Dah... Sema mwana ulikuwa na ujinga flani hivii ja upofu mkubwa sana hasa ukisa kusema unakataa kukimbia na dem keshakwambia kimbia na huwenda alikupa mpunga afu unaleta upofu mwanang utakufa mzee
Walivotoka walimpitia amida wakawa wa3 yy jack na amida wakaenda starehe wakarudi asbh wote wa3 kwenye gar Moja pombe zilivoisha amida akaondoka na gar yake nyekundu. SWALI: GARI YA AMIDA IMEKUJAJE WAKATI WALIMPITIA KWAKE WAKAENDA KUMBI ZA STAREHE?
uongooo..afu na mapozi kama movie za love stor
Hii ni simulizi ya kubuni dogo anajimwambafai Amna lolote ujinga na uongo mtupu.
Hatare sana,
Dah...
Sema mwana ulikuwa na ujinga flani hivii ja upofu mkubwa sana hasa ukisa kusema unakataa kukimbia na dem keshakwambia kimbia na huwenda alikupa mpunga afu unaleta upofu mwanang utakufa mzee
Utatolewa figo 😂😂 unapenda raha mjinga ungekua unahofu ya mungu usingefanya yote hayo
Kuwekwa ndondocha usimuone mtu anafanikuwa wengine washirikina
Hili nalo jinga sana
Ndio mukauana kwa kuvamiwa mapenzi ya wanaopendana😮😢
Jinga 😂😂😂😂😂
Bro, wewe ni storyteller; unaanzia maisha kutoka juu?
Kabisaa
Kama ni chai rangi fulani hv
Isidingo
😂 😂 😂 😂 😂 But why!!?
Walivotoka walimpitia amida wakawa wa3 yy jack na amida wakaenda starehe wakarudi asbh wote wa3 kwenye gar Moja pombe zilivoisha amida akaondoka na gar yake nyekundu.
SWALI: GARI YA AMIDA IMEKUJAJE WAKATI WALIMPITIA KWAKE WAKAENDA KUMBI ZA STAREHE?
Hahaha, akafanye editing..kwamba amida alikuja na gari yake nyekundu (kama muhimu kujua rangi ya gari)..
Uyu nae haeleweki Jack alikuja kin kwao na yy aliondoka siku mbili tu..na hapo hapo ukarudi na gari..du ..imbombo ngafu
Mjinga anakula kwata huko watu wanafaidi vyaooo ovyo tafuta kazi bushoke