SIMAMA UTEMBEE {PETERO}|| DOMINION VOICES MINISTERS || OFFICIAL VIDEO 2025

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • Stanza 1
    Petero na Yohana wakienda hekaluni nao wakakutana na kiwete, mlangoni akawaomba fedha wala dhahabu kama kawaida yake
    Stanza 2
    Je sisi wakristo tumemwomba Mungu jambo tukajibiwa tofauti, tunapewa zaidi ya yote tuliyoomba, tukiamini kwa nguvu za Mungu.
    Chorus
    Na kwa jina la Yesu (simama utembee×2) ndugu. Kiwete alizoea kupata Riziki kwa kuomba siku kwa siku hekaluni.
    Badala ya kupewa fedha utapewa zawadi ya thamani simame utembee, mipango ya Mungu zaidi ya fedha na dhahabu kwa wale wote wanao muamini

Комментарии •