Yu Nasi || The Saints Ministers [Official Video]
HTML-код
- Опубликовано: 11 фев 2025
- Lyrics
Yu Nasi x3 Milele
1. Mawimbi yakipiga, shida zisongapo, Tegemea Yesu, Mfariji wa kweli.
2. Jaribu halitakuja, tusiowezakuhimili, Hata likikuja atatuepusha, halitatudhuru
Bridge
Usife Moyo, Mtegemee Yesu tu, Yu Nasi, Kwa hali zote za maishax2