BREAKING: JAKATE MWEGELO AMTOLEA UVIVU MANGE KIMAMBI, AMCHANA LIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 апр 2024
  • Katibu mkuu wa uvccm Taifa, Ndg. Jokate Mwegelo amewataka vijana wa umoja huo kua na mshikamano na kutokubali viongozi kudhiakiwa na kudhalilishwa na baadhi ya watu katika mitandao ya kijamii.
    Ndg. Jokate mwegelo ameyasema hayo leo aprili 15, 2024 mara baada ya mapokezi katika ofisi ya umoja huo, mkoani Dodoma, tayari kuanza utendaji kama mtendaji mkuu wa jumuiya ya vijana.
    Nae aliekua katibu mkuu wa umoja huo ambae kwasasa ni mkuu wa wilaya ya simanjiro Mhe. Fakii Lulandala amemtakia kheri katibu huyo mpya na kuwashukuru viongozi wa umoja wa vijana kwa kushirikiana nae vyema kipindi chote cha uongozi.Karibu Ngasa Media - Tunatoa huduma Zifuatazo
    MEDIA COVERAGE
    1.Goverment Events
    2.Social Events
    3.Documentary
    4.Live Streaming
    5.Zoom Meting
    6.Photo & Videograph
    BUSINESS ADVERTISEMENT
    #Hotel
    #Appartiment
    #Restaurant
    #Supermakert
    #Hall
    #Sallon
    #New Business
    PTINTING
    1.Banner
    2.Sticker & Flyers
    3.Brochures
    4.Business Card
    5.Graphics Design
    6.Logo Design
    7.Tshirt Printing
    Call Us
    0716909567
    0766909567
    DODOMA

Комментарии • 14

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 Месяц назад +6

    Huyo mange mngemwacha tu Yani anachosema kimya hvyo mnazidi kumpa hela

  • @menelus911mene5
    @menelus911mene5 Месяц назад +1

    Joketi wewe ni kiongozi mahili mungu akufanyie wepesi wa kazi zako hongera sana piga kazi waumbuwe wasionahekima nabusara na muelekeo wameishiwa hao ❤🙏

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 Месяц назад +1

    Imeiva dada hongera sana nimeipenda kujiamini kwako umekuwa shujaa mpaka kuongea songea mbele dada

  • @BJMKANGALA1
    @BJMKANGALA1 Месяц назад +1

    Nadhani si sahihi kwa viongozi wa Serikali kujibizana kwenye mitandao na Mange ili hali mna majukumu mengi ya kufanya kuondoa dhiki za wananchi. Ni vyema kugombana na mlevi? Ni sahihi kujibishana na mgonjwa wa akili?
    Mtu akikutukana usipomjibu lazima atanyamaza. Atajiona mjinga.
    Basi tutumie hekima ili tofauti ionekane.
    Mungu tusaidie maarifa!

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 Месяц назад

    Woow

  • @julianamwalongo6047
    @julianamwalongo6047 Месяц назад +1

    Mimi nadhani mange angejibiwa Kwa vitendo Sio midomomidomo Kama mange mwenyewe. 😞

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 Месяц назад

    Uko vizuri km vijana

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 Месяц назад

    Angalia usicheke nao wanafiki wako hapo dadaangu wanaopiga makofi ndio wako hapo hapo ni noma hawakufurahiii FANYA KAZI MAMA YETU SAMIA SULUHU HASANI ALIOKUTUMA HONGERA SANA DADA ... tunakuamini

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 Месяц назад

    Nakupenda jojo❤️

  • @reginas1832
    @reginas1832 Месяц назад +1

    Nani aliwapa kura wezi nyie

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Месяц назад

    Joket chapa kazi huyo anayenunuliwa aachana naye'Sisi tupo pamoja na samia.

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Месяц назад

    Nakuamini unaweza kuleta umoja

  • @menelus911mene5
    @menelus911mene5 Месяц назад

    Hapo ndio kwako wewe ni bint muelewa achana kichaa huyu anajiona katoka juu hajazsliwa nanwanamke aangaliwe kimoyomoyo sana tuwe kimyaa kwani kuwa kimya nako nijibu kuuubwa kwetu wa TZ hatuna mbamba