walio nufaika...nk
Wale wa 0 brain hawamwelewi kabisa.
Emma Fernando k
Huyu mkimbizi hata ubunge mwaka huu hapati
Hizo ni ndoto za mchana ,zito ni machine kubwa. Kama zito ni mkimbizi sasa nani ni Mtanzania?
Uyu MTU ni mtanzania kweli,,?
Ndio sema ujaelewa anachoongea
IULIZE SERIKALI YAKO INAMTAMBUA URAIA WAKE...
wewe zito mzito kweli!