WAIMBAJI HIKI NI KIBURI KINAWATAFUNA KUWA PELEKA JEHANAM EV PASCHAL CASSIAN

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 34

  • @RaulTech-pp3gc
    @RaulTech-pp3gc 4 дня назад +3

    Mtumishi wa Mungu tutakuwa tunakuombeya sana. Sisi pia tunakupenda toka Rwanda

  • @PatrickjumaJuma
    @PatrickjumaJuma 3 дня назад +1

    Ubarikiwe pastor cassin

  • @mukholiemmlly7637
    @mukholiemmlly7637 2 дня назад

    HALLELUJAH HALLELUJAH PRAISE THE LORD JESUS CHRIST 🙌 VERY TRUE MTUMISHI WA MUNGU BE BLESSED 🙌

  • @ombeniMassawe
    @ombeniMassawe 4 дня назад +1

    Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu mafundisho yako yanazidi kutufungua kifikra na kiroho ( ukifamu kweli itakuweka huru)

  • @RAIVONMWAKALANJE
    @RAIVONMWAKALANJE 3 дня назад +1

    Wakenya wote nawaomba tuwaombeee sana waimbaji wetu mungu awasameee kwa kuacha kuimba kamainjili bl kama biashala

  • @JeanMushiPremier
    @JeanMushiPremier 4 дня назад +3

    Nafurahia sana mahubiri zako ila kwa nini haugusiye Congo DRC 🇨🇩

  • @LbkfigifidkvickcidOkbkfifovido
    @LbkfigifidkvickcidOkbkfifovido 3 дня назад +5

    Wakenya kujeni hapa 🇰🇪🇰🇪

    • @Lucyiminza
      @Lucyiminza 3 дня назад

      Yaani Kuna comment nmesoma imeniuma , hapa comment section 😢 ety mtu anasema hapendi baadhi ya wakenya 😢na sisi tunapendwa na Mungu ,Mungu atusamehe,turudi kwetu my dear

    • @RAIVONMWAKALANJE
      @RAIVONMWAKALANJE 3 дня назад

      ❤❤❤❤❤❤

    • @RAIVONMWAKALANJE
      @RAIVONMWAKALANJE 3 дня назад

      🎉🎉🎉🎉🎉

    • @RwachiryoraWema
      @RwachiryoraWema 2 дня назад

      Ni juu ya willy

    • @aviosilona316
      @aviosilona316 2 дня назад

      Wtz hujiona sukari na vyenye wengi wao ni washirikana sana wana roho mbaya sana sahii mimi niliacha kuwafuatilia acha nitosheke na watu wetu ujue sisi ndio huwasupport ​@@Lucyiminza

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 4 дня назад

    Kila mmoja akitambua nyakati na majira atasimama katika kweli ya kristo. Wengi wanaenda kufuata miujiza na wala hawafuati Yesu... wengine wakisikia kuna mwimbaji fulani watakimbia kujiburudisha na wala hawajui wanafurahia na kukimbilia nguvu za freemason.
    Ubarikiwe sana mtumishi kwa kuzidi kusimama katika kweli na kuwafungua wengi.

  • @MwicheGoma
    @MwicheGoma 3 дня назад

    God bless you and protect you

  • @MaryamMstf
    @MaryamMstf 4 дня назад

    Amina sana mtumishi Mungu akubariki

  • @paulcheki6082
    @paulcheki6082 4 дня назад

    Kweli mtumishi paul cheki from kenya

  • @ukumbushoadam5691
    @ukumbushoadam5691 4 дня назад

    ❤❤barikiwa baba

  • @elizmutai9562
    @elizmutai9562 8 часов назад

    Hapo kwa Kenya Umesema Ukweli kabisa....

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 4 дня назад

    Injili ya kweli haichangamani.

  • @simonmdune9066
    @simonmdune9066 4 дня назад +1

    Mimi ndio mana sipendi baadhi ya waimbaji kenya 😢

    • @Lucyiminza
      @Lucyiminza 3 дня назад

      Bora usitupende wote wakenya ,maana wakenya wote hatujakamilika,heri nyinyi tanzania mmekamilika wote,kuliko utuchukie au uchukie baadhi ya waimbàji wetu,mbona usiwaombe wawe kama waimbaji wa kwenu tanzania, napenda huyu mtumishi maana anagonga kwote,na hajasema anawachukia wakenya..Mungu akusamehe akupe moyo utuombe wakenya wote,.cjapenda😢😢😢😢😢 am proud to be a kenyan....

    • @aviosilona316
      @aviosilona316 2 дня назад +1

      Kwani nyinyi ndio mmekamilika?Wengi wenu ni washirikana wakubwa sana mnatuibia hata mtandaoni sisi ndio huwa tunawasupport

    • @Lucyiminza
      @Lucyiminza 2 дня назад

      @@aviosilona316 huyu I wish asikize nyimbo ya taifa ya kenya ,atajuwa why wakenya hatupendi mtu kudharau au kuchukia mkenya mwenzetu

  • @young_brother27
    @young_brother27 4 дня назад

    inasikitisha sana,Siku hizi hatumshambulii shetani, tumebaki kushambuliana sisi kwa sisi😢
    hivi mnadhani kuwashambulia waimbaji au niseme kushambuliana kwa ujumla, mnafikiri Mungu anafurahia?
    haya mambo ya kushambuliana kavu kavu kwa kutajana majina sio kukomesha uovu hata kidogo.

    • @isaacmligo9187
      @isaacmligo9187 3 дня назад

      Kwani Biblia inaposema tuonyane inakusudia akina nani? Ikiwa haturuhusiw kuonyana wenyew

  • @RaulTech-pp3gc
    @RaulTech-pp3gc 4 дня назад

    ❤❤❤❤❤❤

  • @Purity-zn9np
    @Purity-zn9np 2 дня назад

    Hizi ninyakati za mwisho Kila mmoja anaona mwenzake bibilia inasema mutatafuta amani mutaikosa nanupendo pia hautakuwapo kata ya ndugu, badala ya kumuita mtu umwambie unakosa hapa sipo mwaanikana kwa mitandao sisi tutafuata lipi la kweli?

  • @Noella-o5c
    @Noella-o5c 4 дня назад

    Shalom wapendwa munambie kuota unanyongwa nkwenye usingizi nimbaya ao wanataka kuniuwa?? Munitafsilie plz

    • @paschalcassianoriginal9411
      @paschalcassianoriginal9411  4 дня назад +4

      Subiri somo linafuata kesho asubhi BWANA ANAMAKUSUDI YA KUKU SAIDIA LILIKUWA SOMO LIPANDE LEO ILA KUNA SABBU HIVYO KESHO SAA4 UTAFUNGULIWA TATIZO LAKO

    • @Noella-o5c
      @Noella-o5c 4 дня назад +1

      @paschalcassianoriginal9411 Amen Amen Amen

    • @Franklajifaunuel
      @Franklajifaunuel 3 дня назад

      𝑨𝒎𝒆𝒆𝒏❤❤❤​@@paschalcassianoriginal9411

    • @RwachiryoraWema
      @RwachiryoraWema 2 дня назад

      The enemy is trying to suppress you. May not die physically but spiritually ur under attack. It can be finances,marriage children health and even your relationship with God. Be careful not to share ur dreams or plans with people hata mapastor the bible says test the spirit n know. Otherwise some will ly hands on u and in return they impact dark forces.