Mwamba Sheikh Djuma Sadiki Muyenga 🇨🇩 atoa khutba kali kwenye Mawlid ya ACADI 2024
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- Akiwa mgeni Rashmi wa Mawlid ya kwanza ilioandaliwa na ACADI Asbl katika mji wa Goma, sheikh Djuma Sadiki Muyenga katoa khutba kali kama sheikh lake Muhammad Ismail Baile - Mungu amrehem - lisaa lizima kuwakumbusha waislamu kuhusu Mtume wao, na sikukuu yao hion, ili kufaidishana nao kupitia fursa hio.
Swallahu alaa Muhammadi
Allahumma swali wasilim alaaa Muhammad sws
Tena ni Mwamba kweli.
Mungu amulipe heri
ULE NJO MUTUME WETU BABA.
TUNAMPENDA SANA KWA SABABU YA UTUME WAKE KWETU